Nilidanganya umri ukweni sasa penzi limekolea nachomokaje?

Vijana wa sikuhizi sijui mna akili zikoje , mambo madogo madogo kama haya ya kuumiza kichwa kweli ?
 
Kwahiyo ukimuoa utaficha vitambulisho [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Siwezi kuoa mwanamke ambaye numempita miaka 15 aisee

Hapo ukizeeka mwenzio ndio kwanza damu itakuwa inamchemka minyege kama yote lazima ugongewe mpaka ukome .. mwanamke pishana nae miaka 5 au 7 tu ,
Na huwa mwanaume akianza kuzeeka hawa wanawake huwa na viburi sana kwa waume zao sjui kwavile wanakuwa hawawachapi vizuri tena kwa bedi ndo maana wanatengeneza madharau,nina mifano halisi ya ndoa kama tatu hivi
 
Kwani una Muoa mama yake au Binti yake??
Huo umri kwa mama. Nini sasa...??
Me nilidhania kwako kuwa UTAWAHI KUZEEKA NA DEMU WASELA WAKUGEGENDEEE....
 
Kwahyo mkuu wew unamiak 35

Oa tuu ila muandalie mjane mirathi yasitokee augustino liatonga
 
Kwani una Muoa mama yake au Binti yake??
Huo umri kwa mama. Nini sasa...??
Me nilidhania kwako kuwa UTAWAHI KUZEEKA NA DEMU WASELA WAKUGEGENDEEE....
Mama yake hatukuwahi kuonana na nilimdanganya kuwa nina miaka 25 sasa tukikutana live atajua nimempiga
 
Kumbe mama mkwe haju ww upo kama Mzee Mwinyi!!??
 
kwamba umeshaongea hadi na mama mtu alafu bado hukuwa na nia!!?
 
Anawalogaaa
 
Kwani na kwenye mapenzi mnadaiana vyeti vya kuzaliwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…