Nilichojifunza kwa wadada wa JF

Kwa uzi huu Badilikeni tu wadada mnao "fabricate" maisha JF.. .waacheni ME Waoneshe maisha ya kumiliki gari Jf, kuwa na degree Jf, kuwa na kazi nzuriJf, kuwa na nyumba nzuri Jf etc etc
 
Mkuu humu ni mupana sanaa wote wapo humu wala usishangae
 
Mkuu nimeshakutana na Member wengi humu Mkuu kuna Mwingine alikuja na Bajaji hata Kabla hajashuka nilivyomuona sikuamini ikabidi nianzishe safari ya dharura ili tu asiagiza hata kinywaji chochote
Wakike au Wakiume akipita hapa anajisikiaje kwa mfano Ngoja nimsaidie kulia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…