Nilichokiona Kanisani nimeshangaa sana kwa mwanasiasa na msomi huyu

Nilichokiona Kanisani nimeshangaa sana kwa mwanasiasa na msomi huyu

Kila siku tunawaambia hapa kuwa hizo nafasi mnazotuvimbia nazo ipo siku mtaziacha na tutawasahau hamsikii.
 
nimeona Clip moja ya Mchungaji Mmoja akimpaka mafuta na kumuombea mali na kumuonyesha matatizo ya Mheshimiwa waziri mstaafu wa Mambo ya Ndani Mr X. katika clip hio Mchungaji anamuliza maswali haya
mchungaji - Anna unamjua
Mheshimiwa mstaafu- Namjua ni Mke wangu
Mchungaji - Ania unajuma
Mheshimiwa - ndio huyo huyo jina la mke wangu
Mchungaji - Najua unaumwa na mkono
mheshimiwa - Ndio
Waumini wanashangilia kuamini kwamba mchungaji hayo yote kaoteshwa.
Ukweli
huyo Anna mkewe mHeshimiwa kila mtu anamjua kwa sababu kapost sana katika mitandao yeye na mkewe. kwa hivyo hata huyu mchungaji anamjua kwa sababu ya kutembelea account za mheshimwa
kuumwa na miguu hata marafiki na ndugu wanajua kwamba mheshimiwa anumwa na miguu

View attachment 3042061
Shehe wakristu wengi tunajua huu ni utapeli na ushirikina kama ushirikina mwingine.
 
Lau Masha leo hii amekuwa wakuombewa kwa kuambiwa "hutakufa maskini??".

Mimi nitaambiwa nini sasa?
 
nimeona Clip moja ya Mchungaji Mmoja akimpaka mafuta na kumuombea mali na kumuonyesha matatizo ya Mheshimiwa waziri mstaafu wa Mambo ya Ndani Mr X. katika clip hio Mchungaji anamuliza maswali haya
mchungaji - Anna unamjua
Mheshimiwa mstaafu- Namjua ni Mke wangu
Mchungaji - Ania unajuma
Mheshimiwa - ndio huyo huyo jina la mke wangu
Mchungaji - Najua unaumwa na mkono
mheshimiwa - Ndio
Waumini wanashangilia kuamini kwamba mchungaji hayo yote kaoteshwa.
Ukweli
huyo Anna mkewe mHeshimiwa kila mtu anamjua kwa sababu kapost sana katika mitandao yeye na mkewe. kwa hivyo hata huyu mchungaji anamjua kwa sababu ya kutembelea account za mheshimwa
kuumwa na miguu hata marafiki na ndugu wanajua kwamba mheshimiwa anumwa na miguu

View attachment 3042061kuwa waziri hakumfanyi mtu kufuta ujinga alio zaliwa nao. Hela za kukwapuwa kodi za watu masikini haziwezi kumfanya mtu kuwa tajiri. Hela za wizi wa kodi unaweza kumfanya mwizi kuonekana tajiri kwa mda tu lakini umasikini wake utamsubili tu. Ukichemusha maji kwa masaaa sita saa moja bada ya kuzima moto yanarudi kwenye ubaridi wake wa asiri.
 
Chezea Wasukuma/ Ngosha wewe..!.Kejeli ,dhihaka,lugha chafu kwao ni sumu kali zikizidi...."Badoshi..."Ndilo daraja walipewa na wana Mwanza, Masha-Nyamagana na Dialo-Ilemela.Sifa mbaya sana usukumani hasa kwa mwenye mali..tena Musukuma mwenzao...2010 Ngosha wakazinda ...Mwaga sana pesa wapi,.!..msimchague Wenje ni Mkenya wapi!...msimuchague Kiwia ni Mchaga wapi!..Ikazaliwa Kula CCM Kura kwa CHADEMA...Ngosha walipiga kura kibabe mno kwa Masikini wenzao...hakunaga ukabila Usukumani. Kitu namba moja ni Utu na sitaha...kura zililindwa kwa gharama ya damu...mpaka..."..Sina risasi za kuwaua hawa watu...tangazeni matokeo kama yalivyo..."SIRO_RPC Mwanza alisikika...Basi ikawa hivyo Zama na Enzi za Diallo na Masha Jnr kwenye siasa zikafikia tamati:
ONYO KWA JF: Huwa mnaruhusu nyuzi za kutuponda Wasukuma humu eti sisi ni wa chafu?wakati CCM ndiyo wanatufanya tuwe.vile?..tutakuja kukinukisha siku moja hapo Ofisini hamtaamini...Karibu Nyamagana Makonda-duru zinaarifu umetia nia mzee wa nyodo na maneno ya shombo eti.Tulihoi
 
Back
Top Bottom