uttoh2002
JF-Expert Member
- Feb 3, 2012
- 17,060
- 32,400
Nimewataja kwa sababu story yangu inawahitaji
Sawa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimewataja kwa sababu story yangu inawahitaji
Mkuu umeongea jambo la msingi sana. Watanzania wengi wanapenda sifa za kijinga bila kujali zinawagharimu kiasi gani.Ni kwamba hawa watu wa mtaani kwetu wananiiga au na wao uchumi umewapiga kama Mimi.
Ni hivi niliwahi kuandika Uzi hapa nikisema nimeamua kuwatoa watoto wangu English Medium na kuwaleta Kayumba baada ya uchumi wangu kuzorota. Then nikaja nikaanzisha Uzi kuhusu FAIDA binafsi nilizo zipata baada ya kuwahimishia watoto wangu Kayumba.
Leo nimeenda shuleni kulikuwa na kikao cha wazazi. I was surprised KUKUTANA na watu zaidi ya kumi ambao na wao watoto wao walikuwa wanasoma English Medium na sasa wamewahamishia Kayumba.. Nilishindwa kupata jibu je ni kwamba hawa jamaa wana niiga Mimi au na wao uchumi umewapiga kama Mimi?
Kati yao kumi ni mmoja ndio Nina uhakika kwa asilimia mia kwamba amewahamishia watoto wake Kayumba kwa sababu ya kunigeza Mimi au at least kuwa inspired na Mimi.
Niliambiwa na mtu kwamba huyu jamaa aliwahi kusikika bar akiwaambia watu anawarudisha watoto wake Kayumba kwa sababu uchumi umekuwa mgumu. Akasema " Kama ( jina langu) nimewarudisha watoto wangu Kayumba yeye ni nani asiwarudishe?
Ni hivi hapo mtaani kwetu ( uswahilini) Mimi ninachukuliwa kama kijana mwenye uwezo kifedha.
Ila ukweli ninaujua Mimi mwenyewe ninapitia kipindi kigumu kiuchumi.. Ndio maana niliamua kuwarudisha watoto wangu shule ya Kayumba.
Mimi kuwarudisha watoto wangu Kayumba ilikuwa ni habari iliyo enea mtaa mzima..
Najua baadhi ya watu watakuwa wamefurahi kwa sababu kwao hilo linamaanisha anguko langu..
Hata hivyo leo nimekuja kugundua kwamba, Kumbe ni watu wengi tu hapo mtaani ambao walikuwa wanasomesha watoto wao English Medium walikuwa wanaumia kimya kimya ila walikuwa hawajui cha kufanya kwa sababu walikuwa wana ogopa macho na maneno ya watu ndio maana wengi wao walikuwa wanaishi kwa stress ilimradi ionekane watoto wao wanasoma English Mediums.
Nilipo watoa watoto wangu English Medium.na kuwaleta Kayumba, wazazi wengi wamefuata njia, now wanawatoa watoto wao English Mediums na kuwaleta Kayumba..
Nilicho kigundua kuhusu watanzania wengi ni kwamba wengi wanafanya mambo kwa ajili ya kujionyesha kwa watu. Kwa ajili ya approval and validation from other people.
Kwako ewe Mtanzania. Fanya kitu ambacho kipo ndani ya uwezo wako. Ishi maisha yako halisi usiishi kuwa impress watu.
NakaziaMkuu umeongea jambo la msingi sana. Watanzania wengi wanapenda sifa za kijinga bila kujali zinawagharimu kiasi gani.
Sema mtaani kwenu inaonekana mnafatiliana sana maisha
Uswahilini everyone knows everything about everyone. Every one is naked uswahiliniSema mtaani kwenu inaonekana mnafatiliana sana maisha
Katika maisha fanya kitu kitakacho kupa amani.Ni kwamba hawa watu wa mtaani kwetu wananiiga au na wao uchumi umewapiga kama Mimi.
