ππππππ umepiga kwenye mshonoo.Ni wapi imekatazwa mwanaume asivae shanga? Mbona baadhi yenu mnajifunga kanga?
Hapo ni dhahiri kwamba yupo mmoja kati yenu alikuwa anamjua huyo kijana na pengine amewahi kumla na kwa sababu ya ubishi uliozuka miongoni mwenu akataka kuwathibitishia. Na amewathibitishia pasi na shaka. Sasa nendeni na nyie mkajaribu bahati yenu.
ππHuyu sio wewe,,oyaaa mrudshie cm muhusikaUnawashwa sio bure
Hizi tabia za kunyanyasa watu kwenye hadhara zinapaswa kupigwa marufuku. Ni namna ya kukosa ustaarabu.Ni baada ya kushuhudia vijana wawili ambao kimuonekano ni kama walishavuliwa ubingwa (Gays) wakijaziwa nzi yaani unaambiwa kitaa cha kutoka Karume kuja China plaza ni kelele tupu wakiwazonga na kuwazomeaπ€£π€£π€£π€£
Dakika za mwisho kuthibitisha hilo wakawazonga hadi wafanikiwa kupandisha tshirt ya mmoja wao ndipo shanga zikaonekana (Mambo hadharani) Watu ikabidi waziletee mazonge shanga hadi wakazikata π€£π€£π€£π€£ Oya weeeh
Kama sio polisi kuingilia leo Millard Ayo angepata kichwa cha habari cha motoπ₯π₯π₯
Siungi mkono uzalilishwaji ila nimefurahi maana hawa viumbe wamezidi kujiacha sasa inafika sehemu wanajiongelea vile wanavyotaka na confidence kibao na wanasapportiwa sasa kama wewe ni Gay usiombe ugundulike mitaa ile utajichukia.
View attachment 3461391
Kumbafu.
π πππHuyu sio wewe,,oyaaa mrudshie cm muhusika
Si shabikii Ushoga na wala Siwanyanyapai Mashoga ila pia siwezi kuwazongazonga kwani sijui kilichojiri kwao hadi wakaamua au kulazimika kuwa kama hivyo walivyo. Lakini zaidi kwa sababu ni binadamu kama mimi ninawaheshimu na kuwakubali/kuwapokea i.e. ninaweza kuishi nao bila shida yoyote au purukushani kama ilivyotokea hapo K/koo.Umalaya, udangaji, usagaji, uzinzi ni ruksaa.
Ila ushoga ni hapana, hiyo ndio Tanzagiza.
ππππππ
Tofautosha za Wamasai na za hawa!Kwahiyo zikikatika? Mbna wamasai wanaume wanavaa shanga mchana kweupe, na hamuwavuii? Au hamuwazongii?
Mkekosa vya kufanya au?
Hapana ni mimi , ila kuna jitu unakuta linawashwa washwa tu kukujibu utumbo , mda mwingine nikulifumulia mbali tu.ππHuyu sio wewe,,oyaaa mrudshie cm muhusika
Hata Mimi nasubiria!π€£π€£π€£Bado nipo natafuta comment ya cocastic au bado yupo offline π
Umewahi kuwaona Wamaasai wanaume?? au umewahi kuishi Umasaini bro?Tofautosha za Wamasai na za hawa!
But atleast wanajitahidi kupinga matendo ya kinyume na utamaduni maana ukiimagine ukapata vyote lakini maadili 0 sasa ina faida gani?Tanzania kuna watu masikini wengi sana ambao hawajui kupanga matumizi mazuri ya muda, wameshikiwa akili na kuaminishwa kuwa tatizo kubwa katika jamii ni hawa *******.
Wakati hawa ******* hawamuibii mtu mali ya umma, wanatumia miili yao wenyewe wanavyotaka wao wenyewe. Wanatumia haki za binadamu ambazo tumezikubali wenyewe na kusaini mikataba ya UN.
Wezi wa mali ya umma wanaachiwa wanadunda tu. Watu hawawaandami kama wanavyowaandama hawa *******.
Ifike wakati tuelewe kuwa usenge ni lifestyle tu. Kama huupendi wewe na familia yako wakanye wao wasiufuate
Huwezi kuzuia jambo kama hili. Na ukitaka kuwazuia wasijioneshe wazi ndiyo utakuwa unafanya kitu kibaya zaidi kwa sababu utawalazinisha wafanye kwa siri.
Labda tu negotiate kitu gani kinaweza kufanyika in public na kipi hakiwezi kufanyika, kwa sababu ya watoto.
Na hii si hoja ya ******* tu, hii hoja hata mahusiano ya wanaume kwa wanawake inayahusu.
Tofautisha mwaname kuingia mtaro wa mwanamke na kuingia mtaro wa mwanaume mwenzake, Kuna dhambi halafu Kuna dhambi promax!πHizi tabia za kunyanyasa watu kwenye hadhara zinapaswa kupigwa marufuku. Ni namna ya kukosa ustaarabu.
Mbaya zaidi unakuta wengi waliokiwa wanawapigia kelele na kuwadhihaki wanawafanya wanawake kinyume na maumbile.
Hajawah hii mambo kabisaπ π
Hapana hakika mi bado siamini,, sijawahi ona ukikoment iviπππHapana ni mimi , ila kuna jitu unakuta linawashwa washwa tu kukujibu utumbo , mda mwingine nikulifumulia mbali tu.
AiseeHajawah hii mambo kabisa
Yani shangaa kavaa yeye, makasiriko unapata wewe?
Una mapungufu gani ya kisaikolojia katika maisha yako unayotaka kuyajazia kwa kuwaandama hawa wanaume walioamua
Mwanao wa kiume akianza kufanya mambo ya kike usianze kutuonea haya majirani zako maana huku JF una-supportGayism ni ndani ya moyo wa mtu hakuwi determined na mavazi
SameHapana hakika mi bado siamini,, sijawahi ona ukikoment iviπππ