Nilichokikuta kwenye iPhone sicho nilichokitarajia

Nilichokikuta kwenye iPhone sicho nilichokitarajia

Hatimaye Mungu amesikia kilio changu auntie tuishi humu sio yule aliyekuwa anatutisha kwa kutuchekea

Nilikuwa napita kimyakimya kwenye thread ya wenye iphone zao kukuona we tu nimeshindwa kukaa kimya
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hebu subiri kwanza Auntie...
Good morning..
 
Izoom hii picha mara moja tu.

Kisha angalia picha details zinaonekanaje.

Baadhi ya simu hata ukizoom bado details zinakua nzuri kama ukiwa haujazoom mkuu vipi mazoezi unaendeleaje
 
Kwamba wamiliki iphone hawapendi utoto[emoji1787][emoji1787][emoji1787].

Kuna watu wana utoto kama watu wa iphones??
Mfano hapa badala ya kumuelekeza number raws inakaa wapi ktk keyboard umeishia kujishebedua tu!!!!iship ni kama ng'ombe.

Zipo dosari nyingi tu za msingi ambazo ni kama kutopata option ya kutuma sms moja kwa moja kwenye namba mpya uliyoiingiza ktk dialling screen mpaka uipige iingie kwenye history au uisave kwanza,huu ududu najua huujui sababu unachojua ni kujipiga picha chooni tu.

Lingekuwa tatizo ni la android kungekuwa na watu kibao wameshamuelekeza.

Pole sana [emoji16]
 
iPhone simu za maonesho sana ''show off'', complications kibao, limited access kwa baadhi ya apps hata watumiaji wake wengine baadhi ya app hawajui kuzitumia....

Ukiwauliza sanasana watakwambia tunaipenda kwa sababu ina security nzuri... Suala la Camera, RAM/ROM, Performance na vitu vingine ni za kawaida sana siku hizi kuna simu kali za ANDROID ukilinganisha na ''Aifoni", iPhone anakaa chini vizuri tu

Wale wa ios na apple najua mtakuja kunishambulia hapa ila ukweli ndio huo, nilishatumia hadi i14PM sijaona jipya nikaona nirudi zangu Android

[emoji16] unafurahisha
 
Mambo mengine ni ushamba. Simu ununue mwenyewe, uje kulalamikia watu huku!

Kwanini hukufanya research kabla ya kununua? Na kama umeona haifai, si ubadili uchukue inayokufaa kwa mahitaji yako kwanini uje kutangaza humu?

Yaani hadi unajiuliza lengo la mleta mada ni lipi hasa

Alichokikuta sicho alitegemea kabla hajainunua angeuliza

Ila naamini hakujipa muda wa kukaa na hiyo simu

Simu 1 nzuri na simple sana kutumia kila la kheri.
 
Sisi wa Africa hatuna akili baada ya kutafuta furaha Kwa vitu vyetu wenyewe tuna furahishwa na mavitu ya njee Kwa kununua Kwa bei ghali. Ambayo hailewiki inarudi vipi Kwa style wacha twendelee kua maskini.
 
Ukioleka au kuwa busy penzini kuna vitu unajikuta unavisahau tu...

Karibu tena basi...Miss you pia Dogo..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dyadyaa nimechekaa, nafurahi ukiwa unani mic sis.

Iko siku nakuletea shem wako umuone, anayenituliza kivuruge wa Town.
 
Hatimaye Mungu amesikia kilio changu auntie tuishi humu sio yule aliyekuwa anatutisha kwa kutuchekea

Nilikuwa napita kimyakimya kwenye thread ya wenye iphone zao kukuona we tu nimeshindwa kukaa kimya
Kwann Da Shuu?? [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom