Nilichojifunza Nanenane: Kufanya Kazi Halmashauri ni kupoteza muda na kukaribisha umasikini tu

Kila mtu angekuwa kama wewe hana ndoa usingezaliwa

Wewe ulizaliwaje kama hakukuwa na mahusiano ya kindoa ya waliokuzaa

Watu mashoga na Masagaji huwa hayajiewi kabisa
Punguza personal attacks, ""lenga mada"".

Watoto hawana uhusiano wowote na ndoa.

#YNWA
 
Hakika 👍 mnapauka kama dagaa
 
Punguza personal attacks, ""lenga mada"".

Watoto hawana uhusiano wowote na ndoa.

#YNWA
matunzo ya kulea watoto watadaiwa wote kisheia kuwa lazima wagharimie wanakuwa assumed kuwa wanandoa ndio.maana walizaa

Na wakifa watoto mirathi wanarithi kote .kwa baba yao na mama yao bila kujali hao wazazi wanaishi pamoja au la.Wao wanatambua ni ndoa hiyo na wao ni zao la ndoa kati ya Baba yao na mama yao Kama wao hawaishi pamoja hiyo watajijua wenyewe Wakifa watoto wanataka chso pande zote.Na mahakama huwa zinawapa hiyo haki
 
Basi ngoja na sisi tuzifate hizo ZA JUU.
Kila mtu anatamani vilivyonona.

#YNWA
Mwenyekiti hilo ndo la muhimu. Aliyeko juu mfuate sio kusubiri huruma ya serikali utapoteza muda. Miaka ile mwalimu alikuwa akilipwa mshahara laki na 40, wanafunzi wa field pale MOF walikuwa wanakunja hadi 600k wanasema za lunch. Ukiwa mwanafunzi wa IT unaweza kukunja zaidi ya hiyo kwasababu kila idara ilikuwa na kiwango chake cha Lunch kwahiyo IT anaweza kujikuta kapokea mkwanja idara zote. Hii dunia haina haki.
 
Kozi aliyosoma ni ya hovyo haina kitu haina maokoto zaidi ya salary
🤣🤣🤣Mwambie huyo,ardhi Kuna maokoto kama yote

Mmekutana wenyewe watoto wa Ardhi university.
Ila hii Dunia ni ya ajabu sanaa Kuna mshkaji wangu nikisoma nae PCB ila mi nilikimbia medicina, jamaa anakwambia, "course Bora ya kusoma ni medicine"

Ila pia huku Halmashauri Kuna maafisa Ardhi wapo ila naona wamepauka tuuu.
Na Kuna madokta huku kila siku wanatafuta uhamisho.

Dunia vururu vururuuu

#YNWA
 
- Mimi ni CPA (T) Sijasoma ardhi kabisa
-Wamepauka lakini wenzio Wana Mali nyingi, na madili mengi
 
Ni kweli ileje afsa ardh na afisa ardh dodoma jiji ,wa ileje atasubiri sanaa
 
Naunga mkono hoja. Ipo tofauti kubwa ya daktari wa tamisemi na Benjamin Mkapa hospital.
Hivi mnajua hamjiamini[emoji23][emoji23][emoji23]. Benjamin Mkapa ni jina kubwa tu ila amekuzidi gross salary kwa 500k tu ila kadri mshahara unavyokuwa mkubwa na kodi inakuwa kubwa. Take home yake inaishia kuwa 1.4M mpaka 1.5M na kusomeshwa wote mnaweza someshwa sema wa BMH atawahi. Kuhusu call allowances, inategemea mapato ya hospitali na ukizingatia maspecialist ni priority wewe utasubiri kwanza. Hebu tuache kuangalia majina makubwa yakakitisha[emoji23][emoji23][emoji23]. Umesikia MOI imeingia hasara ya kiasi gani kwenye ripoti ya CAG, ndiyo ujue watu wanavyopiga madili outside the legal system. Mshahara haujawahi tosha kamwe, maana mshahara ukipanda na kodi inapaa. Kuna mtu makato ya kodi kwenye salary inaenda na 750k nzima[emoji23][emoji23][emoji23]. Hapo atakachobaki kuenjoy ni allowances na perdiem. Sio mshahara!
 
Dah hao ndio wasomi wetu wanawaza ubinafsi hawawaz jinsi gani kupambana kubadili uchumi wa nch
Abadili uchumi wa nchi peke yake huku mliowachagua kuwa maboss wanajipakulia tu manyama[emoji23][emoji23][emoji23]. Yaani mtu asifikilie kujiongezea kipato chake binafsi afikirie taifa zima[emoji23][emoji23], yaani wazee mnapenda sana kutubebesha majukumu makubwa wakati nyie yaliwashinda na mkatengeneza ubinafi ndani ya taifa.
 
- Mimi ni CPA (T) Sijasoma ardhi kabisa
-Wamepauka lakini wenzio Wana Mali nyingi, na madili mengi
Hivi dhumuni la mada yangu mmelielewa?

Wengi mnazungumzia "side hustle" ila Mimi nazungumzia "maokoto ya kazini"

Hayo ya side hustles kila mtu na tobo lake, hebu tuongee kile kinachoingia NMB kutoka serikalini.

#YNWA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…