Nilidanganywa kusoma PGM nitakuwa rubani, leo hii mpishi kwa Mhindi

Nilidanganywa kusoma PGM nitakuwa rubani, leo hii mpishi kwa Mhindi

Wakati nasoma A-level, Mkwawa High School (1999-2001) ulipita uvumi kuwa tunaosoma PGM tunaandaliwa kuwa marubani lakini leo hii ninafanya kibarua kama mpishi kwa Mhindi Masaki. Kwa mshahara wa 250,000/= kwa mwezi

Aisee elimu hii ovyo sana.
Wakati uliposoma wewe ulikuwa wakati mbaya sana kwa wasomi mkuu,pole sana.Wakati huo upendeleo ulikuwa rampant sana na vyeti fake navyo vilikuwa jambo la kawaida. Zipo kazi za wasomi zilizoporwa na watu wasiokuwa na weledi kabisa:watu waliopata kazi kwa upendeleo au wenye vyeti fake.Ilifika mahali watu wakaamini kwamba hakuna haja ya kusoma,watu hata wakasema kinachohitajika ni uzoefu tu!Those were extremely bad times indeed.Ndio maana mimi sina hamu kabisa na utawala wa Mwinyi,Mkapa na Kikwete.Hongera nyingi sana zimuendee Brother Magu,anafanya kazi nzuri kurudisha hadhi ya wasomi wa kweli.
 
Wazazi na wanafunzi wengi hudanganywa kuwa ukisoma PGM ndio utakuwa rubani.
Kiuhalisia Urubani ni hela yako na vigezo ni Proficiency in English na Uwe Umefaulu Form 4. Ukiwa na Dollar 17 PPL unaipata ndani ya miezi 6 kama sio kilaza.
Ukimaliza hapo Hela tena ili Usome CPL na Ratings
Ukimaliza hapo
Unapiga kazi hadi masaa kadhaa yafike Hela yako tena Unaenda soma.
Kozi za Urubani huwa si za miaka mingi ila ni hela nyingi
 
Siku nakamata chuma. Hapatatosha
 
HII ULIYOIANDIKA HAPA NI NNYA,
HAINA APPLICABILITY YOYOTE KATIKA MAISHA YA WABONGO WENGI KUFIKIA UFANISI!!!
Mpaka hapo ulipoisoma imekuongezea ari ya kujiendeleza zaidi na kama wakati umepita basi utajitahidi kuhakikisha mtoto wako au mjukuu kupiga kitabu. Elimu elimu na elimu
 
Wakati nasoma A-level, Mkwawa High School (1999-2001) ulipita uvumi kuwa tunaosoma PGM tunaandaliwa kuwa marubani lakini leo hii ninafanya kibarua kama mpishi kwa Mhindi Masaki. Kwa mshahara wa 250,000/= kwa mwezi

Aisee elimu hii ovyo sana.
Kichwa chako tu ni kibovu ndio maana umeishia kukaanga pilipili
 
Angalia isije ikawa wewe ndo tatizo mkuu....mi mwenyewe nilisoma accountancy niliambiwa nitakuwa mhasibu kwenye mabenki makubwa makubwa...lakini sana nilisota kupata kazi nikaibukia kwenye biashara nyingi nyingi sana kutokea chini kabisa huku accountancy yangu ikinisaidia katika utunzaji wa fedha,leo hii naweza kusema nimepitiliza hadi kwenye huo uhasibu jinsi nilivyosimama,kiasi ambacho ningekuwa kwenye hio ajira ya uhasibu sidhani kama ningefika hii level

Safii sana mkuu! Very inspiring!
 
Angalia wahindi sio watu wazuri wasije kula chakula na kushiba na kukukula wewe mwenyewe.
 
Wakati nasoma A-level, Mkwawa High School (1999-2001) ulipita uvumi kuwa tunaosoma PGM tunaandaliwa kuwa marubani lakini leo hii ninafanya kibarua kama mpishi kwa Mhindi Masaki. Kwa mshahara wa 250,000/= kwa mwezi

Aisee elimu hii ovyo sana.
Kwa miaka uliyo soma ni dhahiri kwamba ulizingua matokeo maana kwa iyo miaka saivi ungekua pazuri kama ungefaulu so wewe mwenyewe ndo ulizingua.
 
Wakati nasoma A-level, Mkwawa High School (1999-2001) ulipita uvumi kuwa tunaosoma PGM tunaandaliwa kuwa marubani lakini leo hii ninafanya kibarua kama mpishi kwa Mhindi Masaki. Kwa mshahara wa 250,000/= kwa mwezi

Aisee elimu hii ovyo sana.
Akili ya kuambiwa changanya na yako
 
Back
Top Bottom