minyoo
JF-Expert Member
- May 25, 2013
- 22,405
- 21,100
DC wa Hai tayari ana file ICC kwa kuwatuma watu kwenda kuvamia nyumbani kwa mboweNimeingia Moshi jioni hii pale same wamekusanya watu milimani kujaza mkutano kesho .
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
DC wa Hai tayari ana file ICC kwa kuwatuma watu kwenda kuvamia nyumbani kwa mboweNimeingia Moshi jioni hii pale same wamekusanya watu milimani kujaza mkutano kesho .
Kichapo tutawachapa tuuWewe mwenyewe mpori mpori huna Ubongo umejaza kamasi debe mbili huku ukishinda ukivuta Bangi gheto kwa cyprian Musiba unawezaje kujua porojo
Wewe ungekuwa hustahili kufanya hata kazi moja Kati ya hizo ulizotaja hapo usingekuwa unashinda Jf kulalamikia ugumu wa maisha.Kupaka dada zetu rangi na kuosha masufuria ya ubwabwa ndio CSR zenu siyo[emoji1][emoji1][emoji1]!!! na weirdly ndio mafanikio yenu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Umesema vizuriMjomba hapo anapita tu sio mkutano huo jioni awezi simama kwa mujibu wa NEC mikutano mwisho saa kumi umechelewa saa 12 jioni na yeye anatii sheria tofauti na Lissu..
Kama una ndugu yako chinga ,nenda kamuulize.Mmeshawapa mikopo mliyowaahidi?
Magufuli hatii Sheria na hutoa Rushwa za vitisho kwa wasipochagua CCM haleti maendeleo kwa makusudi licha ya wananchi wa jimbo kulipa kodi, kutumia vitisho ni kuvunja SheriaMjomba hapo anapita tu sio mkutano huo jioni awezi simama kwa mujibu wa NEC mikutano mwisho saa kumi umechelewa saa 12 jioni na yeye anatii sheria tofauti na Lissu...
Basi nakushauri ukae kwa kutulia usubiri matokeoMagufuli anaingia makanisani lakini siyo Mkristo. Yawezekana alibatizwa na kusoma mpaka seminarian lakini yeye ni wa SHETANI. Mkristo safi hawezi kuwa muuaji, mzinzi, mbambikiaji kesi, mwongo na mwizi. Hizo ndiyo tabia za huyo Magufuli...
Uyu yupo nijuze aisee Kama yupo Nani nijeBasi nakushauri ukae kwa kutulia usubiri matokeo
Nenda kaangalie Arusha mjini, Mbeya mjini na ubungo ndio utajua Magufuli anamaanisha nini anaposema maendeleo hayana chamaMagufuli hatii Sheria na hutoa Rushwa za vitisho kwa wasipochagua CCM haleti maendeleo kwa makusudi licha ya wananchi wa jimbo kulipa kodi, kutumia vitisho ni kuvunja Sheria
Mgosi kwani uongo mi kwetu lutindi msambaa orijino hata neema msumari anajuaNawaona nawaona wazee wa kutaka majimbo ili muendeleze ukabila
Hili ndio tatizo lenu kuongea vitu vya kufikiria badala ya vilivyo na uhalisia get back to real world.Magufuli hatii Sheria na hutoa Rushwa za vitisho kwa wasipochagua CCM haleti maendeleo kwa makusudi licha ya wananchi wa jimbo kulipa kodi, kutumia vitisho ni kuvunja Sheria
According to weweBasi nyie ni majuha
Sasa braza Kama kwenu ndio wachawi unatakaje wote tuwe walozi?Mgosi kwani uongo mi kwetu lutindi msambaa orijino hata neema msumari anajua
Unataka maisha mtelezo, sio?Anapendwa na nani?
Yaani atese wananchi kwa miaka mitano halafu wampende?
Kuna lipi jipya na lenye maana aliwaahidi kuwafanyia wakazi wa Korogwe mwaka 2015 halafu mwisho wa siku akawafanyia?
Ukiwalinganisha wanaotaka urais, baadhi wanaopata kushabikiwa hadi unaona huruma. Hivi kweli akili ya Lissu inaweza kuongoza nchi na ukaamini nchi itaendelea! Tutajikuta kila siku rais akitunga sheria.