Uchaguzi 2020 Nilichokiona hapa Korogwe kwenye mapokezi ya Magufuli, aaah huyu mtu anapendwa sana

Bavicha wakiangalia tuwakumbushe hapa hamna msanii hata mmoja
 
Samwel Jr 😍
Umesema kweli, hakuna maisha rahisi popote. Hali ngumu ila ni kupambana tuu kwa maendeleo yetu na nchi yetu.
Suluhu sio kuweka madini rehani.... big NO
 
Msanii gani ameambatana nae?
Malori yamesomba watu au wamekuja kama wanavyomfuata Tundu Antipas Lissu.
 
Kila sehemu anakoenda Magufuli wanafunzi hawaendi shuleni, hii ni asubuhi Tanga hiyo zoom picha hiyo
 
Kwani ushabiki unaenda na umri babu?
Ndiyo, maana akili za wazee wengi zimedumaa na wengi wana dementia na Parkinson wana buruzwa tu.

Kijana una nguvu na ubongo unafanya kazi kwanani usione ujinga wa ccm wazi wazi .

Mfano, Katibu mkuu wizara ya maji Kitila Mkumbo hakuleta maji ubungo na aliambiwa ahakikishe anasambaza maji Dar es salaam nzima, kagundua ulikuwa uongo na hakuna faida yake, na haiwezekani akaacha ukatibu mkuu wa wizara ya maji akaenda kugombea ubunge.

Sasa naye anatuahidi kutuletea maji akiwa mbunge ubungo, hilo linakuingia akilini kijana?!

Alikuwa na mamlaka ya kuleta maji hakuleta, sasa atayatoa wapi akiwa mbunge?!

Huoni ujinga wa ccm huo?! Na hilo moja tu.
Mtu anashinda kura za maoni za kugombea ubunge, anakatwa halafu anaambiwa atateuliwa, sasa huyo aliyepewa nafasi yako si ndiye anapendwa na huyo mteuzi kuliko wewe, sasa kwanini asikuache ugombee na yule ateuliwe?!

Vijana wa ccm wana mtindio kama sio kurogwa.
 
. mama D ❤️ Kabisa tumpe kura magu atazitendea haki naimani kabisa
Tukiacha ubinafsi na kuifikiria tanzania ya vizazi vinavyokuja tutaona John Pombe Joseph Magufuli alivyo zawadi kubwa sana kwa nchi yetu. Mabadiliko yana maumivu yake na kila mtanzania anayapitia pamoja na yeye John mwenyewe

Tumshukuru Mungu kwamba 2015 tulimwomba makanisani na misikitini atupatie kiongozi jasiri na mwenye maamuzi magumu ya kutuhamisha toka tulipokua na Mungu akatenda😍😍
 
Wapinzani wengi watapiga kura kwa jazba kupelekea kuharibu kura nyingi jambo litalompa magu kura za kishindo na kuibuka kidedea wanasemaga hasira hasara[emoji38][emoji38]
Jazba yangu ndio inifanye nisilione jina la Lissu? Au wabunge na madiwani wa CHADEMA? Aisee umepotoka...Tena umepotoka Sana...

Sent from my M100 using JamiiForums mobile app
 
Huyo rais wa nchi wewe acha ubwege huyo sio mcheza regae kama chiba wako. Huyo akitimba mahali itifaki inazingatiwa acha madharau.
Kwahiyo itifaki NI kuwafanya watoto wetu wasisome?hii siku waliopoteza mtairudisha lini?nyinyi ndio mnaompumbaza na kumwaminisha anapendwa....KUMBE MNALAZIMISHA....

Sent from my M100 using JamiiForums mobile app
 
Kabisa kabisa kabisa miaka mitano tena
 
Kitaje hicho Kijiji kilichoongozwa na chadema 25years....
Pili, VIPI miaka yote hiyo Lissu ndio alikuwa RAIS? Au serikali ilikuwa ya CHADEMA au ya CCM? Au ndio wewe unayeshangaa pombe hajaleta ajira na pombe huyohuyo anaomba kura ili atupe ajira?

Sent from my M100 using JamiiForums mobile app
 
Hakuna kizuri kisicho kasoro ila pale kasoro zinapokuaga dhaifu kuliko mazuri maisha ni bora
 
Ukiwalinganisha wanaotaka urais, baadhi wanaopata kushabikiwa hadi unaona huruma. Hivi kweli akili ya Lissu inaweza kuongoza nchi na ukaamini nchi itaendelea! Tutajikuta kila siku rais akitunga sheria.
Hali ni ngumu miaka mitano, wananchi wanataka liwalo na liwe
 
Kabisa kabisa kabisa miaka mitano tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…