nimeona Clip moja ya Mchungaji Mmoja akimpaka mafuta na kumuombea mali na kumuonyesha matatizo ya Mheshimiwa waziri mstaafu wa Mambo ya Ndani Mr X. katika clip hio Mchungaji anamuliza maswali haya
mchungaji - Anna unamjua
Mheshimiwa mstaafu- Namjua ni Mke wangu
Mchungaji - Ania unajuma
Mheshimiwa - ndio huyo huyo jina la mke wangu
Mchungaji - Najua unaumwa na mkono
mheshimiwa - Ndio
Waumini wanashangilia kuamini kwamba mchungaji hayo yote kaoteshwa.
Ukweli
huyo Anna mkewe mHeshimiwa kila mtu anamjua kwa sababu kapost sana katika mitandao yeye na mkewe. kwa hivyo hata huyu mchungaji anamjua kwa sababu ya kutembelea account za mheshimwa
kuumwa na miguu hata marafiki na ndugu wanajua kwamba mheshimiwa anumwa na miguu