Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
- Thread starter
- #101
Kwa nini mkuu?Jamii forum inaharibika sasa.. M Mod Chukua hatua
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa nini mkuu?Jamii forum inaharibika sasa.. M Mod Chukua hatua
Sasa mkuu class kwnyw kuna gal mmoja Sasa maujanja utayatumia wap au kama vip tanau uwanjaNipe maujanja mkuu
A ha ha ha nimecheka sana mkuu.mechanical wewe piga punyeto tu.... au katafute dem CPE
😀😀😀Watalalaje wakati sisi course tunayosoma kuna dem mmoja na tupo 56.Demu mwenyewe wa hovyoo course yenyewe ni Mech eng.
Mkuu ndio hivo kuna baadhi ya faculty kumkuta demu nivigumu.😀😀😀
Mkuu embu kuwa na huruma na mbavu zetu aisee maana sio kwa kicheko hiki
Umepata Mkopo?Aisee nilivyokuwa nasoma sekondari nilidanganywa ukifika chuo lazima upate demu kwa njia yoyote ile tena mademu wanakushobokea wenyewe na wanakutongoza wenyewe
Kulaleki kumbe walikuwa wananidanganya bana chuo hamna cha demu wala nini lazima uhaso kama vile sekondari tu yani mademu hakuna kabisa kama nilivyodhania
Nilijua nikifika chuo nitapata demu wa burebure kumbe hamna kitu kulaaaaaleki daah hapa nilipo nawaza ile kishenzi
Madogo wa seko ambao mpo humu msidanganywe chuo hamna mademu kabisa mademu wapo mtaani basi
Aisee nilivyokuwa nasoma sekondari nilidanganywa ukifika chuo lazima upate demu kwa njia yoyote ile tena mademu wanakushobokea wenyewe na wanakutongoza wenyewe
Kulaleki kumbe walikuwa wananidanganya bana chuo hamna cha demu wala nini lazima uhaso kama vile sekondari tu yani mademu hakuna kabisa kama nilivyodhania
Nilijua nikifika chuo nitapata demu wa burebure kumbe hamna kitu kulaaaaaleki daah hapa nilipo nawaza ile kishenzi
Madogo wa seko ambao mpo humu msidanganywe chuo hamna mademu kabisa mademu wapo mtaani basi
Wapi wewe, achakujipaisha kwani madaktari awapendwagiYaani mie nitoke zangu form 6 na B ya biology na C ya fizikia na chemistry halafu niende chuoni kuwa demu badala ya kusoma udaktari?
Hao unaowataka ni wale wa F na E.
Fuata jinsi mada inavyokwenda.Sio kwamba mademu hawapendi ila wanapendwa na wanatafutwa. Mimi nasema hivi: Nikiwa chuoni sina taimu na mtu; ni mimi na masomo yangu tu basi.Wapi wewe, achakujipaisha kwani madaktari awapendwagi
vyote mkuu kazi na dawaWw hujaende kusoma umeenda kutafuta madem umechemka
Chuo umefwata nini mkuu, mademu au umeenda kusoma? Soma tu, mademu wapo tuAisee nilivyokuwa nasoma sekondari nilidanganywa ukifika chuo lazima upate demu kwa njia yoyote ile tena mademu wanakushobokea wenyewe na wanakutongoza wenyewe
Kulaleki kumbe walikuwa wananidanganya bana chuo hamna cha demu wala nini lazima uhaso kama vile sekondari tu yani mademu hakuna kabisa kama nilivyodhania
Nilijua nikifika chuo nitapata demu wa burebure kumbe hamna kitu kulaaaaaleki daah hapa nilipo nawaza ile kishenzi
Madogo wa seko ambao mpo humu msidanganywe chuo hamna mademu kabisa mademu wapo mtaani basi
sijapewa na wala sikuombaNa wewe umepewa mkopo na HESLB?
uwezo wako ni mdogo wa kufikiriChuo hakuna mademu[emoji15] [emoji15] ww unasoma nchi gani kwani apa Tanzania kuna vyuo vya wanaume watupu
naona umeenda kukua wewe hujaenda kusomaAisee nilivyokuwa nasoma sekondari nilidanganywa ukifika chuo lazima upate demu kwa njia yoyote ile tena mademu wanakushobokea wenyewe na wanakutongoza wenyewe
Kulaleki kumbe walikuwa wananidanganya bana chuo hamna cha demu wala nini lazima uhaso kama vile sekondari tu yani mademu hakuna kabisa kama nilivyodhania
Nilijua nikifika chuo nitapata demu wa burebure kumbe hamna kitu kulaaaaaleki daah hapa nilipo nawaza ile kishenzi
Madogo wa seko ambao mpo humu msidanganywe chuo hamna mademu kabisa mademu wapo mtaani basi
Sawa ww unayewaza papuchi una uwezo mkubwa wa kufikiriuwezo wako ni mdogo wa kufikiri
NdioSawa ww unayeweza papuchi una uwezo mkubwa wa kufikiri
Na ukute umepata mkopo wa kodi za watanzania ile 1/4 inakuhusu i rest my caseNdio