Nilichokigundua kuhusu watanzania, mara baada ya kuwatoa watoto wangu English Medium na kuwaleta Kayumba

Mkuu umeongea jambo la msingi sana. Watanzania wengi wanapenda sifa za kijinga bila kujali zinawagharimu kiasi gani.
 
Katika maisha fanya kitu kitakacho kupa amani.

Kipind naanza fm one mzee alitaka nisome shule ya 1.8m lkn kiuhalisia sikuwa nyumbn pekee.... Tulkuwa watatu.. japo rafk ake akamshawish tuende na mwanae hio shule maza akaingilia Kati akasema no... Tutafute shule nafuu ambayo na wengn tutawalipia.

Ko uko vizur km kitu kinakusumbua kitoe wazaz wengi wanaiga kushndan kweny shule lkn wanaumia kinoma
 
Safi sana so mwisho wa siku ilikuwaje?
 
Kusoma kwenyewe siku hizi kunaonekana upuuzi. Jamii haiwaheshimu tena wasomi. Wanafunzi wanao fanya vidii darasani hawawi rewarded tena.

Ona post kama hii kutoka kwa msomi
 

Attachments

  • Screenshot_20230929-165107.png
    107.5 KB · Views: 9
Mungu anisaidie na azidi kunipa afya njema na nguvu ili niweze kuwapeleka watoto wangu katika shule zilizo bora na wapate alimu yenye ubora na maarifa.....
Amen...[emoji120]


Natoa sadaka ya shukrani kuisindikiza Dua yako hii.


Ameen [emoji2969][emoji2969][emoji2969]
 


Kuna Biryani ya kuku wa kienyeji na sharubati baridi ya tende, Tafadhali pitia yako hapa.

[emoji122][emoji122][emoji122]
 
Shule za English medeum nyingi zafaa kuitwa Kayumba english medium. Zaidi ya kingereza chenye rafudhi ya lugha zetu hakuna cha zaidi.
Tabia na mwenendo ni ule ule wa kayumba.
English medium hawana laptop, comp lab, tablet, projector,smart board,white board, viwanja vya michezo, art and craft, mambo mengi yanayohitajika kwa elimu ya sasa.
Ni full kukaririshwa, full stress.
Sijatembelea shule nyingi kabda mnaweza kutueleza zaidi je shule mlizopeleka watoto wenu zina walau nilivyo vitaja hapo? kama havipo mtoto wako anasoma kayumba ya ki gereza hana tofauti yoyote na wa kayumba zaidi ya kingereza.
Je vyuo wanaenda kusoma wapi?
Nje au hivi vya kayumba university?
Kayumba kuna shida na huko kuna shida. Jambo kubwa ni ku modernize mfumo wa elimu si vinginevyo mnajidanganya na kujifariji tu.
As a nation kuna mkwamo wa kielimu ila kuna baadhi yetu wanajiona wamesoma na wanajua ila nchi haiendelei kama wenzetu .
Sasa wamesoma nini nchi ipo ipo tu hatuna la kutolea nfano duniani.
Okay! Endeleeni kuwapeleka watoto wenu huko ila walete positive empact kwa nchi.
 
Uswahilini everyone knows everything about everyone. Every one is naked uswahilini
Mimi wameshindwa kufungua code. Naishi kama Hosama dadeki, kuniingia mtu anajipanga na kujinyafua nyafua.
 
MISERY LOVES COMPANY.... MSIBA WA WENGI NI SHEREHE...
Ni kawaida kwa watu waliopigika kufarijika baada ya kuona kuna wengine waliopigika kama wao. Hata wewe una hilo tatizo. Unajisikia faraja baada ya kugundua mko wengi mliopigika. Pambana utoke kwenye hiyo hali. Usitazame walioshindwa kama wewe. Tazama walioweza.
 
NI kweli mkuu.Kayumba kuanzia darasa la tano utawakuta wanawapokea wahamiaji kutoka English schools.
Na wazazi wengi wakijitahidi Hadi std 7 ujue sekondari NI kayumba.
Tena wanatoa shukrani kwa watoto kuchaguliwa kayumba.wanasema kuwa Bora wapumue.na wamekoma kusomesha English medium
 
Elimu bora ni nini?
Nikumpeleka mwanao shule ambayo atakua anaenda na kidumu cha maji, ufagio, jembe, fyekeo na mgongoni akiwa amebeba begi la madaftari..😊
Wakati huo baba ukiwa unaendesha BMW x 1, unakula suit daily, unapumua kwenye ofisi yenye fully kiyoyozi na baada ya kutoka job unapitia Pizzeria unakata 1 plate ya 21 thousands kisha unashushia na ballantain ya 60 thousands...😊
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…