MoseKing
JF-Expert Member
- Jul 5, 2017
- 4,928
- 8,976
Ni wafanyabiashara, lakini hizo biashara wengi hawafanyii KilimanjaroVipi upande wa biashara, wachaga si wafanyabiashara? Unasemaje hakuna biashara
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni wafanyabiashara, lakini hizo biashara wengi hawafanyii KilimanjaroVipi upande wa biashara, wachaga si wafanyabiashara? Unasemaje hakuna biashara
MASLAHISasa si ungebaki na kazi yako uliyokuwa unaifanya Dar? Kwanini uliomba ajira serikalini?
NakaziaNi wafanyabiashara, lakini hizo biashara wengi hawafanyii Kilimanjaro
Kwahio Halmashauri kuna maslahi mazuri kuliko huko private ulikokua?Nakazia
#YNWA
Kwamba hakuna wateja?Ni wafanyabiashara, lakini hizo biashara wengi hawafanyii Kilimanjaro
Basi endelea kula maslahi ndugu, kuwa na subira, ukipandishwa daraja mishahara inapanda.MASLAHI
#YNWA
Ndo ninachojiuliza na mimi, akijibu nitagKwahio Halmashauri kuna maslahi mazuri kuliko huko private ulikokua?
Lini hiyo na umri unakwenda?Basi endelea kula maslahi ndugu, kuwa na subira, ukipandishwa daraja mishahara inapanda.
Ndio..Kwahio Halmashauri kuna maslahi mazuri kuliko huko private ulikokua?
Njoo tubadilishane na mimi, mi nataka kuja halimashauri za maporini huko nikalime, niko private ya Msomali hapa Ilula.INTRODUCTION:
Kwanza kabisa Mimi Mr. Liverpool ni mtumishi wa umma ndani ya Halmashauri kwa muda wa miaka 11. Miaka 5 nimekuwa Shule na 6 ndio kazini.
Niko kwenye Halmashauri iliyo chaka sanaaa.
SCENARIO
Tokea nifike Nanenane 01/08 Mbeya nimekuwa nikitembelea mabanda ya ofisi nyengine kujifunza.
Nilichojifunza kufanya Kazi Halmashauri iwe Manispaa, Wilaya, Mji mdogo au ""What so ever"" ni kupoteza muda tuu.
Kuna utofauti mkubwa sanaa kati ya Taasisi na Halmashauri.
Japo wote tupo Serikali moja ila Taasisi ni watoto pendwa wa Serikali.
Nimetembelea mabanda ya Taasisi kama
1. BOT
2. EWURA
3. TRA
4. Zile za kilimo kama PASSS na TANTRADE
5. BRELA
6. N.k
Lakini pia nimetembelea mabanda ya Halmashauri kama
1. Mlele
2. Tanganyika
3. Mbalali
4. Ileje
5. Songwe
6. Mafinga
7. Momba
8. Kalambo
9. Nsimbo
10. Kilolo
11. N.k
Ila nimeona utofauti mkubwa sanaa.....
THE PROBLEM
1. Sehemu za kulalia (Hotel na Lodge)
Kuanzia njia ya Uyole mpaka Kabwe Hadi Mbalizi kuna hoteli nyingi tu, ila kwa posho za Halmashauri huwezi lala hizo Hotel, mule hotelini kumejaa gari za ST... na SU tu. Hakuna SM kabisaaa.
Kuna mshikaji wangu yupo PASS kalala kwenye hoteli ya Laki per night huku Mimi nimelala lodge ya 20,000 per night (kila mtu kala kulingana na urefu wa per diem yake).
2. Muonekano wa mabanda
Hebu tembelea banda la H/W Mlele, Nsimbo, Sumbawanga au Mafinga halafu nenda BRELA, TRA au BOT ndio Utanielewa.
3. Hali wa watumishi
Ukitembelea mabanda ya Taasisi utakuta raia wako charming sanaa, nyuso za furaha na kukukaribisha vizurii.
Ila Halmashauri sasa, Mungu atusaidie, maana raia wamepoteza hope kabisa.
Kwanza wengine posho wamekopwa na wakurugenzi wao..!!!
4. Magari
Hebu angalia ndinga za SU na SM.
Hebu cheki tu external appearance UTANIELEWA.
Hebu chukua V8 ya BOT au Wizara ya Fedha halafu pembeni weka V8 ya Njombe au Kalambo, Utanielewa tu.
CONCLUSION
Halmashauri hakuna maisha na hasa hizi DC ndio Umasikini fullll.
Kijana mtafuta ajira, ukipata ajira SM aisee cha kwanza fikiria kuhama na pambana kuhama.
Kijana mtafuta ajira, njoo SM chukua "cheki namba" halafu sepaa kale maisha Taasisi.
Note:- Kuhama SM sio rahisi ila Inawezekana.
Mimi ni mmoja wapo lazima nihame huku SM, siioni kesho yangu nikiwa hii DC iliyo kijijini hivi.
Yaani Mimi na Masters yangu siwezi staafia huku kijijini halafu Kuna raia wapo DSM, Mwanza, Mbeya, kifupi wapo mjini wanakula maisha ya Taasisi.
