unaposema wa jumuiya unamaanisha nini..?
 
Mwanaume kuteseka kwenye ndoa ,ametaka mwenyewe, kwani ni lazima kuoa ?

Kumlea mtu mzima mwenzako mpka aje awe na jino moja sio mchezo

Kila mtu ateseke kimpango wake , hii Dunia Haina huruma na mtu..
 
Asante sana kwa kulitambua hilo ijapokuwa wanawake wengi hawalioni hilo.
Kilicho kichwani mwake ni yeye yeye tu na kuangalia watoto na si familia kwa ujumla kama baba afanyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…