PostGE2025 Nilichokishuhudia kwenye maandamano: Serikali ya Tanzania imeshindwa vita

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Uchambuzi yakinifu
 
Robert Heriel Mtibeli pamoja na kuwa wewe ni mwandishi mzuri ila pitia hapa uzidi kujifunza, naamini hilo ndio eneo lako la "kazi".
Mkuu umeandika makala nzuri.

Nashukuru sana kwa kuniita. Nimesoma kwa utulivu na nimepata mawili matatu.

Serikali imeshindwa hata kabla ya maandamano kwa sababu haisikilizi wananchi wake wenye madai ya kudhulumiwa haki zao.

Lakini kwenye maandamano bado waandamanaji walishindwa kwa sababu hawakufikia malengo yao makuu.

Ngoja tuone
 
Wasipokusikia bas tena. Kiufupi security forces za tanzania zimekuwa exposed. Ro the extent weakness kubwa mno imeonekana

Now even nchi maadui zimeshajua tuna taasisi weak, when and pa kutupiga.
Hakuna akili huko.

Tunafanya nao kazi tunajua.

Mfano, Afisa usalama mkoa anakaa vikao na Chalamila kama kiongozi wake mdani ya ofisi ya RC.

Ni akili gani ya maana sana unaitegemwa hapo???
 
Kwa uliyoyashuhudia kipindi cha maandamano, je kuna mkono toka nje ya mipaka yetu ulikuwa unapush haya maandamano au ni kazi ya ndani tu? Na kama ni ndio, je kwa dhamira gani kulingana na uafahamu wako?
Wa nje wangetoa silaha tumalizane, jeshi vs wananchi wote silaha tunazo
 
Kwa uliyoyashuhudia kipindi cha maandamano, je kuna mkono toka nje ya mipaka yetu ulikuwa unapush haya maandamano au ni kazi ya ndani tu? Na kama ni ndio, je kwa dhamira gani kulingana na uafahamu wako?
Wa nje wangetoa silaha tumalizane, jeshi vs wananchi wote
Polisi mkitumia nguvu tunakinukishaaaa.
Ni kweli polisi wakitumia nguvu coordination itakuwa mbaya maana watu watajilinda kwa njia mbaya kuliko ile surprise ya siku ile
 
Na imagine Tanganyika yetu watu wenye akili na maono wakiwa pamoja kusogeza nchi hii miaka 1000 mbele ambapo vizazi vyetu vitusifu kwa kwa mapinduzi maeneo yote muhimu kwa ustawi kwenye jamii.
But unfortunately vision hamna imebaki uchawa na ujinga ndio una prevail.
Hopeful one day Gen Z mta reclaim nchi yenu.
 
Ukiona viongozi wa vyombo vya ulinzi wanapesa zisizo na maelezo jua hapo usalama haupo tena,hakuna tofauti na kinachotokea DRC,majenerali wanauza silaha kwa wahasi
Yaani wao tena ndio wanauzia waasi na huku wanapambana na waasi? How?
 
Huyu ndo mkongwe MALCOM LUMUMBA akiweka uzi humu lazima usome kwa kutulia.

Asante mkuu. Uzuri hakuna linalotokea Tanzania sasa ambalo hatukuwahi kuonya before.

Tulipofika muda huu ni Watanzania kuwa tayari kuvisaidia vikosi vya kigeni vitakavyojitokeza kuwasaidia kudai Haki.

Nchi yetu imeshajifia. Tulipofikia ni kukubaliana tunazika au tunatelekeza mwili.
 
kuhusu mauaji yaliyotokea hiyo siku..

Kuna watu watawajibika siku moja.
 
Wameonywa sana, Viongozi wa dini wamelia nao sana, unfortunately CCM kama kawaida yao wakatumia hoja yao ile maarufu ya udini.

Hawa wenye viburi tunawaambia tena kuwa ilikuwa mara ya kwanza , kila mtu alipoteza kwa upande wake, Kwa upande wa wananchi tumepoteza roho za wenzetu na hatutakaa tufurahi.

Hatuna madai mengi, Viongozi watimize wajibu, watende haki, kwanini mnaonea wananchi? Kwanini mnateka watu? Kwanini mnatuletea chaguzi za mwaka 1940’s? Bunge la chama kimoja!!!??

Hatukubali…. Ambao hawawezi kuandamana watawapikia waandamanaji kikubwa sote tutakuwa kitu kimoja.

