theriogenology
JF-Expert Member
- Oct 7, 2016
- 8,748
- 15,681
Kuna vitu vingi tu vya kufikiria mkuu atleast muda mwingine uwe unajidunga li wine lako ukiwa nyumbani....Halafu niwe nafanya nini muda huo? Sili bata sana lakini basi tuu.
Ahahhah hivi jf unaleftije in peace usiporudi kwa i'd yako iliyozoeleka utarudi kwa i'd mpyaAiseee
Mie nilijua ameleft in peace
Halafu kuna avatar nyingi kama yake saiviAhahhah hivi jf unaleftije in peace usiporudi kwa i'd yako iliyozoeleka utarudi kwa i'd mpya
Ni hivi kuna mengi sana humu jf sasa katika kuelezea nadhani wanapindisha pindisha sana ili watu wasielewe kwa undani lakin watu wengine wanaelewa sana tuUkweli ni kwamba smart September eleven hahusiki kule kwanza haishi dodoma ila walivotuita Ita sasa.. Cha kushangaza Mpaka Namimi niliitwa .. If the case wa Lile jina Mr smart wangemwita Smart911 pekeake
Afu Kuna habari nyingine humu za kichochezi zinahitaji akili ya ziada .. Lasivo unaeza panic ukagombana na mtu wako bureeee
Wengine mpaka waleo wanakomentigi na kuweka Mr smart kwenye comment zangu....
Sija mtaja bhana, shida ananyodo kweli nilimfukuzia nikajua dodo aisei nakuja kukutana naye limao tena bichi.Hahaaa. Nikurudishe nyuma hivyo yule uliyemsema kwenye post yako ya kwanza hujamuona pia sababu huna utoto wa kumwaga siri hadharani.
Au sijakuelewa? [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Hahaaaa uhalisia kwa fake ID.Jikite kwenye mada dada! Hapa tunazungumzia wanawake na sio wanaume my dear
Hahaaa huku kila mtu tajiri,msomi, mambo swafi etcJamii forum ni dunia nyingine kabisa ambayo uko log in unaishi kwenye mansion na unaendesha Bentley.
Uki log off unarudi kwenye chumba chako Kwamtogole kusubiri foleni ya chooni
Don't spoil the fun
Basi Kaka angu najua hujamtaja na pia waliomuelewa kwa ulivyoandika ni wachache sana au pia naweza kuwa pekeyangu. [emoji85] [emoji85].Sija mtaja bhana, shida ananyodo kweli nilimfukuzia nikajua dodo aisei nakuja kukutana naye limao tena bichi.
Mwenye handbag au unaye windup mikono au unayekiss wind? Maana mpo wengi.Am Jane Msowoya, na natumua avater yangu halisi,
Wewe ndo unae fake mpaka jina sio halisi
Aiseeee.......huko mimi sijui avatar yenyewe ya kudownloadKwenye hiyo avatar yako hapo juu inaonekana kipindi unachukua hiyo picha ulikuwa hujavaa pichu kwa ndani maana naona msambwanda uko tepetepe [emoji4] [emoji4] [emoji4]
Ndo ujue sasa sisi wanaume tuko real kuliko nyieSijawahi jua mnachofake maana watu watatu wa huku niliokutana nae wa humu hamna anaefake.
Hapana cha mdeko nilikuwa nakutania jamani.... wewe kazuri kazuri [emoji4] [emoji4]Sawa tu mm Sura kama wassira alafu naringa balaaaa
Afu kwenye hiyo avatar yako naona nyonga iko mwake.... ukimpata mandigo utafurahia sana....[emoji4] [emoji4]Sawa tu mm Sura kama wassira alafu naringa balaaaa
Sawa chocolate lady.... na hicho ki blauzi plus rangi yake [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106]Hiyo ndo nimeipenda sasa😉
Wanawasema wanawake wa humu wanaume je,wale mabazazi wengine mpaka wanafungukiwa uzi wanashika namba moja jf unadhan uongo?Hahahaaaaaaa hahahhaaaaa
Tuishi uhalisia
?
Bwaha bwaha.....wanaume wote jf wapo single wana magari na wanaishi Dar