Nilichokiona mara ya kwanza baada ya kuagiza kitu ebay

Gharama za kuwatumia DHL zikoje kiongozi?
Gharama inategemea na mzigo unaonunua na kama je unaunganisha as Packages ama package ya Mtu mwingine au lah...so inategemea ila palepale watakuonesha gharama zao yaani shipping cost
 
Gharama inategemea na mzigo unaonunua na kama je unaunganisha as Packages ama package ya Mtu mwingine au lah...so inategemea ila palepale watakuonesha gharama zao yaani shipping cost
Okay, tufanye nimeagiza package yenye LAPTOP ndani yake, gharama yao inakuwaje.?
 
Okay, tufanye nimeagiza package yenye LAPTOP ndani yake, gharama yao inakuwaje.?
Yaani ukiingia pale kwny mfumo ht sshv na kuona pic ya product/Products zako na kuselect...katika kuanza process ya kununua utachagua njia utakayotumia kununua, kwa mfano mimi huwa natumia Paypal kuniconnect na bank yangu kwa kadi maalum ya NMB ya Online shopping....

chini yake watakuambia hiyo gharama ya product imeinclude gharama ya usafiri (Shipping cost) au haiinclude

So utaona palepale gharama ya usafirishaji mpk ikufikie ulipo, siwezi kukuambia kwa sasa kwasababu bei inavary Ila ukiingia wewe utaona

NB: Products zingine hazifiki Bongo kutokana na regulations na conditions za hovyo za TZ So Paypal haifanikishi malipo

Ila Ebay wako poa sana

I hope umenipata
 
Hii kitu naelewa mkongwe, mara nyingi wauzaji wengi wa eBay wanatumia "ebay international shipping" sio DHL, nikicheki bidhaa za masoko ya ulaya mara nyingi ndio naona huwa hawatumii "ebay international shipping".

Hapo juu umenishauri kuwa hawa DHL wako vizuri kwenye huduma ya shipping, ndio nataka kujua ninawezaje kuwatumia na gharama zao zipoje?

Yaani nataka unielekeze, nikichagua bidhaa ya kununua eBay, nawezaje kuchagua kuwatumia DHL kwa shipping? Na gharama za hawa DHL zikoje kulinganisha na eBay default shipping?
 
Hiyo ebay bidhaa nyingi shipping fee ni kubwa kuliko bei, na bidhaa nyingine hawashipp kuja Africa!
 
Hii Ina maana gani mkuu
 

Attachments

  • Screenshot_20240930-093140.png
    90.8 KB · Views: 18
Inategemea Mkuu.
Kuna bidhaa zipo AliExpress na ebay lakini shipping cost kwa AliExpress ni juu zaidi kuliko za ebay.
Kuna bidhaa moja hivi, haina alternative ya kuisafirisha zaidi ya DHL au FedEx pekee yake na gharama ni 400000+ na wakati bidhaa hiyohiyo kule eBay kwanza bei iko chini kidg na pia usafiri ni 120000+.
Ndiyo maana mimi hua nachungulia mitandao yote ninapotaka kununua kitu cha bei kdg.
Bidhaa ndg ndg nachukua tu AliExpress inatosha.
 
Hiyo signature yako mkuu itapelekea utekwe.
 
SIjawahi kuwatumia hao Ebay Shipping ila kwa DHL njoo PM nikupe staff wao mmoja akupe maelekezo zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…