Asante sana kwa kulitambua hilo ijapokuwa wanawake wengi hawalioni hilo.
Kilicho kichwani mwake ni yeye yeye tu na kuangalia watoto na si familia kwa ujumla kama baba afanyo
Kwakweli Mungu awaweke sana na awape riziki Kwa ajili ya familia zenu
 
Hivi huu uzi sikuchangiaga kweli? Umetisha sana mdogo ake Aaliyyah
Yani Mungu amtunze mume wangu...makosa yake ni machache kulinganisha na upendo wake kwetu familia yake...
Wanaume wanaopambania familia zao ni wa kuwaombea..
 
Hukuchangia nafikir
Amiina amtunze sana tu
Kuwa mwanaume sio rahis ukiwa na mtu anaejali familia muombee sana
Niliwah kumuuliza rafikayang baada ya kulalamika jambo fulan,Kwamba mume aondoke mwez 1 amuachie Ile nyumba na Ile familia ilivo kubwa anaweza kumudu kuiendesha akasema hawez kiukweli ni kazi sana
Mungu tu awasaidie
 
Mungu ni mwema hujibu yale mtu anayotamani au kumwomba...atamtunza Amina...
 
Nimependa hapo kwenye kumuachia nyumba mwezi mmoja apaone kwenye familia kama patamtosha😂
Hilo ndio wazo langu huzunguka ktk chwani changu ili apake kupunguza makelele yake na ubinafsi
 
Nimependa hapo kwenye kumuachia nyumba mwezi mmoja apaone kwenye familia kama patamtosha😂
Hilo ndio wazo langu huzunguka ktk chwani changu ili apake kupunguza makelele yake na ubinafsi
Ukurud utamkuta kakonda 😃
Kutunza nyumb sio kuosha vyombo na kufagia aisee
Mimi naishi mwenyew napnga ratibazangu vizuri lkn kunawakati unaishiwa Yan hata kutoka nje naonaga shughuli nakaa ndani tu
Imagine unawatoto 3 alaf ufulie wee
Wanaume wanapitia mengi
 
Utasikia ges imeisha! Utajikung'uta vijana wapate kula.
Ngoja sasa akope huko au atoe hela yake kwa jambo la familia, yaan mpaka utakereka hilo deni utafikria kausha damu
 
Du ningekutumia pesa chap sema sijapiga myumbo hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…