ujangili ulikithiri mkuu, kuna habari niliisoma eti 60% ya tembo wetu walipotezwa kwa kipindi kifupi sana chini ya miaka 10Mikumi miaka hiyo palipendeza Ila ni miaka ya 1990s. Wanyama wa aina zote kuanzia Simba, nyati, Tembo, Twiga, swala, pundamilia, nyani n.k. wakionekana ukiwa barabarani tuu. Ila sasa sionagi kitu
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli. Zamani ukipata haina haja ya kwenda Serengeti . Wanyama aina zote walikuwa wanaonekanaujangili ulikithiri mkuu, kuna habari niliisoma eti 60% ya tembo wetu walipotezwa kwa kipindi kifupi sana chini ya miaka 10
Miaka ya 1998 nikiepo pale Tanzania advantist primary school - Arusha tulipelekwa Tarangire . Pale Tarangire nilifanikiwa kuona Tembo, Simba, twiga nk. Kwa kweli kama bado Tarangire ipo bado vile nikuhakikishie Ile itakuepo ndio mbuga nzuri Tanzania kuona wanyama kirahisi. Mikumi pale zamani ilikuepo ni rahisi kuobserve hao wanyama but not these days . Unaweza kupita mbuga nzima usiambulie kituHivi majuzi nilibahatika kufika Ngorongoro National Park eneo la Crater; nikitarajia kuona wanyama wakubwa kwa ufasaha kama inavyosimuliwa kwenye movie mbalimbali za wanyama.
Niseme kwa dhati kabisa baada ya kuzungushwa mda mrefu niliambulia kuona nyati, kiboko, digidigi, punda na ndege flamingo. Lakini Tembo nilioneshwa miguu tu walipokanyaga sikuwaona, simba nao nilioneshwa kwa mbaali sana tena wawili tu wadogo kama mbwa, nikaoneshwa kichaka cha Faru wanamopenda kukaa lakini sikuona!
Kiufupi roho yangu haikuridhika kabisa bora ningeangalia movie tu!
Matarajio yangu nilizani nitaona Faru, chui, twiga, Tembo na wanyama wengine kirahisi kumbe sio kazi rahisi kama nilivyotarajia.
Nifanyeje Next time ili niwaone wanyama kiufasaha kama tusimiliwavyo?
Ukitaka kuwaona simba kiulaini nenda usiku peke yako. Utaenjoy mkuu.
OooohhhMiaka ya 1998 nikiepo pale Tanzania advantist primary school - Arusha tulipelekwa Tarangire . Pale Tarangire nilifanikiwa kuona Tembo, Simba, twiga nk. Kwa kweli kama bado Tarangire ipo bado vile nikuhakikishie Ile itakuepo ndio mbuga nzuri Tanzania kuona wanyama kirahisi. Mikumi pale zamani ilikuepo ni rahisi kuobserve hao wanyama but not there days . Unaweza kupita mbuga nzima usiambulie kitu
Ulitaka upige nao selfieHivi majuzi nilibahatika kufika Ngorongoro National Park eneo la Crater; nikitarajia kuona wanyama wakubwa kwa ufasaha kama inavyosimuliwa kwenye movie mbalimbali za wanyama.
Niseme kwa dhati kabisa baada ya kuzungushwa mda mrefu niliambulia kuona nyati, kiboko, digidigi, punda na ndege flamingo. Lakini Tembo nilioneshwa miguu tu walipokanyaga sikuwaona, simba nao nilioneshwa kwa mbaali sana tena wawili tu wadogo kama mbwa, nikaoneshwa kichaka cha Faru wanamopenda kukaa lakini sikuona!
Kiufupi roho yangu haikuridhika kabisa bora ningeangalia movie tu!
Matarajio yangu nilizani nitaona Faru, chui, twiga, Tembo na wanyama wengine kirahisi kumbe sio kazi rahisi kama nilivyotarajia.
