BUSH BIN LADEN
JF-Expert Member
- Mar 16, 2019
- 8,447
- 19,425
Amiri jeshi ajae
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mleta mada hujui unachoongea. Siku magufuli alipokuja kwenye mji ninapoishi nilienda kumtazama kwa kujipanga barabarani ili tu nione msafara wake na nichukue video pia na mpaka leo video ninayo mpaka leo. Lakin simkubali na wala sitampa kura yangu wiki ijayo. Watu kujipanga barabarani hakuna maana kuwa anapendwa kwa kuwa wengi wanakuja kushuhudia Rais na msafara wake wapate cha kusimulianlakin haimaanishi watampa kira zao.
Ebu acha porojo, mbeya mjini kuna nin cha maana alichofanya Magu au unadhan Mwanjelwa, kabwe, Uyole, Iyunga na Mbalizi hatupafahamu ?Nenda kaangalie Arusha mjini, Mbeya mjini na ubungo ndio utajua Magufuli anamaanisha nini anaposema maendeleo hayana chama
Sasa wewe usipompenda ndio unafikir kila mtu hampendi?Anapendwa na nani?
Yaani atese wananchi kwa miaka mitano halafu wampende?
Kuna lipi jipya na lenye maana aliwaahidi kuwafanyia wakazi wa Korogwe mwaka 2015 halafu mwisho wa siku akawafanyia?
Nakwambiaje, mtapoteana humu na visingizio vya kuibiwaWanashangaa Rais wa wanyonge anayetumia msafara wa magari 100 aiyoyanunua kwa pesa ya vitambulisho vya Machinga.
Kweli Magufuli ni Babalaooo hawataki kuleta video clip ksma hii akiwa msata. Huyo Lissu hawezi fikia nyomi hii.Magufuli babalaooooo
Mtanyooka tuu tarehe 28/10/2020 siyo mbali.Wanashangaa Rais wa wanyonge anayetumia msafara wa magari 100 aiyoyanunua kwa pesa ya vitambulisho vya Machinga.
Unashikiwa mitutu halafu unaulizwa, "wee ndiyo umesema nimekwiba trilioni 1.5? Kama ni wewe ungejibuje?Yule mkaguzi alikuwa tapelii, alipohojiwa kuhusu upotevu wa hiyo fedha, mbona hakutoa ushirikiano?? Kama anaushaidi na upotevu wa hiyo fedha ajitokeze hadhalani asemee. Zaidi hizi ngonjera zilienezwa na akina kabwe.
Kumbuka hao watoto wa shule baada ya miaka 6 ni watu wazima na watakuwa na mapenzi na ccm kwa sababu wamekuwa wakihudhuria mikutano yao. Maandalizi ya miaka mingi mbele akili hiyo cdm ni 0-.Hahaha watoto wa shule walioenda kumuangalia Diamond akicheza jukwaani?!
Your excellency I am PURICHINGI but you are not REACHABLE. In M7 voice.
Baada ya tar 28 watu watapoteana humu we subiri!
Hahaha hakuna kijana mwenye akili timamu atakekuwa ccm leo hii.Kumbuka hao watoto wa shule baada ya miaka 6 ni watu wazima na watakuwa na mapenzi na ccm kwa sababu wamekuwa wakihudhuria mikutano yao. Maandalizi ya miaka mingi mbele akili hiyo cdm ni 0-.
Kwa mfano vijana wa scout automatically wote ni lazima wawe ccm kwa sababu wao wameizoea ccm tangia utoto wao. Haya maandalizi utopolo hawayajui.
Ndio. Sisi tunataka viongozi waadilifu hivyo Dkt Magufuli ndio saizi yetuSisi wanatanga tutamchagua raisi mwadilifu, sio yule jamaa mwongomwongo ambaye tayari ameshaadhibiwa kwa utovu wa nidhamu.
Mbona tuko wengi tuuHahaha hakuna kijana mwenye akili timamu atakekuwa ccm leo hii.
Kwa lipi hasa?!
Leo hakukuwa na msanii hata mmojawatu wanashangaa wasanii tu