Nilichokiona Kanisani nimeshangaa sana kwa mwanasiasa na msomi huyu

Mheshimiwa mwenyewe ndiyo huyo mwenye ndevu nyingi kama za mkopo
 
Kweli mwenda tezi na omo marejeo ngamani...

Tunazaliwa wajinga, tunaishi werevu, tunazeeka na kuwa wajinga...
 
Unauhakika kwamba waumini walishangilia Kwa kuhisi mchungaji kaoteshwa?ooh it's perception
 
Pamoja na mengine yote nakumbuka accent yake tamu akiwa anaongea inglish 😍 ooh masha
 
Hakuweka akiba alijua atabakia madarakani milele
Sidhan kama ni kufirisika aisee huzun!! Kama kwel kafirisika namna hii bas hatari.. sasa faida ya usomi iko wapi?? Faida ya kusoma nje ya nchi ni nini kama huna hata network ya kukupa vi dela vya hapa na pale.. jamaa na mwanasheria na kama sikosei alisha fanya kaz immma advocates kampuni maarufu sana ya kisheria enzi zile na akina fatma karume, sasa hao woote hawana cha kumsaidia??.
Jamaa alishakua one of the owners wa fastjet bongo je hiyo circle yake oia hawana cha kum offer???

Doohh!!! Probably kuna mambo hatujawekwa wazi ila this is not normal at all? Kufirisika kwa level hii???
 
Kuna maisha ukifikia ya juu ukataka ku-maintain, angalia Manji alifilisiwa na alikuwa miongozi wa matajiri 5 wa juu Tanzania
 
Una umri gani kiasi cha kudhani kuwa mtu akishapiga hatua kiuchumi hawezi tena kupitia changamoto za kiuchumi?
 
Huwezi kumtaja?? Kama ni hivyo mbona taarifa yako inakuwa ya kutunga tu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…