MoseKing
JF-Expert Member
- Jul 5, 2017
- 4,928
- 8,976
Ni zaidi ya choka mbaya. Na kibaya zaidi hata mtaani mambo hayaendiKwani Halmashauri za Kilimanjaro ni choka mbaya sanaa?
#YNWA
- Huwezi kufanya biashara
- Huwezi kulima
- Huwezi kufuga
- Huwezi kujenga
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni zaidi ya choka mbaya. Na kibaya zaidi hata mtaani mambo hayaendiKwani Halmashauri za Kilimanjaro ni choka mbaya sanaa?
#YNWA
Ni halmashauri Gani hiyo upo?Ni zaidi ya choka mbaya. Na kibaya zaidi hata mtaani mambo hayaendi
- Huwezi kufanya biashara
- Huwezi kulima
- Huwezi kufuga
- Huwezi kujenga
Kwani na nyie wanaccm mnahangaika?Liverpool Vpn,niko nawe Bega kwa Bega katika vita ya ukombozi kuondoka local
Ccm pia tunazidiana ugali,Kwani na nyie wanaccm mnahangaika?
#YNWA
Hii kauli yako inaeleweka na watu wa Kinondoni MC, Temeke MC, Kigambkni MC, Dodoma Jiji, Ilala Jiji, Mwanza Jiji, Tunduma TC, Mafinga TC, Mufindi DC na sehemu kama hizoKama unapata posho zako kwa wakati ,safari uhakika basi baki huko... Taasisi nyingi kwa sasa zinaendeshwa kijima watu hawapati posho kwa wakati wala safari mpaka uwe na connection.
Mi nilikua najuaga " Ukiwa na kadi ya chama USHATOBOA"Ccm pia tunazidiana ugali,
Halmashauri zote.Ni halmashauri Gani hiyo upo?
Sema labda uniambie Kilimanjaro hakuna ardhi (imejaa) na wachaga kuuza ardhi hawataki.
#YNWA
Kwa ufugaji wa "Zero grazing" Moshi ni kipengele.Halmashauri zote.
Ardhi ni kiduchu sana, mashamba ni kama hakuna.
Ufugaji ni mgumu, unless kama unanunua majani kila siku, maana huku hakuna malisho, na huwezi kukata majani kwenye eneo la mtu.
Kwanini huwezi kufanya biashara, kujenga etc?Ni zaidi ya choka mbaya. Na kibaya zaidi hata mtaani mambo hayaendi
- Huwezi kufanya biashara
- Huwezi kulima
- Huwezi kufuga
- Huwezi kujenga
Mwizi huyoUkiwa kwenye halmashauri soma ramani ujue nini ni dili hapo. Kuna watu wameajiriwa halmashauri wakatoboa mpaka wakashangaza watu.
Nina ndugu yangu aliajiriwa wilayani mkoa wa tabora lakini alifanya makubwa mpaka akanunua V8 na kujenga Ghorofa kijijini kwao kilimanjaro.
1. Nimezaliwa MwananyamalaLiverpool VPN we bora ubaki huko huko DC, ....ukija mjini utajikuta unaoa.
Baki huko muasisi wa chama cha wasio oa,,, uendelee kukijenga chama
Wachaga kuuza ardhi WAMEGOMA.Kwanini huwezi kufanya biashara, kujenga etc?
Sasa si ungebaki na kazi yako uliyokuwa unaifanya Dar? Kwanini uliomba ajira serikalini?1. Nimezaliwa Mwananyamala
2. Nikasomea Mwananyamala na kinondoni (msingi)
3. Nikasomea Posta (O-level)
3. Nikasomea uhuru (Benjamini - Advance)
4. Nikasomea Dar - Chuo - UDSM
5. Nikafanya Kazi dar - Posta
6. Mitaa yangu ya kujidai ilikuwa ni Mwananyamala yoteee kuanzia A, ujiji, Kwa kopa, Bwawani, Peace n.k, bila kusahau Makumbusho, Mwenge, Magomeni na Kinondoni.
7. Ajira ya serikali ikanileta mkoani.
Unadhani naweza kudata na Jiji?
#YNWA
KumbeWachaga kuuza ardhi WAMEGOMA.
#YNWA
Kilimanjaro ni mkoa wenye eneo dogo sana, kiasi kwamba wao tu haliwatoshi.Kwanini huwezi kufanya biashara, kujenga etc?
Vipi upande wa biashara, wachaga si wafanyabiashara? Unasemaje hakuna biasharaKilimanjaro ni mkoa wenye eneo dogo sana, kiasi kwamba wao tu haliwatoshi.
- Hivyo, hakuna mashamba, Kuna vieneo vichache halafu kilimo ni kigumu bila mbegu za kisasa na kupiga dawa hupati kitu.
- Kujenga ni ngumu maana hwauzi eneo na Kama wakiuza ni kieneo kidogo bei mlima.