Nilichomfanyia huyu dada mpenda fedha kitamuathiri kisaikolojia kwa miaka mingi

Hapo akikutana na wajinga wengine kama wewe wanampa hizo ten ten na hawapi mzigo si atasonga tu mjini
 
Kuombwa 10k ya kusuka ushaona mtu ana tamaa
JARIBU KUWA UNASOMA VIZURI..
Shida ni hii hapa

"" Kilichoniuma zaidi ni kwamba jana nampanga nikamle akasema poa ila nimbebee kama 50 hivi kwasababu anataka hela ya kununua zawadi awabebe kwao. Yaani hata wiki bado , hata kugongwa bado ashaanza kunipiga vizinga vya 50 usawa huu.""

#YNWA
 
Yaani nilijua nakuja kusoma bonge la story mpaka niiote usiku, nashangaa nakutana na vitu vya ajabu wooiiii...
Nikupe 50K una hiyo vagina kweli ya 50K.

"" Kilichoniuma zaidi ni kwamba jana nampanga nikamle akasema poa ila nimbebee kama 50 hivi kwasababu anataka hela ya kununua zawadi awabebe kwao. Yaani hata wiki bado , hata kugongwa bado ashaanza kunipiga vizinga vya 50 usawa huu.""

#YNWA
 
Umeshamuahidi kumuwezesha halafu anakuomba umewezeshe hiyo 10K ya kusuka unamuona mdangaji πŸ™„

Kweli binadamu hatujui tunataka nini
Unaniomba hela baada ya kutangaza mgegedo..

Are you selling...

"" Kilichoniuma zaidi ni kwamba jana nampanga nikamle akasema poa ila nimbebee kama 50 hivi kwasababu anataka hela ya kununua zawadi awabebe kwao. Yaani hata wiki bado , hata kugongwa bado ashaanza kunipiga vizinga vya 50 usawa huu.""

#YNWA
 
Hii kaongezea baada ya watu kumgeuzia kibao. Hata haikuwepo mwanzo. Muongo huyo
 
Wewe ndiye umeathirikakisaikolojia mpaka ukafungua thread, yeye ela yako kala nyuchi hajakupa, na huenda ashakusahau. Unadhani uko peke yako, mwenzio atakuwa nao wengi tu na alikuwa anakuona boya tu unatoa toa pesa bila sababu ya msingi.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Daddy naomba hilo pepo chafu la usaliti lishiiiiiiindwe na lilegee kabisa 'shika raba yako nipe sendo yangu'
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Umezingua tu me sioni tatizo la huyo binti coz hata hiyo 50k kakuomba baada ya wewe kumuonyeshea 5m kwenye video call.
Kwanin ulimuonyesha anyway?
 
Hahahahahaha nimecheka sana, yaani umeona aibu jinsi ulivyozodolewa ndio ukaamua kwenda kuedit post kwa kuongezea vitu sivyo kwa bahati mbaya kuna jamaa Jumbe Brown aliquote original uzi wako so huna pa kutokea jombaaa,

Yaan wewe ndie umedhihirisha kabisa vile ulivyoathirika kisaikolojia, hahaha huyo Barmaid natamani ningemjua nimpongeze hata kwa laki, hahahaha.
 
Hii kaongezea baada ya watu kumgeuzia kibao. Hata haikuwepo mwanzo. Muongo huyo
Guys, hamjagundua kama huyu Liverpool VPN ni yeye huyo Sandali Ali

Hahahahaha man you try so hard but lemme ask you something, is it worth, to do all this?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mimi naona hizi ni akili za kitoto. Hamna uhalisia hapa
 
πŸ˜‚πŸ˜‚ Kwi kwi kwi kwi
 
Umasikini ni kitu kibaya sana
unafanya kitu ambacho dunia inashangaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…