Nilichokigundua kuhusu watanzania, mara baada ya kuwatoa watoto wangu English Medium na kuwaleta Kayumba

Hizo shule za English Medium wanampa mtoto maarifa gani ya kumsaidia huko duniani akija kuanza kuishi?
Kwani hizo english medium nyingi zina kuwa kuanzia chekechea na primary school, asilimia kubwa wakienda sekondari huwa wanarudi hizi shule za serikali.

Kwahiyo kupigika kwako ndio unatafuta sababu ya kujifariji kwa kupondea kuwa hizo shule hazifai au hazina msaada?

Umetolewa KO kwenye pambano ni vyema umeangalia option nyingine, lakini sio kupondea huko ulipowatoa watoto.

That's life..!!
 
Ur still a learner mkuu.

Nani alie kudanganya kwambia kulipa mamilioni English Mediums ndio kuwajibika kwa watoto wako? Nani huyo tumtafute tukamchape?

Elewa neno " kumchapa"
Naona kama unazidi kupoteq njia...🤣
I'm talking about millions, hapa nimesema ubora wa elimu, kuwajibika kwa ubaba wangu pamoja na maarifa wanayo yapata kutoka kule ninapo wapeleka kusoma.
Ikiwa utaanza kuthaminisha pesa, trust me.... hapo lazima utapotea njia kwasabau mimi nikisema sinapesa zaidi ya elfu tano mfukoni, kunamwingine atasema hana pesa kabisa kwasabau akiba yake imebaki 10 millions bank...😊
Mwisho nisema kwamba badi ni wajibu wa mzazi/baba kumuandaa mwanae ajekua nani huko baadae.
 
Hizo shule za English Medium wanampa mtoto maarifa gani ya kumsaidia huko duniani akija kuanza kuishi?
Ebu jaribu kuangaza macho tena uone kama kuna sehem nimeandika kwamba wanangu wapo English mediums....🤨
Nakini pia, wanaume ama wababa hatujawahi kukosa kisinguzio mara tu tunapo ishiwa noti..😊
 
Elimu bora ni nini?
 
malengo yangu watoto niwapeleke popote ili wajue kwanza kusoma na kuandika na kuongea vizuri na kuhesabu. Kiswahili na kiingerezs katika grobal standards.

Wakifanikiwa hapo mengine waniachie mimi ntajua pa kiwapeleka.
Hahahahah
 
Faida ya english medium inampa mtoto marafiki wa maana, sio kama za kayumba!

unachanganya English Medium vs International Schools. Mkuu wazazi wanao wapeleka watoto wao English Mediums ni choka mbaya kama wewe tu unaempeleka mtoto wako Kayumba. Wanaishi maisha ya ku unga unga plus wanasomesha watoto wao kwa vikoba na kudaiwa shuleni. Hakuna connection yoyote mkuu.
 


Deal na Maisha yako, achana na ya watu, ukiweza mpeleka mtoto shule ya English kwa primary ni muhimu maana anapata msingi wa lugha kuendelea huko mbele hata akienda za kawaida.

Ila kama hauna uwezo Mungu anasaidia....

Kamwe usimsomeshe mtoto kinyonge sababu unataka kujenga, msomeshe kinyonge sababu huna hela.

Kujenga utajenga tu, ila umri na elimu ya mtoto havingoji......

Achana na maisha ya watu....

Hakuna mtu anaweza igiza umaskini.
 
Kingereza chenyewe ni Cha Kuunga unga Bora Katumba.

Kama una pesa peleka Nchi jirani au top schools za bei kubwa hapo utakuta walimu Wageni kutoka Nchi ambazo watu wanajua lugha.
 
Kila mtu afanye analoona linafaa, lakini hata umsomeshe shule ya milioni 10 kwa mwaka kama mtoto huyo yupo hapa Tanzania wewe mzazi huna unalolifanya unajigeuzageuza tu ili uliwe vizuri... akimaliza hizo shule za milioni 10 kama hana hata mtaji wa kuanzisha kampuni yake wewe mzazi utakuwa na fahari ipi mbele yake unapomwona mwanao anazunguka na vibahasha na kugombania interviews za kihayawani?...
 
Ebu jaribu kuangaza macho tena uone kama kuna sehem nimeandika kwamba wanangu wapo English mediums....🤨
Nakini pia, wanaume ama wababa hatujawahi kukosa kisinguzio mara tu tunapo ishiwa noti..😊
Duh we hatari kweli mkuu umebadilisha tena gia angani
 
Nakazia
 
Kuna mahali nimewakataza watu kuwapeleka watoto wao English Mediums?
 
Kabisa mkuu halafu sijui kwanini watu huwaga hawalioni hilo? Tatizo letu watanzania huwaga hatuna mipango ya muda mrefu..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…