Nilichoona mke wa mtu anafanya: Leo rasmi ninawaunga mkono team kataa ndoa

sasa malaya mpuuzi mmoja ndo uje utuandikie uzi etii ooh mke sijui nini

yaan wapuuzi wachache ndo iwe 7bu ya sisi kukataa kuoa
ipo hivi Kuna umri ukifika kam hautatamani basi utaolewa/utaoa utake usitake
tena km ndo ulikuwa mzinguaji baradhuli
utaolewa/utaoa JITU LA HOVYO balaa likutese ukonde upauke na kuiacha hiyo NDOA huwezi basi utazidi kunyorodoka
kusabuku mavi ya kuku
 
Dah hataree
Yani mtu anaolewa tu ili aonekane ameolewa au ndo akina Anna juakali?
Ndioo hivyoo sasa bora anna anampenzi tu ila hawa wengine hata wakitaka kupanda cheo, kuwa na gari nzuri , biashara , mali hizi uonazo wanatoa wanaume watakacho wanapewa hawajui kukataa watoto wengi wandoa wanahakikisha ni wamume wake
Ila kwa kupata vitu yeye hajali kaolewa anatoa tu
 
Kweli best mie napenda ndoa maana unakuwa namajukumu
 
funguka style iliyotumika basi,
 
Wanawake mbingu yetu iko mbali sana.
Sasa hapa unanifanya niwahisi vivaya wale women directors πŸ˜…πŸ˜…
 
sawa haya mi naomba unizalie watoto watatu tu!, vipi unasemaje..?
 
Wanawake mbingu yetu iko mbali sana.
Sasa hapa unanifanya niwahisi vivaya wale women directors πŸ˜…πŸ˜…
Eh unadhani unapewa nafasi tu kirahisi kwa lipi hasa kwa wanaume wanalala na wanawake wenye vyeo na wanawake wanalala na wanaume wenye vyeo halafu wanapeana kisiri siri .

Unashangaa tu mtu kapata ila kunawengine wachache wameotea hiyo nafasi kwa bahati .

Sana sana haya makampuni makubwa
 
adriz unaona huyu master amekuja kupinga hoja kwa point zinazoonekana japo amefunika funika Ila hajani attack Mimi. Wewe uliniparamia Mimi wakati me ni mjumbe tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…