Nifanyeje Next time ili niwaone wanyama kiufasaha kama tusimiliwavyo?
Mimi baada ya kutembelea mbuga kadhaa hapa, nime conclude siende tena mbungan. Nikitaka kuona wanyama na mishe zao vzur nachek national geographic(wild),hapo napata maelezo ya kunitoshaHivi majuzi nilibahatika kufika Ngorongoro National Park eneo la Crater; nikitarajia kuona wanyama wakubwa kwa ufasaha kama inavyosimuliwa kwenye movie mbalimbali za wanyama.
Niseme kwa dhati kabisa baada ya kuzungushwa mda mrefu niliambulia kuona nyati, kiboko, digidigi, punda na ndege flamingo. Lakini Tembo nilioneshwa miguu tu walipokanyaga sikuwaona, simba nao nilioneshwa kwa mbaali sana tena wawili tu wadogo kama mbwa, nikaoneshwa kichaka cha Faru wanamopenda kukaa lakini sikuona!
Kiufupi roho yangu haikuridhika kabisa bora ningeangalia movie tu!
Matarajio yangu nilizani nitaona Faru, chui, twiga, Tembo na wanyama wengine kirahisi kumbe sio kazi rahisi kama nilivyotarajia.
Nifanyeje Next time ili niwaone wanyama kiufasaha kama tusimiliwavyo?
Ulitumia njia gani? ukitaka kuona wanyama mbugani lazima ujipange vilivyo kwa kutoa pesa nyingi tofauti na vile tunatangaziwa kwenye vyombo vya habari, tatizo ni serikali kuwaachia watu binafsi kuongoza watalii, miaka ya nyuma watumishi wa hifadhi ndio ilikuwa kazi yao kuu sasawamebaki kufanya kazi za ulinzi wa wanyama na kuchukua tozo tu hayo mengine hayawahusu. Unapoenda hifadhini utakuta karibu hifadhi nyingi zina nyumba za kufikia wageni ambazo hutoza kati ya TZS 20,000 hadi 25,000 tatizo linakuja kupata mtu wa kukupeleka kwenda kuwaona wanyama ambao wanaweza kuonekana kwa wingi mbali na hizo nyumba za kufikia wageni, mara nyingi wanyama huwa kwa wingi mbali kama vile km 50 na kuendelea kwenye mapori kwa hiyo hapo inabidi mukodi waongoza watalii binafsi ambao wana magari yao na hutoza kati ya TZS 400,000 kwa siku ,ili kupunguza gharama inabidi muwe angalau watu 4. Kwa wale wenye pesa huenda kwenye makampuni ambayo yamejenga makambi yao ndani ya mbunga sehemu ambazo wanyama hupita na sehemu hizo ziko ndani zaidi ukiwa kwenye hizo kambi huweza kuwaona wanyama kwa karibu zaidi ukiwa kwenye kambi hizo lakini tatizo ni kuwa unapolipia malazi pekee jua mambo ya usafiri hadi huko ndani ni juu yako na hapo ndio shughuli ipo. Kwa kifupi kwenda kuona wanyama wakubwa 5 ni kazi kubwa na inahitaji mkwanja mrefu, pia kuna wakati mnaweza zurura mbugani mkaishia kuwaona tembo, nyati lakini kwa farusi rahisi sababu wanalindwa na wapo wachache sana tena wa kuwa hesabu, twiga utawaona kwa wingi lakini hawa wa jamii ya paka kama vile simba,chui hawa inakuwa ni wa kubahatisha ila msimu wa mvua nyingi ni rahisi kuwaona sehemu za miinuko kwa kuwa hawapendi kukaa majini kwa muda mrefu kwani kucha zao huoza wakikaa kwa muda mrefu kwenye maji.Hivi majuzi nilibahatika kufika Ngorongoro National Park eneo la Crater; nikitarajia kuona wanyama wakubwa kwa ufasaha kama inavyosimuliwa kwenye movie mbalimbali za wanyama.