Ni hivi niliwahi kuandika Uzi hapa nikisema nimeamua kuwatoa watoto wangu English Medium na kuwaleta Kayumba baada ya uchumi wangu kuzorota. Then nikaja nikaanzisha Uzi kuhusu FAIDA binafsi nilizo zipata baada ya kuwahimishia watoto wangu Kayumba.
Leo nimeenda shuleni kulikuwa na kikao cha wazazi. I was surprised KUKUTANA na watu zaidi ya kumi ambao na wao watoto wao walikuwa wanasoma English Medium na sasa wamewahamishia Kayumba.. Nilishindwa kupata jibu je ni kwamba hawa jamaa wana niiga Mimi au na wao uchumi umewapiga kama Mimi?
Kati yao kumi ni mmoja ndio Nina uhakika kwa asilimia mia kwamba amewahamishia watoto wake Kayumba kwa sababu ya kunigeza Mimi au at least kuwa inspired na Mimi.
Niliambiwa na mtu kwamba huyu jamaa aliwahi kusikika bar akiwaambia watu anawarudisha watoto wake Kayumba kwa sababu uchumi umekuwa mgumu. Akasema " Kama ( jina langu) nimewarudisha watoto wangu Kayumba yeye ni nani asiwarudishe?
Ni hivi hapo mtaani kwetu ( uswahilini) Mimi ninachukuliwa kama kijana mwenye uwezo kifedha.
Ila ukweli ninaujua Mimi mwenyewe ninapitia kipindi kigumu kiuchumi.. Ndio maana niliamua kuwarudisha watoto wangu shule ya Kayumba.
Mimi kuwarudisha watoto wangu Kayumba ilikuwa ni habari iliyo enea mtaa mzima..
Najua baadhi ya watu watakuwa wamefurahi kwa sababu kwao hilo linamaanisha anguko langu..
Hata hivyo leo nimekuja kugundua kwamba, Kumbe ni watu wengi tu hapo mtaani ambao walikuwa wanasomesha watoto wao English Medium walikuwa wanaumia kimya kimya ila walikuwa hawajui cha kufanya kwa sababu walikuwa wana ogopa macho na maneno ya watu ndio maana wengi wao walikuwa wanaishi kwa stress ilimradi ionekane watoto wao wanasoma English Mediums.
Nilipo watoa watoto wangu English Medium.na kuwaleta Kayumba, wazazi wengi wamefuata njia, now wanawatoa watoto wao English Mediums na kuwaleta Kayumba..
Nilicho kigundua kuhusu watanzania wengi ni kwamba wengi wanafanya mambo kwa ajili ya kujionyesha kwa watu. Kwa ajili ya approval and validation from other people.
Kwako ewe Mtanzania. Fanya kitu ambacho kipo ndani ya uwezo wako. Ishi maisha yako halisi usiishi kuwa impress watu.
Safi sana so mwisho wa siku ilikuwaje?Katika maisha fanya kitu kitakacho kupa amani.
Kipind naanza fm one mzee alitaka nisome shule ya 1.8m lkn kiuhalisia sikuwa nyumbn pekee.... Tulkuwa watatu.. japo rafk ake akamshawish tuende na mwanae hio shule maza akaingilia Kati akasema no... Tutafute shule nafuu ambayo na wengn tutawalipia.
Ko uko vizur km kitu kinakusumbua kitoe wazaz wengi wanaiga kushndan kweny shule lkn wanaumia kinoma
Mungu anisaidie na azidi kunipa afya njema na nguvu ili niweze kuwapeleka watoto wangu katika shule zilizo bora na wapate alimu yenye ubora na maarifa.....
Amen...[emoji120]
Baba bora niyule anae wajibika kwa mtoto/watoto wake, hii haijalishi kwamba mtoto anampenda mama zaidi ya baba.
Watoto wako ni matokeo ya starehe zako, na mwisho wa siku hakuna mtoto alie kuomba umzae.
By the way..........
Baba kama wewe ndio wababa wajinga na wapumbavu wenye fikra za kusomesha watoto wao ili wakifanikiwa waje wawe msaada kwao.
