Nilichojifunza kwa wadada wa JF

Ukitaka kuishi JF kwa amani sema
1.Unakaa kwa mtogole
2.Huna kazi au mfanya usafi mshahara 45,000
3.Umesoma Amazon college kozi ya kushona au umeishia la saba
4.Ndoa yako inakusumbua sana

Utaishi kwa amani na utakuwa na marafiki wengi sana.
Asalalalee watu wajaribu kukeep low profile kuna watu humu wana mapesa wako kimya tu ,hutowaona wakijisemesha semesha ,kuwa na gari kitu cha kawaida tu
Wengine sasa sijui ushamba na misifa ya kihaya
 
Acha tu

Ila mie sijawahi kukutana na wa hivyo
Japokuwa wengi ni mabazazi.
Wengine wana mpaka ID mbili leo anakuja na hii kesho anakuja na nyingine
 
ukitaka kujua tabia yako halisi angalia mambo unayoyafanya ukiwa mwenywe either bafuni..chumbani au wakti uko mwwnywe kabisa...Mtu anaeza sema hajui kucheza mziki lakni akiwa mwenywe chumbani anacheza hata kuliko dancers wa koffie au kuliko moze iyobo...[HASHTAG]#dance[/HASHTAG] like nobody is watchn zileee hahahahahah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…