Nilidanganywa kumbe chuo hamna mademu

Watalalaje wakati sisi course tunayosoma kuna dem mmoja na tupo 56.Demu mwenyewe wa hovyoo course yenyewe ni Mech eng.
😀😀😀
Mkuu embu kuwa na huruma na mbavu zetu aisee maana sio kwa kicheko hiki
 
Umepata Mkopo?

Baada ya mwaka huu kwisha utakuja na uzi unaosema (lecture amekufelisha kisha demu) wait and see
 

Walikua wanawa encourage wapenda madem Msome kwa bidii ili mhustle mfike chuo..by the way chuo kuna madem sanaaa yan sema huwezi waona kama hauna ela..madem wazuri wanaonekana kwenye sehem zenye hela hela,,andaa house party,nenda club pendwa ya chuo chenu na kipindi mkirudi for supplimentary..
 
Wapi wewe, achakujipaisha kwani madaktari awapendwagi
Fuata jinsi mada inavyokwenda.Sio kwamba mademu hawapendi ila wanapendwa na wanatafutwa. Mimi nasema hivi: Nikiwa chuoni sina taimu na mtu; ni mimi na masomo yangu tu basi.
 
Chuo umefwata nini mkuu, mademu au umeenda kusoma? Soma tu, mademu wapo tu
 
Chuo hakuna mademu[emoji15] [emoji15] ww unasoma nchi gani kwani apa Tanzania kuna vyuo vya wanaume watupu
 
naona umeenda kukua wewe hujaenda kusoma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…