Nilichojifunza kwenye Uchaguzi wa South Africa

Hapana mkuu namkataa hoja yako ya ukabila. Kwenye manifesto ya MK Wana sera ya kutaifisha Ardhi na migodi na kuwagawia wananchi. Hili sera ndio imewapa kura nyingi kutoka kwa wapiga kura waliochoshwa na kutokuwa na Ajira. Bila hiyo sera nakwambia huyo Zuma na MK yake wangekuwa huko shimoni na EFF.


Pia nakubaliana na wewe kuhusu DA, Tena nilitaka DA wapate majority ili waindeshe nchi bila kuchanganywa na ANC walifail. DA ndio tumaini la South Africa. Sema shida iliyopo ni extremesim ya weusi kutikana na ubaguzi hapo ndipo DA anakwamia.
 
Sera ya Zuma ndio imefanya wamfuate , maana kaahidi kutaifisha migodi na kuwapa weusi wote.
Zuma bhana.....

Huyu jamaa ni mfano mzuri wa aina ya wanasiasa laghai tulionao hapa Africa.

Kama alishindwa kufanya hayo akiwa Rais wa nchi tena mwenye nguvu ndani ya ANC, ndio ataweza akirudi mamlakani

Tena wakati wake migogoro kwenye migodi ilishamiri mno mpaka watu kuuwana.

Drama hizi....
 
Sera ya Zuma ndio imefanya wamfuate , maana kaahidi kutaifisha migodi na kuwapa weusi wote.
Huu upumbavu alijaribu Mugabe na Nyerere na azimio la Arusha, hata Iddi Amin Dada alijaribu na kuwafukuza wahindi, matokeo was the same across all countries, hakuna maendeleo ya kutaifisha kutoka kwa tajiri kwenda kwa maskini, History lazima isaidie kufanya maamuzi wakati mwingine
 
Hili sera yake ndio imefanya aondoke na Kijiji. Bila hivyo Hali ingekuwa mbaya.
 
Viongozi wetu hawajifunzi kabisa. Utaifishe migodi uwape weusi, Nini kitafuatia?. Halafu dhahabu yenyewe SA unakaribia kuisha, hapo Johannesburg imeishia.
 
Kwa Tanzania huwezi kusema chama Kiko madarakani kwa sera, maana upuuzi unaofanyika kwenye chaguzi zetu, na maagizo ya lile genge linalojiita system ni upuuzi mtupu.
Tanzania bado hatutafika kwenye sera, sisi bado tupo kwenye propaganda na mabavu basi. Pia kawadanganya wananchi na mambo ya kupita. Unajaza watu uwanja wa Taifa wakati wa kampeni na kuwaletea wasanii wapige show halafu umemaliza , na uhakika wa kura unao.
 
Hivi hawa Wasukuma wa hapa Nyumbani wanaweza kuiiga au wao hawana King wa kuwaunganisha?!
Walikuwa wanataka kupiga kipindi Fulani. Na walifikia sehemu wakadai huwezi kuwa Rais kama hujapitishwa na wasukuma. Ila naona Sasa hivi wamepotea walipata nguvu Sana. Hata mwaka 2015 walitumia hii kadi Sana. Mpaka Kampeni ikapelekwa Mwanza purposely na kisukuma kutawala.
 
Ingekua sio ukabila angepata kura za kutosha Gauteng,Limpopo, Free State na kwingine. Kura zake karibia zote zimetoka KwaZuluNatal. Zulu people have failed South Africa. Mostly they think on how to increase the number of wives when they got money. Running a country require more than that. DA hakiwezi kuaminika South Africa. Uwezo wa kuendesha nchi kinayo lakini watu wengi wanawaona kama Afrikaners waliokuja Kwa mgongo mwingine.
Kwenye ANC Kuna wing mbili Kwa sasa. Wing ya Zuma na wing ya Ramaphosa. Inatakiwa Ramaphosa atumie state at his disposal kuondoa watu wa Zuma kwenye mfumo. Kwa alichokifanya Zuma na mpaka Leo hakuna alichofanywa means bado ana nguvu ndani ya ANC.
Hata alipotangaza kuunga mkono chama tofauti na alichojisajili bado waliogopa kumfukuza.
Nafikiri kosa la ANC lilianzia pale Polokwane. Replacing a capable president like Mbeki with a guerilla leader but somehow stupid Zuma was a bad move. Money was the object and the ruin of ANC. They need to purge all those who are in his camp.
Nkosazana nealy won the presidency in 2017. Bado ana mamluki ambao waliibia South kwenye ngazi mbalimbali. Kina Ace, David Mabuza Wana mashtaka ya kujibu. Ramaphosa asipowaondoa 2025 watachukua chama na kuungana na Zuma. Neutralize your enemy while you can.
Republican in America are following Trump like crazy. Not because they like but because they can't wrestle the party from his hand. Now they follow like stupid people and history will judge them when the time comes. They had their moment in 2021 but they did not seize it. Now he just have to give you a bad name and all your credibility is shoved up your ass.
 
Ni kweli,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…