Niseme kwa dhati kabisa baada ya kuzungushwa mda mrefu niliambulia kuona nyati, kiboko, digidigi, punda na ndege flamingo. Lakini Tembo nilioneshwa miguu tu walipokanyaga sikuwaona, simba nao nilioneshwa kwa mbaali sana tena wawili tu wadogo kama mbwa, nikaoneshwa kichaka cha Faru wanamopenda kukaa lakini sikuona!
Kiufupi roho yangu haikuridhika kabisa bora ningeangalia movie tu!
Matarajio yangu nilizani nitaona Faru, chui, twiga, Tembo na wanyama wengine kirahisi kumbe sio kazi rahisi kama nilivyotarajia.
Nifanyeje Next time ili niwaone wanyama kiufasaha kama tusimiliwavyo?
Ilikuwaje mkuu?Nusu tubutuliwe na Tembo hapo Tarangire sina hamu nako
Tembo hawapendi makelele na haoni mbali ila ana uwezo mkubwa wa kusikia hata kama mnaongea kwa sauti ndogo, dawa ni kutulia na kukaa kimya mkiwa karibu nae,hapo atakuja kama anawatisha na akiona mumetulia anarudi alikotoka na kuendelea na shughuli zake.Nusu tubutuliwe na Tembo hapo Tarangire sina hamu nako
SafUlitumia njia gani? ukitaka kuona wanyama mbugani lazima ujipange vilivyo kwa kutoa pesa nyingi tofauti na vile tunatangaziwa kwenye vyombo vya habari, tatizo ni serikali kuwaachia watu binafsi kuongoza watalii, miaka ya nyuma watumishi wa hifadhi ndio ilikuwa kazi yao kuu sasawamebaki kufanya kazi za ulinzi wa wanyama na kuchukua tozo tu hayo mengine hayawahusu. Unapoenda hifadhini utakuta karibu hifadhi nyingi zina nyumba za kufikia wageni ambazo hutoza kati ya TZS 20,000 hadi 25,000 tatizo linakuja kupata mtu wa kukupeleka kwenda kuwaona wanyama ambao wanaweza kuonekana kwa wingi mbali na hizo nyumba za kufikia wageni, mara nyingi wanyama huwa kwa wingi mbali kama vile km 50 na kuendelea kwenye mapori kwa hiyo hapo inabidi mukodi waongoza watalii binafsi ambao wana magari yao na hutoza kati ya TZS 400,000 kwa siku ,ili kupunguza gharama inabidi muwe angalau watu 4. Kwa wale wenye pesa huenda kwenye makampuni ambayo yamejenga makambi yao ndani ya mbunga sehemu ambazo wanyama hupita na sehemu hizo ziko ndani zaidi ukiwa kwenye hizo kambi huweza kuwaona wanyama kwa karibu zaidi ukiwa kwenye kambi hizo lakini tatizo ni kuwa unapolipia malazi pekee jua mambo ya usafiri hadi huko ndani ni juu yako na hapo ndio shughuli ipo. Kwa kifupi kwenda kuona wanyama wakubwa 5 ni kazi kubwa na inahitaji mkwanja mrefu, pia kuna wakati mnaweza zurura mbugani mkaishia kuwaona tembo, nyati lakini kwa farusi rahisi sababu wanalindwa na wapo wachache sana tena wa kuwa hesabu, twiga utawaona kwa wingi lakini hawa wa jamii ya paka kama vile simba,chui hawa inakuwa ni wa kubahatisha ila msimu wa mvua nyingi ni rahisi kuwaona sehemu za miinuko kwa kuwa hawapendi kukaa majini kwa muda mrefu kwani kucha zao huoza wakikaa kwa muda mrefu kwenye maji.
Wamasai ni specie tofauti na wamezoeana na simba n.k, we ulishasikia hata Simba amemla mtoto wa kimasai?Mbona wamasai wanaishi nao na niwazima!
