Nilichokikuta kwenye iPhone sicho nilichokitarajia

Hatimaye Mungu amesikia kilio changu auntie tuishi humu sio yule aliyekuwa anatutisha kwa kutuchekea

Nilikuwa napita kimyakimya kwenye thread ya wenye iphone zao kukuona we tu nimeshindwa kukaa kimya
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hebu subiri kwanza Auntie...
Good morning..
 
Izoom hii picha mara moja tu.

Kisha angalia picha details zinaonekanaje.

Baadhi ya simu hata ukizoom bado details zinakua nzuri kama ukiwa haujazoom mkuu vipi mazoezi unaendeleaje
 

Pole sana [emoji16]
 

[emoji16] unafurahisha
 
Kiufupi hiyo simu umehongwa baada ya kumwagiwa kimiminika cheupe chenye virusi wa HIV
 
Mambo mengine ni ushamba. Simu ununue mwenyewe, uje kulalamikia watu huku!

Kwanini hukufanya research kabla ya kununua? Na kama umeona haifai, si ubadili uchukue inayokufaa kwa mahitaji yako kwanini uje kutangaza humu?

Yaani hadi unajiuliza lengo la mleta mada ni lipi hasa

Alichokikuta sicho alitegemea kabla hajainunua angeuliza

Ila naamini hakujipa muda wa kukaa na hiyo simu

Simu 1 nzuri na simple sana kutumia kila la kheri.
 
Sisi wa Africa hatuna akili baada ya kutafuta furaha Kwa vitu vyetu wenyewe tuna furahishwa na mavitu ya njee Kwa kununua Kwa bei ghali. Ambayo hailewiki inarudi vipi Kwa style wacha twendelee kua maskini.
 
Ukioleka au kuwa busy penzini kuna vitu unajikuta unavisahau tu...

Karibu tena basi...Miss you pia Dogo..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dyadyaa nimechekaa, nafurahi ukiwa unani mic sis.

Iko siku nakuletea shem wako umuone, anayenituliza kivuruge wa Town.
 
Hatimaye Mungu amesikia kilio changu auntie tuishi humu sio yule aliyekuwa anatutisha kwa kutuchekea

Nilikuwa napita kimyakimya kwenye thread ya wenye iphone zao kukuona we tu nimeshindwa kukaa kimya
Kwann Da Shuu?? [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…