Nilichojifunza kwa wadada wa JF

Nilichojifunza kwa wadada wa JF

Halafu niwe nafanya nini muda huo? Sili bata sana lakini basi tuu.
Kuna vitu vingi tu vya kufikiria mkuu atleast muda mwingine uwe unajidunga li wine lako ukiwa nyumbani....

Labda uwe binti mdogo kiumri tofouti na hapo utakuja pishana na bahati siku moja kwa tabia yako ya kujiachia club labda upate mwanaume ambae mnaendana kitabia..... [emoji4]
 
Ukweli ni kwamba smart September eleven hahusiki kule kwanza haishi dodoma ila walivotuita Ita sasa.. Cha kushangaza Mpaka Namimi niliitwa .. If the case wa Lile jina Mr smart wangemwita Smart911 pekeake

Afu Kuna habari nyingine humu za kichochezi zinahitaji akili ya ziada .. Lasivo unaeza panic ukagombana na mtu wako bureeee

Wengine mpaka waleo wanakomentigi na kuweka Mr smart kwenye comment zangu....
Ni hivi kuna mengi sana humu jf sasa katika kuelezea nadhani wanapindisha pindisha sana ili watu wasielewe kwa undani lakin watu wengine wanaelewa sana tu
 
Hahaaa. Nikurudishe nyuma hivyo yule uliyemsema kwenye post yako ya kwanza hujamuona pia sababu huna utoto wa kumwaga siri hadharani.

Au sijakuelewa? [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Sija mtaja bhana, shida ananyodo kweli nilimfukuzia nikajua dodo aisei nakuja kukutana naye limao tena bichi.
 
Sija mtaja bhana, shida ananyodo kweli nilimfukuzia nikajua dodo aisei nakuja kukutana naye limao tena bichi.
Basi Kaka angu najua hujamtaja na pia waliomuelewa kwa ulivyoandika ni wachache sana au pia naweza kuwa pekeyangu. [emoji85] [emoji85].


Hahaaa. Haya bana kaka. [emoji120] [emoji120]
 
Usiwaseme wadada au wanawake wa jf sema na wanaume wa jf,kuna wanaume wana tabia mbaya sana jf lakin kwa vile ni wanaume wamenyamaziwa ingekuwa wanawake tunafanya mshaongea kama nin,hebu mjitathimini mjue thamani ya wanawake,wazoeeni wanawake walivyo,tukianza chambuana humu mtabaki midomo wazi
Kuna watu humu wana stress wanakuja zitolea humu,kuna watu full majigambo wakati kiuhalisia hakuna kitu kabisa ,kuna wanaume waongo humu jf walifaa waishi sayari yao wanadanganya mpala wanajisahau

Ngoja nikae vyema kwanza
 
Hahahaaaaaaa hahahhaaaaa
Tuishi uhalisia
?
Bwaha bwaha.....wanaume wote jf wapo single wana magari na wanaishi Dar
Wanawasema wanawake wa humu wanaume je,wale mabazazi wengine mpaka wanafungukiwa uzi wanashika namba moja jf unadhan uongo?
Mwanaume wa jf anakuambia yupo single kumbe upo 1000 kule ,wanafake kweli humu na kujifanya wajuaji kumbe hovyo tu kiuhalisia hawapo hivyo kabisa hawana mvuto,nguo wanazovaa utacheka ,wapo baadhi wachache sana wanaojielewa humu kwa kila kitu
 
Ukitaka kuishi JF kwa amani sema
1.Unakaa kwa mtogole
2.Huna kazi au mfanya usafi mshahara 45,000
3.Umesoma Amazon college kozi ya kushona au umeishia la saba
4.Ndoa yako inakusumbua sana

Utaishi kwa amani na utakuwa na marafiki wengi sana.
 
Back
Top Bottom