Hiyo dawa kama ipo basi inafaa wamasai wauze getini ili watalii tupake tunapoingia hii ni fursa kwa wamasaiWamasai ni specie tofauti na wamezoeana na simba n.k, we ulishasikia hata Simba amemla mtoto wa kimasai?
Hata kula tu ng'ombe wa mmasai ni ngumu...ila ni mara kadhaa simba wanaua na kudhuru binadamu wengine
Kuna dawa wanapaka wamasai Hata wakipita jirani na simba kwa mita 3 wanakuwa kero kwa simba na wanyama wengine
Kingine wamasai wamekuwa wakiua simba mara kadha wa kadha bila risasi na simba wanajua hilo
Although ana bahati hata kuwaona hao, maana amekwenda kipindi bado wanyama walio zubaa hawajaondoka kupanda juu kutafuta malisho.Tena huko Crater ni rahisi zaidi kuwaona wanyama kwa kuwa wako ndani ya eneo ambalo hawaham
Kwenye video ndio wanaonekana kirahisi mkuu,huko msituni ni kuviziana maana wanajificha kila mnyama anaogopa mbabe wake na wengine wanajificha Ili wawinde.Hivi majuzi nilibahatika kufika Ngorongoro National Park eneo la Crater; nikitarajia kuona wanyama wakubwa kwa ufasaha kama inavyosimuliwa kwenye movie mbalimbali za wanyama.
Niseme kwa dhati kabisa baada ya kuzungushwa mda mrefu niliambulia kuona nyati, kiboko, digidigi, punda na ndege flamingo. Lakini Tembo nilioneshwa miguu tu walipokanyaga sikuwaona, simba nao nilioneshwa kwa mbaali sana tena wawili tu wadogo kama mbwa, nikaoneshwa kichaka cha Faru wanamopenda kukaa lakini sikuona!
Kiufupi roho yangu haikuridhika kabisa bora ningeangalia movie tu!
Matarajio yangu nilizani nitaona Faru, chui, twiga, Tembo na wanyama wengine kirahisi kumbe sio kazi rahisi kama nilivyotarajia.
Nifanyeje Next time ili niwaone wanyama kiufasaha kama tusimiliwavyo?
Zoo ya Tabora enzi zile(miaka ya sabini) kulikua na Sokwe Mtu akiitwa Sada. Kulikua na Simba ambaye akiunguruma kishindo cha sauti yake kilienea mji mzimaSerikali sijui imeferi wapi kwa sasa zamani kwenye baadhi ya mikoa kulikuwa na zoo mfano mwanza ple pasiasi ulikuwa ukienda unaona wanyama takribani wote wakiwa wamefungiwa kwenye mabanda, pale Tabora kulikuwa na zoo napo ulikuwa hivyo hivyo siku za sikuu au week end wazazi walitembelea na familia zao kwenda jionea wanyama na ndege wa aina mbali mbali
Kuna kipindi nilienda dar zoo nikiwa na picha ile ile ya zile zoo nilizokuwa nikiziona udogoni mwangu ila nilipofika uko hakuna lolote niliona simba tu
Wito wangu wizara husika ebu fanyeni kitu watoto wapate kukifunza kwa kuona siyo lazima sote twende bugani ona mdau analalamika hapa kafika mbugani hakuna kitu
Tatizo waziri mwenye dhamana kageuka mwandishi wa story za Instagram sijui nje ya box baada kudeal na vitu vya msingi vilivyofanya tumjue yupo kutuadithia hadithia tu akitaka tuamini kakulia kwenye shida yeye ni mpambanaji tunasubilia ajichanganye tufukue makaburi
π³π³π³πππ Dah yaani nimecheka yy alikuwa ende na wale bush house.Ukitaka kuwaona simba kiulaini nenda usiku peke yako. Utaenjoy mkuu.