Nilichowafanya hawa mabinti wa IFM hawatanisahau

Ni yuleyule alietelekezwa Queens bridge during 90's unless Ile story iwe ya uongo
 
Inasemwa Mapenzi yamezaliwa Tanga,na wewe uko vizuri kwenye kutoa ushauri na maoni katika mijadala mingi ya aina hii. Hata hivyo nimechagiza tu Kama kautani fulani,siyo tusi mkuu.
Najua huwezi nitukana kijana wangu.
Shida nyingi zinatupa uzoefu.
Bongo kuwa kwenye mahusiano sawa na kuwa chuo kikuu au kununua gari bovu kabisa ..ambalo .kila siku unalipeka gereji kwa fundi.
So ule uzoefu wa kuona fundi anavyotengeneza mdogo mdogo nawe unakuwa fundi bila kupenda🤣🤣
 
We si ulimwambia ni mkuu wa kitengo cha masoko pale Voda makao makuu, ulitegemea nini 🤣😂🤣

Ila wanawake ni viumbe ambao wameumbwa kuchukulia mambo serious sana kwa wepesi mno. Yakibumbuluka mwanaume unategemewa na jamii kubeba mzigo, ndiyo maana wanaume tunakufa mapema aisee.
 
I really love what you did.
YOU ARE THE MAN,

"we don't buy a cow before we drink it's milk"
 
Si ungemwambia tu aje pekeake... labda ulijitapa sana kua una hela
 
Ndio dawa yao hao,ilinikuta dodoma pale,mtoto kaja na wenzie kijiji kizima wakala wakanywa,nimefika hata sijapumua napewa bili laki sita na ushee,asee nilicho wafanya hawawezi kisahau japo mimi sikuwakimbia,nilimwambia muhudumu anipe bill ya yule dada pekeyake,kama 60 hivi wale wengine nika.wambia siwajui nikasepa nae
 
i salute you.
both hands.

hahaha
 
Sielewi kwanini uitwe wewe uje na marafiki zako...tena bila kumwambia aliyekuita yaani unamfanyia sapraiz?
Huu ni utoto ila inategemea na mazingira mliyokutana na huyo main manzi
Hiyo ipo sana kwa mademu wa uswazi, na lengo hasa linakuwa kumkomoa aliyetongoza,
Wakati nina nguvu zangu hicho kijini alichokujanacho huyo main chick nilikuwa navumilia maumivo, then nilikuwa nahakikisha over time napita nacho mmoja baada ya mwingine wa mwisho nampa habari yote,
 
Mimi sisitadu mmoja aliniambia nilipie kabisa room anakuja[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kilichotokea na simu yake akazima mpaka kesho yake na chumba nishalipia[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]!!!!
Ungelala mwenyewe tu
 
Ulifanya jambo jema kijana wangu. Ifike mahali wanawake wawe na adabu na nidhamu ya kufuat walichoelekezwa. Kukuletea twiga staaz ni upumbavu usiovumilika hata kama ungekuwa na uwezo wa kulipia.

Siku nyingine ukishindwa kuwakimbia. Lipia bill yako na ya dem wako, za rafiki yao watalipa wao au atawalipia yeye.

Mwambie kabisa siku nyingine akiamua kuja na rafiki zake akujulishe mapema na wewe uende na Taifa Staaz yako.

Usindekeze mademu, jihurumie wewe, muda wako na pesa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…