Nilichojifunza kwenye Uchaguzi wa South Africa

Boss ahsante kwa uchambuzi wako murua kabisaa.Heko kwako!![emoji1545]
Paragraph yako hii imenifanya mimi ambae sikufuatilia kabisa kinachoendelea South Africa kupata habari nzima ya uchaguzi huo.Ahsante sana
Unampatia sifa za bure maana hakuna sehemu amegusia katiba yao
 
Nolichojifunza ni kwamba S A hakuna mwijaku Wala baba Revo Wala Lucas mwashambwa Kule ni masilah ya inchi Hakuna Cha uzuli wa jina la chama Wala hakuna Cha ukombozi.
 
Kweli kabisa.
 
Mimi huwa nashangaa kwanini Kuna mambo TISS wanayaaacha yanaendelea. Wakati wa Bandari watu waliingiza udini hadharani na hakuna kilichofanyiaka kuwaonya au kumemea. Naogopa ipo siku kampeni zitafanyika Kidini halafu itakuwa shida maana kwa bongo udini ni mbaya kuliko ukabila.
 
Kumbe haukujifunza lolote kama hukusema kuwa katiba Yao ni imara na ndiyo nguzo kuu Kwa mustakabali wa afya ya taifa huru la Afrika ya kusini.
Hiyo ni obvious Mkuu. Ndipo maana sikuiweka hapo. Ila Cha zaidi nilikuwa naangalia event ya uchaguzi kwa upana wake.
 
Taifa lolote lile bila kuwa na katiba imara kamwe haliwezi kuwa na uchaguzi huru na wa haki
Shida hapa kwetu wananchi ni kama hawana time na katiba mpya wamewaachia wapinzani.
 
Maraisi wetu nao wawe wanaona aibu kusifiwa sifiwa kusikokuwa na tija.
Shida wanapenda hivyo. Bila kuwasifia wataanza kuwa na Hali ya kutojiamini wakidhani watageukwa , Sasa wakiona wanasifiwa kila eneo wanakuwa na amani.
 
Unampatia sifa za bure maana hakuna sehemu amegusia katiba yao
Mkuu sio kwamba nimeshindwa kuongelea katiba yao, Bali focus yangu ilikuwa kwenye uchaguzi Kama tukio sio sheria au katiba za uchaguzi. Nadhani next time nitajadili katiba ya south.
 
Nolichojifunza ni kwamba S A hakuna mwijaku Wala baba Revo Wala Lucas mwashambwa Kule ni masilah ya inchi Hakuna Cha uzuli wa jina la chama Wala hakuna Cha ukombozi.
Kweli kabisa. Hakuna machawa wa kulazimisha watu wampigie kura Fulani.
 
Itakuwa ni typing error mkuu. Nafikiri alikusudia kuandika ECONOMIST lakini maandishi "yakateleza"
Inaweza kuwa. Ila nilifanya intentionally na sio misspelling. Ingawa watu wengi wanalazimisha iwe Economist.
 
Tanzania twende na lipi?
 
watu wanataka maendeleo hawataki harakati
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…