Nilichogundua, Tanzania hata atawale malaika bila akili za watu kufunguka hatuwezi endelea inavyotakiwa kamwe

Nilichogundua, Tanzania hata atawale malaika bila akili za watu kufunguka hatuwezi endelea inavyotakiwa kamwe

Alisema mwamba John Pombe Magufuli mkamkatalia.... na mtakubali tuu

Rest well mwamba John Pombe Magufuli

Mungu ibariki Tanzania Mungu mbariki rais wetu Samia Suluhu Hasan
Ni ushamba wa kiwango cha lami kwenda kuzuia watu kuvaa mavazi ya Beach kwenye sehemu ya starehe iliyo eneo la beach

Ni ushamba na ujinga zaidi kuzuia sehemu iyo kuuza vinywaji asubuhi. Dunia imefika hatua sehemu za starehe na biashara zinafanya kazi masaa 24 alafu hapa kuna wajinga eti wanaenda kuwazuia kufanya biashara asubuhi.

Hii nchi ina wajinga sana kwa kweli
 
Alisema mwamba John Pombe Magufuli mkamkatalia.... na mtakubali tuu

Rest well mwamba John Pombe Magufuli

Mungu ibariki Tanzania Mungu mbariki rais wetu Samia Suluhu Hasan
Magufuli sasa anahusiana na nini kwenye hii mada? Kipindi cha Magufuli si ndio marufuku ya kufungua baa ilianza? Na huu upuuzi wa kuingilia maisha binafsi ya mtu kwa kisingizio cha maadili?

Watu wengine vichwa vyenu sijui vimejaa funza..!
 
Bata zingine sasa hivi ni za "Wauza Unga" na dalili zinaonyesha fedha chafu za Unga/ madawa ya kulevya zimerudi kwa kasi ya mwanga( speed of light).
Eti jitu linapeleka Cash Dola Milioni 18 Bank ?!!
Kweli Hayati Magufuli alikuwa Mwamba!
Mkuu unaijua lakini $18milioni??? Isije ukawa unasema dollar ambazo thamani yake Kwa tz ni 18milioni?
 
Bata zingine sasa hivi ni za "Wauza Unga" na dalili zinaonyesha fedha chafu za Unga/ madawa ya kulevya zimerudi kwa kasi ya mwanga( speed of light).
Eti jitu linapeleka Cash Dola Milioni 18 Bank ?!!
Kweli Hayati Magufuli alikuwa Mwamba!

Kama kweli kuna hela za unga acha ziwepo ili watu wapate hela, kwakuwa hakuna anayelazimishwa kubwia unga. Isitoshe wanunuzi wa kweli wa unga wako nje huko, hapa ni njia tu.
 
Huna lolote ulilogundua, bali ni kujilisha upepo tu mwenyewe na kutojua namna nzuri ya kutumia akili ulizojaaliwa na Mwenyezi Mungu.
Unabaki tu kukariri yasemwayo na wengine hata kama hayana manufaa kwako na jamii inayokuzunguka.
 
Bata zingine sasa hivi ni za "Wauza Unga" na dalili zinaonyesha fedha chafu za Unga/ madawa ya kulevya zimerudi kwa kasi ya mwanga( speed of light).
Eti jitu linapeleka Cash Dola Milioni 18 Bank ?!!
Kweli Hayati Magufuli alikuwa Mwamba!
Utakufa masikini sasa kama MTU ni muuza madawa si mumpeleke mahakamani

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Ukiona taifa viongozi wanaenda kupiga marufuku sehemu ya starehe iliyopo ufukweni inayolipa kodi na kuingiza mapato, iliyoajiri watanzania na kuwalipa mishahara inayowawezesha kuhudumia familia zao kufanya biashara asubuhi basi ujue hiyo sehemu shida ni akili za watu.
Sahihi kabisa
 
Bata zingine sasa hivi ni za "Wauza Unga" na dalili zinaonyesha fedha chafu za Unga/ madawa ya kulevya zimerudi kwa kasi ya mwanga( speed of light).
Eti jitu linapeleka Cash Dola Milioni 18 Bank ?!!
Kweli Hayati Magufuli alikuwa Mwamba!
Wewe hizo pesa unazo?
 
Hela unatafuta wew afu ukitumia mtu inamuuma ..cjui wanatakaje wabongo
Ni ujinga wa kiwango cha mwendokasi. Alafu wanalalamikia mapato kukusanywa chini ya kiwango. Duniani huko starehe ni moja ya vyanzo vikuu vya mapato
 
Huna lolote ulilogundua, bali ni kujilisha upepo tu mwenyewe na kutojua namna nzuri ya kutumia akili ulizojaaliwa na Mwenyezi Mungu.
Unabaki tu kukariri yasemwayo na wengine hata kama hayana manufaa kwako na jamii inayokuzunguka.
Mada kama hizi zimekuzidi sana uwezo mjinga kama wewe
 
Bongo ni ngumu sana kubadilika
 
Back
Top Bottom