Nilidanganya umri ukweni sasa penzi limekolea nachomokaje?

Kwani na kwenye mapenzi mnadaiana vyeti vya kuzaliwa?
Hujaelewa point,mama mkwe nimemdanganya umri halisi maana hatujawahi kuonana.lengo asinione kibabu,sasa siku tukionana tu atajua mi nilimdanganya,shida iko hapo
 
Unapataje ujasiri wa kuongea na mamake na dem kwenye simu??
 
Mkienda kwa mama mkwe mwambie "we ni mdogo sema tu maisha na tozo" ndo yamekuzeesha
 
Mkuu mwaka 2019 nilikutana na mdada ambaye alikuwa ananizidi miaka 5, nikamdangĆ nya kuwa Mimi ni mkubwa. Penzi likanoga akawa anataka nimpeleke kwa wazazi afu in fact nazidiwa umri
 

Haina hata shida hii kitu,

Akija kuuliza tena kuhusu hilo la umri wako sahihi mwambie "....ulimtajia umri huo kwa kufuata kalenda ya Kiislamu sio Kiyunani..." hapo utakuwa umemchanganya na hatokuuliza tena.
 
Mkuu umeshaanza kupigwa tutorial na mzee wako?? Dah mimi binafsi ningekua nshaanza honestly siridhiki na mke mmoja japo najitahid kuwa mwaminifu 😁
 
Kuiondoa ccm madarakani bado sana
 
Siwezi kuoa mwanamke ambaye numempita miaka 15 aisee

Hapo ukizeeka mwenzio ndio kwanza damu itakuwa inamchemka minyege kama yote lazima ugongewe mpaka ukome .. mwanamke pishana nae miaka 5 au 7 tu ,
Hujui isemalo, wanawakee wakizaa umri miili yao hubadilika haraka
 
Wakwe wa siku hizi hapana, mimi nilipewa kuongea na mkwe na nikamuomba amruhusu aje mkoa kunisalimia...kesho yake binti akatinga🤣
E bwana eeh!!!! Kiu ya ndoa ime despair mpaka wazazi sio waolewaji tu.They are both too much desparate
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…