Nilichoshuhudia Kariakoo leo kimenifurahisha mno

Uzi ufungweee!!!
 
Awamjui baressa hao ngoja ampigie Rostam azizi
 
Dude limekatiwa rufaa nini !.. mbona linazunguka tu halidaunlodiki !!
 
Sasa hamuoni kuwa mngewaacha tu hii habari isingejulikana na watu wengi, na mnavyowafunua mpaka kuona shanga zao na kuwaweka mitandaoni ndiyo mnawasaidia kufanya matangazo ya mambo yao?
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Bado nipo natafuta comment ya cocastic au bado yupo offline 😎
Rhabhekhaaaaa!!!

Sasa unataka niseme nn? Ikiwa hizi ndio akili za wabongo, badala ya kufuatilia mambo ya msingi kwa mustakabali wa Taifa.
Wao wanafuatilia watu kujua nani anafanya nae ngono,
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ badooo hapoo.
 
Wabongo ni hamnazo, ndo maana walamba asali wanachovya watakavyo, wao hasira wanapeleka kwa gays.
Lol πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Watu wamejifungia ndani ya box hawataki kutoka nje ya box kwa makusudi ya ujinga. Hao hao watu wapo radhi kuangalia porn kwa gharama zao lakini wanajitoa ufahamu kwamba hayo mambo ya Ushoga/Usenge yapo kila kona ya ulimwengu huu na hayajaanza leo wala jana.
Cha msingi hapo ni kujiepusha nayo na kuwalinda wale uwapendao(Familia) wasije tumbukia humo. Lakini chukizo ni hao vijana wanajitia eti wao ni watakatifu sana na wakawahukumu hao vijana kwa kuwadhalilisha hadharani hivyo.
Inawezekana kati ya vijana waliowavua nguo kuonesha shanga zao ni wateja waliokataliwa au kunyimwa "show" na hapo walikuwa wanajilipiza kisasi. Shame upon them. Makalio yao siyo yako wewe yanakuhusu nini hadi umfunue mwanaume mwenzio nguo zake??? Inafikirisha.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Ushoga na Ufisadi kipi kinaathiri jamii ya watanzania?
Hayo mahasira yenu juu ya ushoga tuyaone mkiyatoa tarehe 29/10 kwenye maandamano bila hivyo na nyie ni wale wale tu
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Sasa unafikri sisi tulijuaje kama wana shanga? Mwanaume mzima unavaa shanga zikikatika?
Ni wapi imekatazwa mwanaume asivae shanga? Mbona baadhi yenu mnajifunga kanga?
Hapo ni dhahiri kwamba yupo mmoja kati yenu alikuwa anamjua huyo kijana na pengine amewahi kumla na kwa sababu ya ubishi uliozuka miongoni mwenu akataka kuwathibitishia. Na amewathibitishia pasi na shaka. Sasa nendeni na nyie mkajaribu bahati yenu.
 
Umalaya, udangaji, usagaji, uzinzi ni ruksaa.
Ila ushoga ni hapana, hiyo ndio Tanzagiza.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…