Mathanzua
JF-Expert Member
- Jan 4, 2017
- 17,251
- 22,929
Wakati uliposoma wewe ulikuwa wakati mbaya sana kwa wasomi mkuu,pole sana.Wakati huo upendeleo ulikuwa rampant sana na vyeti fake navyo vilikuwa jambo la kawaida. Zipo kazi za wasomi zilizoporwa na watu wasiokuwa na weledi kabisa:watu waliopata kazi kwa upendeleo au wenye vyeti fake.Ilifika mahali watu wakaamini kwamba hakuna haja ya kusoma,watu hata wakasema kinachohitajika ni uzoefu tu!Those were extremely bad times indeed.Ndio maana mimi sina hamu kabisa na utawala wa Mwinyi,Mkapa na Kikwete.Hongera nyingi sana zimuendee Brother Magu,anafanya kazi nzuri kurudisha hadhi ya wasomi wa kweli.Wakati nasoma A-level, Mkwawa High School (1999-2001) ulipita uvumi kuwa tunaosoma PGM tunaandaliwa kuwa marubani lakini leo hii ninafanya kibarua kama mpishi kwa Mhindi Masaki. Kwa mshahara wa 250,000/= kwa mwezi
Aisee elimu hii ovyo sana.