Nilichokiona Kanisani nimeshangaa sana kwa mwanasiasa na msomi huyu

Kila siku tunawaambia hapa kuwa hizo nafasi mnazotuvimbia nazo ipo siku mtaziacha na tutawasahau hamsikii.
 
Shehe wakristu wengi tunajua huu ni utapeli na ushirikina kama ushirikina mwingine.
 
Lau Masha leo hii amekuwa wakuombewa kwa kuambiwa "hutakufa maskini??".

Mimi nitaambiwa nini sasa?
 
 
Chezea Wasukuma/ Ngosha wewe..!.Kejeli ,dhihaka,lugha chafu kwao ni sumu kali zikizidi...."Badoshi..."Ndilo daraja walipewa na wana Mwanza, Masha-Nyamagana na Dialo-Ilemela.Sifa mbaya sana usukumani hasa kwa mwenye mali..tena Musukuma mwenzao...2010 Ngosha wakazinda ...Mwaga sana pesa wapi,.!..msimchague Wenje ni Mkenya wapi!...msimuchague Kiwia ni Mchaga wapi!..Ikazaliwa Kula CCM Kura kwa CHADEMA...Ngosha walipiga kura kibabe mno kwa Masikini wenzao...hakunaga ukabila Usukumani. Kitu namba moja ni Utu na sitaha...kura zililindwa kwa gharama ya damu...mpaka..."..Sina risasi za kuwaua hawa watu...tangazeni matokeo kama yalivyo..."SIRO_RPC Mwanza alisikika...Basi ikawa hivyo Zama na Enzi za Diallo na Masha Jnr kwenye siasa zikafikia tamati:
ONYO KWA JF: Huwa mnaruhusu nyuzi za kutuponda Wasukuma humu eti sisi ni wa chafu?wakati CCM ndiyo wanatufanya tuwe.vile?..tutakuja kukinukisha siku moja hapo Ofisini hamtaamini...Karibu Nyamagana Makonda-duru zinaarifu umetia nia mzee wa nyodo na maneno ya shombo eti.Tulihoi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…