Aisee siwezi kukubali, KUHAMA KWENDA TAASISI NI LAZIMA.
Iwe hata kwa hela ila NITAHAMA TU..!!
NOTE
Mbele ya macho ya Serikali ya CCM sisi watumishi ""We are all equal, but some people are more equal""
YNWA
Kufanya Kazi private nilishamaliza tokea 2012Njoo tubadilishane na mimi, mi nataka kuja halimashauri za maporini huko nikalime, niko private ya Msomali hapa Ilula.
Wapi kwenye roho nzuri na hela?Watu wa halmashaur roho mbaya halafu pesa hakuna dadeki
Halmashauri wanapaswa fanya Kazi wanawake tuuu...😂😂😂😂,, anasemaje Kwani mbona sijamuelewa 😃
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
usikute hata yeye mwenyewe hata cha kujiajiri nacho hana😃😂😂Halmashauri wanapaswa fanya Kazi wanawake tuuu...
Dharau hizi 😭😭😭
#YNWA
Kwanza nikuulize umelipa ada ya watoto mwezi huu?INTRODUCTION:
Kwanza kabisa Mimi Mr. Liverpool ni mtumishi wa umma ndani ya Halmashauri kwa muda wa miaka 11. Miaka 5 nimekuwa Shule na 6 ndio kazini.
Niko kwenye Halmashauri iliyo chaka sanaaa.
SCENARIO
Tokea nifike Nanenane 01/08 Mbeya nimekuwa nikitembelea mabanda ya ofisi nyengine kujifunza.
Nilichojifunza kufanya Kazi Halmashauri iwe Manispaa, Wilaya, Mji mdogo au ""What so ever"" ni kupoteza muda tuu.
Kuna utofauti mkubwa sanaa kati ya Taasisi na Halmashauri.
Japo wote tupo Serikali moja ila Taasisi ni watoto pendwa wa Serikali.
Nimetembelea mabanda ya Taasisi kama
1. BOT
2. EWURA
3. TRA
4. Zile za kilimo kama PASSS na TANTRADE
5. BRELA
6. N.k
Lakini pia nimetembelea mabanda ya Halmashauri kama
1. Mlele
2. Tanganyika
3. Mbalali
4. Ileje
5. Songwe
6. Mafinga
7. Momba
8. Kalambo
9. Nsimbo
10. Kilolo
11. N.k
Ila nimeona utofauti mkubwa sanaa.....
THE PROBLEM
1. Sehemu za kulalia (Hotel na Lodge)
Kuanzia njia ya Uyole mpaka Kabwe Hadi Mbalizi kuna hoteli nyingi tu, ila kwa posho za Halmashauri huwezi lala hizo Hotel, mule hotelini kumejaa gari za ST... na SU tu. Hakuna SM kabisaaa.
Kuna mshikaji wangu yupo PASS kalala kwenye hoteli ya Laki per night huku Mimi nimelala lodge ya 20,000 per night (kila mtu kala kulingana na urefu wa per diem yake).
2. Muonekano wa mabanda
Hebu tembelea banda la H/W Mlele, Nsimbo, Sumbawanga au Mafinga halafu nenda BRELA, TRA au BOT ndio Utanielewa.
3. Hali wa watumishi
Ukitembelea mabanda ya Taasisi utakuta raia wako charming sanaa, nyuso za furaha na kukukaribisha vizurii.
Ila Halmashauri sasa, Mungu atusaidie, maana raia wamepoteza hope kabisa.
Kwanza wengine posho wamekopwa na wakurugenzi wao..!!!
4. Magari
Hebu angalia ndinga za SU na SM.
Hebu cheki tu external appearance UTANIELEWA.
Hebu chukua V8 ya BOT au Wizara ya Fedha halafu pembeni weka V8 ya Njombe au Kalambo, Utanielewa tu.
CONCLUSION
Halmashauri hakuna maisha na hasa hizi DC ndio Umasikini fullll.
Kijana mtafuta ajira, ukipata ajira SM aisee cha kwanza fikiria kuhama na pambana kuhama.
Kijana mtafuta ajira, njoo SM chukua "cheki namba" halafu sepaa kale maisha Taasisi.
Note:- Kuhama SM sio rahisi ila Inawezekana.
Mimi ni mmoja wapo lazima nihame huku SM, siioni kesho yangu nikiwa hii DC iliyo kijijini hivi.
Yaani Mimi na Masters yangu siwezi staafia huku kijijini halafu Kuna raia wapo DSM, Mwanza, Mbeya, kifupi wapo mjini wanakula maisha ya Taasisi.
Aisee siwezi kukubali, KUHAMA KWENDA TAASISI NI LAZIMA.
Iwe hata kwa hela ila NITAHAMA TU..!!
NOTE
Mbele ya macho ya Serikali ya CCM sisi watumishi ""We are all equal, but some people are more equal""
YNWA
safi sana bro nimependa mawazo wako we acha wakimbilie mijini sisi tunatesa huku kijijini siku wakiamka tuko mbaliNjoo tubadilishane na mimi, mi nataka kuja halimashauri za maporini huko nikalime, niko private ya Msomali hapa Ilula.