Wewe kama baba unapaswa kujiandalia maisha yako ya uzeeni ili uzeeke vizuri.
Nilienda ambayo ni ya 1.2 tulkuwa na mdg angu ko jumla ikawa 2.4m uklinganisha na ile nyngn angetoa 3.6 na tulifaulu fresh saa hz ni muhasbu by Professional kutok pale IFMSafi sana so mwisho wa siku ilikuwaje?
Mimi wameshindwa kufungua code. Naishi kama Hosama dadeki, kuniingia mtu anajipanga na kujinyafua nyafua.Uswahilini everyone knows everything about everyone. Every one is naked uswahilini
NI kweli mkuu.Kayumba kuanzia darasa la tano utawakuta wanawapokea wahamiaji kutoka English schools.Ni kwamba hawa watu wa mtaani kwetu wananiiga au na wao uchumi umewapiga kama Mimi.
Ni hivi niliwahi kuandika Uzi hapa nikisema nimeamua kuwatoa watoto wangu English Medium na kuwaleta Kayumba baada ya uchumi wangu kuzorota. Then nikaja nikaanzisha Uzi kuhusu FAIDA binafsi nilizo zipata baada ya kuwahimishia watoto wangu Kayumba.
Leo nimeenda shuleni kulikuwa na kikao cha wazazi. I was surprised KUKUTANA na watu zaidi ya kumi ambao na wao watoto wao walikuwa wanasoma English Medium na sasa wamewahamishia Kayumba.. Nilishindwa kupata jibu je ni kwamba hawa jamaa wana niiga Mimi au na wao uchumi umewapiga kama Mimi?
Kati yao kumi ni mmoja ndio Nina uhakika kwa asilimia mia kwamba amewahamishia watoto wake Kayumba kwa sababu ya kunigeza Mimi au at least kuwa inspired na Mimi.
Niliambiwa na mtu kwamba huyu jamaa aliwahi kusikika bar akiwaambia watu anawarudisha watoto wake Kayumba kwa sababu uchumi umekuwa mgumu. Akasema " Kama ( jina langu) nimewarudisha watoto wangu Kayumba yeye ni nani asiwarudishe?
Ni hivi hapo mtaani kwetu ( uswahilini) Mimi ninachukuliwa kama kijana mwenye uwezo kifedha.
Ila ukweli ninaujua Mimi mwenyewe ninapitia kipindi kigumu kiuchumi.. Ndio maana niliamua kuwarudisha watoto wangu shule ya Kayumba.
Mimi kuwarudisha watoto wangu Kayumba ilikuwa ni habari iliyo enea mtaa mzima..
Najua baadhi ya watu watakuwa wamefurahi kwa sababu kwao hilo linamaanisha anguko langu..
Hata hivyo leo nimekuja kugundua kwamba, Kumbe ni watu wengi tu hapo mtaani ambao walikuwa wanasomesha watoto wao English Medium walikuwa wanaumia kimya kimya ila walikuwa hawajui cha kufanya kwa sababu walikuwa wana ogopa macho na maneno ya watu ndio maana wengi wao walikuwa wanaishi kwa stress ilimradi ionekane watoto wao wanasoma English Mediums.
Nilipo watoa watoto wangu English Medium.na kuwaleta Kayumba, wazazi wengi wamefuata njia, now wanawatoa watoto wao English Mediums na kuwaleta Kayumba..
Nilicho kigundua kuhusu watanzania wengi ni kwamba wengi wanafanya mambo kwa ajili ya kujionyesha kwa watu. Kwa ajili ya approval and validation from other people.
Kwako ewe Mtanzania. Fanya kitu ambacho kipo ndani ya uwezo wako. Ishi maisha yako halisi usiishi kuwa impress watu.
Nikumpeleka mwanao shule ambayo atakua anaenda na kidumu cha maji, ufagio, jembe, fyekeo na mgongoni akiwa amebeba begi la madaftari..😊Elimu bora ni nini?