Jambo la kushangaza kwa miaka 4 sijasikia ufisadi ukikemewa popote. Ni ni kawaida huko kwenu?

Watusikilize tunaipenda nchi yetu na hatuna nchi nyingine….
 
Wasipokusikia bas tena. Kiufupi security forces za tanzania zimekuwa exposed. Ro the extent weakness kubwa mno imeonekana

Now even nchi maadui zimeshajua tuna taasisi weak, when and pa kutupiga.
Kitendo tu cha wao kuzima internet na kisha kutumia silaha za moto kuwakabili waandamanaji ambao hawana silaha zozote, kimeonesha vyombo vyetu vya usalama vina watu wapumbavu mno, hawana waledi, ni wavivu wa kufikiri ndio maana waka opt njia ya shortcut iliyogharimu maelfu ya watu ambao ni nguvu kazi ya taifa na mbaya zaidi hata hawajali.

Ukiongeza na lile la kuruhusu mamluki kutoka nje waje wasaidie kutuliza ghasia ndio kabisa limeonesha hili taifa linaloongozwa na wajinga.
 
Yani kitakachotokea watu watakata veins drone moja hugharim kiasi kidgo tu na wapo watu wanaweza zitengeneza vijana akiki zao wanazijua wenyewe walah ,mfano huku mtaani ugomvi wa vijana siwagombelezei kama nina nia huwa nachukuwa gongo kubwa nawapelekea moto haswa ndo style yangu hwa vijana wa sasa sio wa kuwaletea ngonjera wasikilizwe watimiziwe mkiwazunguka nao wakiamua lao mtawalaumu bure
 
Umeongea ukweli ila serikali na aina ya viongozi ni pumpikin heads

Hawasomi nyakati
9dec ina load
ila mpaka sasa wapo bize kuteuana

Hawana solution yoyote mpaka sasa!
Wanadharau sana na ni kweli hawataki kusoma alama za nyakati. Na hili ndilo lilowacost tarehe 29. Huwa wanatuchukulia wananchi ni wajinga.. na badala yake wenye akili ni viongozi wa upinzani, Gwajima, Polepole, Mange na Maria Sarungi. Wanaonaga wakiwatia nguvuni hao wamemaliza. Ukitoa kudhibiti hao wanaowaona ndio think tanks wetu, wanawazaga kutambaza rushwa kwa viongozi wa dini, asasi mbali mbali na wasanii.

Permanent solution hawawazii hata; mfano kutekeleza yaliyo mazuri kwa wananchi. Barabara ziko wapi? Madawa hospitali yako wapi? Huduma za jamii hawawazii, wapo busy kushindana kutafuta / kukimbizia teuzi, kununua brabus, gwagons, sijui magari gani, ali mradi wayapange magari kwenye nyumba zao! Upuuzi tu kwa hawa watu.
 
Ukweli ni kwamba asilimia kubwa ya vijana wanajuwa kutumia mashine tokea haya yaliotokea vijana wapo youtube kupokea tutorials binafsi nimeiva sana ktk iyo sekta kiasi kwamba nikiokota silaha najuwa natakiwa kufanyaje basic, kuna siku nikapost status tutorial fupi tu ya matumiz ya Smg nilipata reply nikastaajabu vijana wapo sirias kuliko kawaida
Tupeni silaha jamani..tunataka
silahaaa,🗣️🗣️🗣️🗣️🗣️🗣️

kufungua smg najua.
kuisafisha najua
kuifunga najua
kupakia risasi najua
kulenga na kupiga najua.
 
Yani inasikitisha sana huyu mama alipoifikisha nchi. Na yote haya ni watu kufumbia macho mambo. Yule mtoto wake ndio anaachiwa usukani kama Usalama wa Taifa kweli? Kwa experience gani aliyonayo yule kijana. Na watu wenye akili zao wote wamekaa pembeni wanageuka machawa wa yule kijana. Tumeachwa uchi kabisaaa!!! Tanzania sio tena kama ilivyokuwa..
 
Niongezee tu ambapo umeshau ni kuwa kwa hali ilipofikia akitokea adui wa nje kuja kuishambulia Tanzania raia ndio watakuwa watu wa kwanza kutoa ushirikiano kwa jinsi walivyoichoka serikali na mambo yao ya hovyo.

Hilo bado wenzetu hawajalifikiria nadhani. Wanawaza kulumbua kodi za walalahoi tu kwa kugawana kama peremende.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…