Nilichoona kwenye nguo za mume wangu! Kuuliza kaniambia fikiri utakachomua kufikiri

Amani ya Mungu iwe nanyi wapendwa, naomba ushauri.

Ni mume niliempenda nilemuheshimu na kumfanyia kila kitu anachostahili mwanaume kufanyiwa kumfariji wakati wa magumu na kuwa nae wakati wa furaha, naye mwenyewe aliyakubali yote niliyokua nafanya.

Sasa juzi kachelewa kurudi nyumbani na sikumuuliza sababu akasema anaomba ale chakula ndipo aoge, nikapakua tukala kisha nikamuandaa akaoge ndipo nilipokuta kwenye nguo za ndani uchafu wa kutoka kujamiana na mwanamke.Nilipomuuliza akajibu fikiria utakachoamua kufikiri.

Naomben ushauri kwani hapa nasikia mwili wote unauma, kichwa kinataka kupasuka.

Usikurupuke kuhisi amechapa nje ya ndoa, kumbuka kuna wanaume wengine ni dhaifu, akiona mwanamke au hata kuku wanajamiana anachanganikiwa na kuwaza vya hajabu kisha kulowesha chupi. Wengi wanashindwa kusema ukweli baada ya kushitukiwa na wake zao matokeo yake wanakuja na maneno ya kejeli kama hayo aliyosema mumeo kwako. Ila pole lakini..
 
Nisikilize Mimi, jimazie mwaego! Assume as if nothing happened, zidisha upendo kwake, nakuapia atakuja kupiga goti na hatorudia tena!

Acha kumdanganya mwenzako azidi kuwa mtumwa..
 
ni miaka mi3 kwnye ndoa and he never gives the damn answers to me, i real love my husband na sijawah hata kuhisi anadem nje. yeye mwnyewe akitoka job straight hom saturdays n sundays we spend together, hata mtu akimtumia msg anamtaka ananiambia

Vp ambao huwa a kwambia?
 
wanawake kama nyie adimu sana " KULIOGESHA JANAMUME" lilivyo shababi linadinda kabisaaa.....lakini kwenye chupi yake ulifuata nini shemeji!!! wanaume huwa tunatamani mpaka ile oil ya kuandaa mirija ya ukuni inatoka tena mfululizo.....au ulinusha ukajua ni nini? na siku hiyo ulimpa mchezo au hasira zikakufanya ufyate.....pole shemeji ndo wako huyo...
 
Amani ya Mungu iwe nanyi wapendwa, naomba ushauri.

Ni mume niliempenda nilemuheshimu na kumfanyia kila kitu anachostahili mwanaume kufanyiwa kumfariji wakati wa magumu na kuwa nae wakati wa furaha, naye mwenyewe aliyakubali yote niliyokua nafanya.

Sasa juzi kachelewa kurudi nyumbani na sikumuuliza sababu akasema anaomba ale chakula ndipo aoge, nikapakua tukala kisha nikamuandaa akaoge ndipo nilipokuta kwenye nguo za ndani uchafu wa kutoka kujamiana na mwanamke.Nilipomuuliza akajibu fikiria utakachoamua kufikiri.

Naomben ushauri kwani hapa nasikia mwili wote unauma, kichwa kinataka kupasuka.
Pole sana
 
asante mpendwa ila yani hapa cjajua cha kufanya naamka asubuh namwandalia kama kawaida anakwenda kazn nami natoka jioni namfanyia vyote lakin natamani hata nimchome kisu
Pole sana 🤣
 
kwamba alipiga peku.....
kwamba ulimvua boxer alafu ukaichungulia mbele..
kwamba kuchelewa kwako ni SAA ngapi...
kwamba hulali mpaka arudi...
iyo ndoa itakushinda....

achana na pekuapekua..nimependa jibu alilokupa..ukome!!

rejea Uzi wangu 'ninavyoishi na mke wangu"
kalaghabaho
We wa kiume ?
 
Amani ya Mungu iwe nanyi wapendwa, naomba ushauri.

Ni mume niliempenda nilemuheshimu na kumfanyia kila kitu anachostahili mwanaume kufanyiwa kumfariji wakati wa magumu na kuwa nae wakati wa furaha, naye mwenyewe aliyakubali yote niliyokua nafanya.

Sasa juzi kachelewa kurudi nyumbani na sikumuuliza sababu akasema anaomba ale chakula ndipo aoge, nikapakua tukala kisha nikamuandaa akaoge ndipo nilipokuta kwenye nguo za ndani uchafu wa kutoka kujamiana na mwanamke.Nilipomuuliza akajibu fikiria utakachoamua kufikiri.

Naomben ushauri kwani hapa nasikia mwili wote unauma, kichwa kinataka kupasuka.
Baby zuchu uchafu wa kutoka kujamiana utauonaje kwa mwanaume, je unajua uume ukiamka hutema ute....njoo nikupe elimu hasira zikuishe
 
asante mpendwa ila yani hapa cjajua cha kufanya naamka asubuh namwandalia kama kawaida anakwenda kazn nami natoka jioni namfanyia vyote lakin natamani hata nimchome kisu
Kisa. Ha kumchoma kisu??ww ni dizaini ya wanawake wanaopenda kumganda sana mwanaume kujua kila muda yupo wapi anafanya nn, na una wivu uliopitiliza "over protective", mnqtqka ku control mwanaume, naongea hivo kwa sababu hata mm mke wangu mwanzo alikuwa hivo, anataka kunikontrol na maswali kama mtoto wake, nikawa namjibu shortcut, nikiwa bar anauliza upo na kina nani namwambia na niliowakuta bar,akipekua akikuta ujinga ktk simu namwambia ukitaka mpigie muda kujieleza sina otherwise usinipige kelele,saaa hiv amenyooka
 
Back
Top Bottom