Nilichomfanyia huyu dada mpenda fedha kitamuathiri kisaikolojia kwa miaka mingi


Si mpenzi rafiki unaweza kukuta hana maana hiyo
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hii ndiyo raha ya kupata wazazi macomedian
Yaani mwenyewe kaona kanifunga kamba wakati home alirudi saa7 usiku, kumbe yupo na mpenzi rafiki. Nami nitamwonyesha ushirikiano tu.
 
😂😂😂 mtoa mada anajiona kafanya jambo la kishujaa
 
Tamaa zao ndio huwa zinasababisha tunawala bure na kwa goli la kikatili kama la Joash dk za majeruhi
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwahiyo kaedit kutafuta validity ya uzi wake!!
 
Papaa misifa
 

Mkuu hizo kazi waachie wenyewe wanaoziweza, barmaid unaanza kumuonyesha pesa kwanza then unataka asizoee pesa zako, mtoto umleavyo ndivyo akuavyo, unaacha elfu5 ya chakula wapo wanaogonga bila hata cent
 
Umeombwa elfu 10 tu umeruka, hiyo milion5 uipatie wapi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…