Nilichojifunza Nanenane: Kufanya Kazi Halmashauri ni kupoteza muda na kukaribisha umasikini tu

Hawa wanaakili sana,yani bora ukaange mihogo mtaani kuliko akuajiliwa halmashauri.
 
Hahahahaa aisee umepiga kwenye mshono, uwezi kuwa na roho mbaya ukafanikiwa au ukawa na furaha hata uwe mazingira mazuri kiasi gani
 
Sure the Kopp, you will never walk alone.
 
Mdg angu mm anafanya Kaz kati moja ya halmashauri ulizotaja hapo kjin Yuko vzr mno mkoko ,nyumba nxuri anayo kwa kifupi anapambna mno
 
Huko halmashauri watu wana hali tete
Ripoti za CAG kila mwaka zinaonyesha halmashauri yanaibwa mabilioni pesa huwa wanapeleka wapi?

Pili nenda ofisi yeyote ya halmashauri utakuta magari binafsi kibao yamepaki ya wafanyakazi pesa hizo huwa wanazitoa wapi?
 
Mabanda ys BOT yote yanakuaga na AC lazima wawaonyeshe washika pochi ya Taifa ela zenu zipo kwa wasio na njaa...wakijiendesha kimaskini kama Halmashauri mtawasema sana na imani yenu kwao itashukaa
 
Mdg angu mm anafanya Kaz kati moja ya halmashauri ulizotaja hapo kjin Yuko vzr mno mkoko ,nyumba nxuri anayo kwa kifupi anapambna mno
Nadhani lengo la mada yangu hamjaelewa.
Sisemi kuhusu "side hustle" maana wapo wasio na ajira na Wana maisha mazuri sanaaa zaidi ya mdogo wako.

Nachosemea "Kwanini Local government Wana maslahi Duni kuliko Taasisi?""

The point is "What gained at the job" hayo ya side hustle kila mtu ana mishe zake.

Na kwanini Taasisi Wana mishe zao Ila pia kazini wanapata pakubwa?

#YNWA
 
Nadhani lengo la mada yangu hamjaelewa.
Sisemi kuhusu "side hustle" maana wapo wasio na ajira na Wana maisha mazuri sanaaa zaidi ya wenye ajira.

Nachosemea "Kwanini Local government Wana maslahi Duni kuliko Taasisi?""

The point is "What gained from the job" hayo ya side hustle kila mtu ana mishe zake.

Na kwanini Taasisi Wana mishe zao Ila pia kazini wanapata pakubwa?

#YNWA
 
Pole mkuu,miye sihami huku Tanganyika,nishaweka mifumo na mambo yanaenda pouwaaa

Upo idara Gani mkuu tukutengenezee koneksheni
Nadhani lengo la mada yangu hamjaelewa.
Sisemi kuhusu "side hustle" maana wapo wasio na ajira na Wana maisha mazuri sanaaa zaidi yako.

Nachosemea "Kwanini Local government Wana maslahi Duni kuliko Taasisi?""

The point is "What gained at the job" hayo ya side hustle kila mtu ana mishe zake.

Na kwanini Taasisi Wana mishe zao Ila pia kazini wanapata pakubwa?

#YNWA
 
Ndugu yangu mwenyekiti wa wakataa ndoa jitahidi sana uje uione pepo (mbingu) maana inasemekana huko pekee ndo kuna usawa. Kwa hapa duniani hakutakaa kuwe sawa.
Basi ngoja na sisi tuzifate hizo ZA JUU.
Kila mtu anatamani vilivyonona.

#YNWA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…