900 Itapendeza zaidi
JF-Expert Member
- Nov 19, 2017
- 7,704
- 9,186
Muda akiwa gereji si huwa magari yanafanya kazi ya kuwasogeza watu karibu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Leo huku hapatoshi afu Kuna wapuuzi wachache wanadai wataibiwa kura. CHADEMA na Wapinzani wengine waliopo hapa wamekiri. Waulizeni watawapa salamuMagufuli anapendwa sana, wana Korogwe tusifanye makosa kabisa tujitokeze kwa wingi wetu tukamchague Raisi Magufuli na wabunge wa CCM Korogwe mji na Korogwe vijijini Mungu mbariki Magufuli na umpe Maisha marefu sana
Hahahaaaa endelea kuota ndoto za AlinachaWamekusanywa na kusambazwa ila moyoni hawana furaha.
Wamejikusanya kumshangaa mnyanyasaji muonevu wa wapinzaniWamekusanywa na kusambazwa ila moyoni hawana furaha.
Mimi na washkaji zangu tulikuwepo na hakuna aliyetupanga.Hamna RAIA mwenye akili timamu akae barabarani kumsalimia kiongozi awe wa CCM/Serikali au upinzani wote huwa wanapangwa.
CCM pekee ndiyo huwapanga vyama vingine hujitokeza wenyewe.Hamna RAIA mwenye akili timamu akae barabarani kumsalimia kiongozi awe wa CCM/Serikali au upinzani wote huwa wanapangwa.
Mkuu ccm wanafanya kitu kinaitwa political propaganda, wakiwaaminisha umma wa watz kuwa jiwe anapendwa ili kuwatisha upinzani lkn kumbe wanapoteza mudaAnapendwa na nani?
Yaani atese wananchi kwa miaka mitano halafu wampende?
Kuna lipi jipya na lenye maana aliwaahidi kuwafanyia wakazi wa Korogwe mwaka 2015 halafu mwisho wa siku akawafanyia?
Kupaka dada zetu rangi na kuosha masufuria ya ubwabwa ndio CSR zenu siyo[emoji1][emoji1][emoji1]!!! na weirdly ndio mafanikio yenu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kama lengo letu litafanikiwa,sioni maajabu ya picha hizo ulizotuma
Hata sheikh Mussa, askofu Kakobe, Gwaj boy, Kadinali Pengo na wengine n viongozi wa dini.Kiongozi wa Dini Mwamakula na Ponda wamemuomba MwenyeziMungu ili Sindano ya Sumu iliyoandaliwa na CCM ilegee na waiangukie ili iwachome wenyewe
Kifo ni kwa kila nafsi bwashee au wewe hautakufa?Usihangaike na hao wajinga huko CCM kwani mwisho wa ubaya ni Aibu walikuwepo akina Bokasa chiluba Abacha Gadafi Sadam Hussein Elbashiri Iddy Amin dada mabutu leo hii wapo wapi?
Lisu akisimama njiani lazima Polisiccm wapige mabomu na NECCCM Tumeccm kuanza fitna, Lakini mtukufu magufuli anasimama popote anagawa zawadi hakuna fair kabisa.Chadema wakiambiwa Magufuli awezi simama kila sehemu wanadhani mzaa, huo umati wa barabarani Lissu (ndio mikutano ya Lissu) halafu anataka kujikinganisha...
Eti CCM si mnasema mmenunua Ndege mjenga reli flyover mmeleta maendeleo iweje mpo busy kuwahujumu chadema? si muache wananchi waamue wenyewe, mnaogopa kuinadi miradi ya kifisadi ndiyo maana mmeamua kuitumia NECCCM Tumeccm kufanya uchakachuajiHata sheikh Mussa, askofu Kakobe, Gwaj boy, Kadinali Pengo na wengine n viongozi wa dini
Mjomba hapo anapita tu sio mkutano huo jioni awezi simama kwa mujibu wa NEC mikutano mwisho saa kumi umechelewa saa 12 jioni na yeye anatii sheria tofauti na Lissu.Lisu akisimama njiani lazima Polisiccm wapige mabomu na NECCCM Tumeccm kuanza fitna, Lakini mtukufu magufuli anasimama popote anagawa zawadi hakuna fair kabsa