Nilichojifunza Nanenane: Kufanya Kazi Halmashauri ni kupoteza muda na kukaribisha umasikini tu

Nilichojifunza Nanenane: Kufanya Kazi Halmashauri ni kupoteza muda na kukaribisha umasikini tu

safi sana bro nimependa mawazo wako we acha wakimbilie mijini sisi tunatesa huku kijijini siku wakiamka tuko mbali
Mwisho napenda kusema vitunguu ni mali
Anaeandika hivi unakuta yupo Kinondoni pale miguu juu akiandika comment yake.

#YNWA
 
Mkuu wangu pole sana. Halmashauri zimejaa ujinga. Ninyi ndiyo mlipaswa mle bata sana. Ila eti unakuta 60% ya mapato sijui 40% yanaenda kwenye miradi ya maendeleo halafu wakurugenzi ni wakuda unakuta hiyo percentage inayobaki anawabania watumishi stahiki zao.

I wish nije niwe waziri wa TAMISEMI au Katibu mkuu nitawaonesha. Kwanza maendeleo inapaswa iwe asilimia kidogo sana nitahimiza PPP ktk kutekeleza miradi ili hawa watumishi wafanye kazi kwa raha
Asante madam
Na malengo yako yatimie madam.

#YNWA
 
Back
Top Bottom