johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Asubuhi 🐼Bangi asubuhi yote hii, ikifika jioni si utawehuka!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asubuhi 🐼Bangi asubuhi yote hii, ikifika jioni si utawehuka!
Mheshimiwa mwenyewe ndiyo huyo mwenye ndevu nyingi kama za mkoponimeona Clip moja ya Mchungaji Mmoja akimpaka mafuta na kumuombea mali na kumuonyesha matatizo ya Mheshimiwa waziri mstaafu wa Mambo ya Ndani Mr X. katika clip hio Mchungaji anamuliza maswali haya
mchungaji - Anna unamjua
Mheshimiwa mstaafu- Namjua ni Mke wangu
Mchungaji - Ania unajuma
Mheshimiwa - ndio huyo huyo jina la mke wangu
Mchungaji - Najua unaumwa na mkono
mheshimiwa - Ndio
Waumini wanashangilia kuamini kwamba mchungaji hayo yote kaoteshwa.
Ukweli
huyo Anna mkewe mHeshimiwa kila mtu anamjua kwa sababu kapost sana katika mitandao yeye na mkewe. kwa hivyo hata huyu mchungaji anamjua kwa sababu ya kutembelea account za mheshimwa
kuumwa na miguu hata marafiki na ndugu wanajua kwamba mheshimiwa anumwa na miguu
View attachment 3042061
Unauhakika kwamba waumini walishangilia Kwa kuhisi mchungaji kaoteshwa?ooh it's perceptionnimeona Clip moja ya Mchungaji Mmoja akimpaka mafuta na kumuombea mali na kumuonyesha matatizo ya Mheshimiwa waziri mstaafu wa Mambo ya Ndani Mr X. katika clip hio Mchungaji anamuliza maswali haya
mchungaji - Anna unamjua
Mheshimiwa mstaafu- Namjua ni Mke wangu
Mchungaji - Ania unajuma
Mheshimiwa - ndio huyo huyo jina la mke wangu
Mchungaji - Najua unaumwa na mkono
mheshimiwa - Ndio
Waumini wanashangilia kuamini kwamba mchungaji hayo yote kaoteshwa.
Ukweli
huyo Anna mkewe mHeshimiwa kila mtu anamjua kwa sababu kapost sana katika mitandao yeye na mkewe. kwa hivyo hata huyu mchungaji anamjua kwa sababu ya kutembelea account za mheshimwa
kuumwa na miguu hata marafiki na ndugu wanajua kwamba mheshimiwa anumwa na miguu
View attachment 3042061
Mbona ipo mwanzoni mwa hii thread?... TUSOGEZEENI BASI HIYO CLIP, AU NDO YALE MAMBO YA KUKOSA MAWAKILI WASOMI?
😅
...kuna maelezo na picha tu, sijaona clip!Mbona ipo mwanzoni mwa hii thread?
Ohoo. Niliangalia haraka mwanzoni nikadhani ameiweka. Nenda Instagram ya Mange Kimambi iko. Google ''mangekimambi81 instagram''...kuna maelezo na picha tu, sijaona clip!
Hakujipanga wakati yupo madarakani alijua ametoboaNimeshangaa kweli kweli kuona ile clip. Huyu ndiyo alikuwa waziri. Kweli dunia hadaa.
Hakuweka akiba alijua atabakia madarakani mileleEe bwana ee..Ni Lawrence Masha??? Vijana wa JK hao emzi zile!!
Mimi nilitaka sana wanapokuwa madarakani wakumbuke kuunda mifumo ya usawa ili wanarudi mitaani waweze ku-survive.Hakujipanga wakati yupo madarakani alijua ametoboa
Kwahii katiba mbovu hata ukipewa wewe lazima utajisahau kila kitu kinakuwa bure unaishi kama upo Yeriko mzee shida unakuwa unaziona kwenye TV pekeeMimi nilitaka sana wanapokuwa madarakani wakumbuke kuunda mifumo ya usawa ili wanarudi mitaani waweze ku-survive.
Sidhan kama ni kufirisika aisee huzun!! Kama kwel kafirisika namna hii bas hatari.. sasa faida ya usomi iko wapi?? Faida ya kusoma nje ya nchi ni nini kama huna hata network ya kukupa vi dela vya hapa na pale.. jamaa na mwanasheria na kama sikosei alisha fanya kaz immma advocates kampuni maarufu sana ya kisheria enzi zile na akina fatma karume, sasa hao woote hawana cha kumsaidia??.Hakuweka akiba alijua atabakia madarakani milele
Kuna maisha ukifikia ya juu ukataka ku-maintain, angalia Manji alifilisiwa na alikuwa miongozi wa matajiri 5 wa juu TanzaniaSidhan kama ni kufirisika aisee huzun!! Kama kwel kafirisika namna hii bas hatari.. sasa faida ya usomi iko wapi?? Faida ya kusoma nje ya nchi ni nini kama huna hata network ya kukupa vi dela vya hapa na pale.. jamaa na mwanasheria na kama sikosei alisha fanya kaz immma advocates kampuni maarufu sana ya kisheria enzi zile na akina fatma karume, sasa hao woote hawana cha kumsaidia??.
Jamaa alishakua one of the owners wa fastjet bongo je hiyo circle yake oia hawana cha kum offer???
Doohh!!! Probably kuna mambo hatujawekwa wazi ila this is not normal at all? Kufirisika kwa level hii???
Una umri gani kiasi cha kudhani kuwa mtu akishapiga hatua kiuchumi hawezi tena kupitia changamoto za kiuchumi?Sidhan kama ni kufirisika aisee huzun!! Kama kwel kafirisika namna hii bas hatari.. sasa faida ya usomi iko wapi?? Faida ya kusoma nje ya nchi ni nini kama huna hata network ya kukupa vi dela vya hapa na pale.. jamaa na mwanasheria na kama sikosei alisha fanya kaz immma advocates kampuni maarufu sana ya kisheria enzi zile na akina fatma karume, sasa hao woote hawana cha kumsaidia??.
Jamaa alishakua one of the owners wa fastjet bongo je hiyo circle yake oia hawana cha kum offer???
Doohh!!! Probably kuna mambo hatujawekwa wazi ila this is not normal at all? Kufirisika kwa level hii???
Hiyo hapo . Mkongomani kajichubua ngozi hadi anavaa gloves kuficha vifundo vya vidole maana vyenyewe vimegoma kubadilika rangi.... TUSOGEZEENI BASI HIYO CLIP, AU NDO YALE MAMBO YA KUKOSA MAWAKILI WASOMI?
😅
Duh! Pole yake sana aise, km ni kweli ana matatizo ya kiafya basi tunamwombea heri!Masha anataka kuchanganyikiwa
Huwezi kumtaja?? Kama ni hivyo mbona taarifa yako inakuwa ya kutunga tu?nimeona Clip moja ya Mchungaji Mmoja akimpaka mafuta na kumuombea mali na kumuonyesha matatizo ya Mheshimiwa waziri mstaafu wa Mambo ya Ndani Mr X. katika clip hio Mchungaji anamuliza maswali haya