PostGE2025 Nilichokishuhudia kwenye maandamano: Serikali ya Tanzania imeshindwa vita

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Hili mbona ni dogo sana ndugu yangu.

Kuna silaha zimepita mpaka fulani hivi zimefika Dar Es Salaam nyingi mnoo.

Kiukweli mpaka kufika 2027 dunia nzima haitaamini kwamba hawa ni watanganyika.
​
Hii ni habari njema sana, watu watapata sasa "second amendment " yao .

Kwa muda mrefu watu waliotakiwa kuwalinda wananchi waligeuka ndio kikundi cha kuwatishia , kuwateka, kuwaua , kuwanyanyasa kijinsia n.k

Sasa wananchi inabidi watumie haki yao kikatiba maana hii taasisi imeacha jukumu lake mama la kuwalinda wananchi imegeuka ni tawi la ulinzi la CCM.

Wito wangu wananchi wasitumie silaha hizo kudhuru watu bali kujilinda dhidi ya hawa madhalimu kama isemavyo "second amendment"
 
PUMBAVU ZAKO: UMEANDIKA VIZURI SANAAA
 
Wanachojua ni mbinu za kizamani za kivita,
Wapasue tofauti kwa ngumi, wavute gari nk wakati wenzao wanatengeneza Drones huko
Wao wajue katika yote hayo lisije tokea la kutokea yani yatakua ya Libya raia walifurahi sana na kuunga mkono wakati NATO inatoa kichapo kwa watawala.
 
Pia inahitaji watu wa kusema tupewe muda fulani kubadilisha mambo, vinginevyo maandamano yataitwa. Sasa hapa bila shaka watu kama akina Lisu, Heche, Mnyika na Lema wanaweza sema mambo walau yakapungiza munkari.
 
Je unamaanisha December 09 2025 Serikali itashindwa??
 
Siku akitokea fara 1 akaanzisha kundi msituni..aiseeee!!!! Tanzania itawaka moto yoteee
Wasiwasi wangu, kwa upepo unavyoenda armed insurrection yoyote hapa nchini itageuka vita mbaya ya kidini na tukaishia kuchinjana kikatili. Wenye mamlaka wanatakiwa kuwa makini sana.
 
Mkuu hii nukuu na mfano upo sahihi kabisa hiki kizaz kina DNA ya ajabu sana hakisikii wala kujari halafu sasa namna ya kudeal nao pia ni shida ukideal kama Unadeal na hawa 1980s umepotea kabisa..
Na serikali ilipanic ndo maana ikafanya ivyo lakini hawajatibu tatizo ndo kwanza wametia petrol ktk moto naomba tu Mungu wasipate acces ya Gun ,yani serikali ndo inajuwa inadeal na watu gani ila inajifanya haijajua bado, kama dingi yangu alimkana mdogo angu kwamba mi sina toto kama hili ndo kilichomtokea mama samia kuwakana vijana wake na kusema ni wakenya

Mi nilimshauri mzee hawa watot watakuua we nenda nao kidiplomasia ,alikuwa dogo anavuta bangi kama kichaa tena zile skanka akirudi anamuona kila mtu saizi yake, siku nilimpiga lakini wapi dingi nae kapiga lakini wapi. Tulivyo mrekebisha ni kwa kukaa nae chini dogo skanka usivute we vuta bongosheet tena consume 2 au tatu kwa siku kweli akabadili mwisho wa siku akaja akaacha.

Samia na Gen z alitakiwa adeal nao kidiplomasia before 29 ,na ktk maandamano angefocus kulinda mali na kuwaelekeza njia bora za maandamano
 
Failed state, haina inachoweza kufanya tena. Kitacho fanya 9D ipite, mibuyu miwili idondoke au hata ukianza mmoja fresh, inaweza badilisha hali ya upepo
 
KGB wanasema ukitaka kuvuruga nchi basi anza na watoto mashuleni. Badilisha mitaala na mbinu za kielimu ambazo kizazi kinakua nayo.​
Hii imenikumbusha masharti ya IMF/WB kwenye elimu yetu.

Nakumbuka 1993 wizara ya elimu ilileta mtaala mpya kwa baadhi ya shule za sekondari za Dar es Salaam (Azania, Jangwani na Forodhani).

Masomo yote ya sayansi (physics, Chemistry na Biology), yaliunganishwa kuwa somo moja, waliita Unified science. Yale ya sayansi ya jamii (History, Geography na Civics) yaliunganishwa kuwa somo moja lililoitwa social studies.

Huu mfumo ulikuja kufa kiaina, kwa sababu hata walimu hawakuwa na vitabu vya kufundishia. Ni kama kulikuwa na ajenda ya kuharibu kizazi kile kitaaluma.
 
Moja wapo ni kuanza kupanga mkakati wa kulipua gati muhimu bandarini.

Tusipokuwa waangalifu Nchi inaenda kuwa failed a failed state completely
Sasa hii ya kuvunja gati si tunaingia hasara wenyewe wananchi wapenda haki?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…