SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 47,706
- 69,281
Huyo ameshanusa kwenye unabii feki kuna fedha nyingi ndiyo anajisogeza hivyo baada ya mwaka utamsikia naye kafungua madhabahu yake anajiokotea hela za wajinga.Duh! Pole yake sana aise, km ni kweli ana matatizo ya kiafya basi tunamwombea heri!