Nilidhulumiwa na Polisi(Afisa) kidogo niuawe

Mimi polisi mwaka huo huo kijana want alimaliza f4, akawa anaendesha pkpk yangu. Polisi jirani akaniambia kijana wako Hana leseni na Kuna msako anataka kunisaidia apate leseni haraka nimpe 250k
Nikatoa kumbe wamechukua hela kwa vijana karibia 30, Sasa ikawa ukiuliza hiyo hela ni balaa.
Wanamvizia kijana wako wanamkamata, mzazi ukienda unaswekwa ndani hamna dhamana.
Utatoa rushwa Hadi ukome ndo utoke!
Hivyo ambao hawakuwekwa mahabusu wakakimbia kudai zile pesa.
Hawa jamaa wanamafunzo mengi ya kupora raia.
 
Hapa Bongo Ukipona Mikononi mwa Polisi we nenda katoe sadaka. Ukijidai mjuaji utaisahau familia yako.

Mkuu nampongeza kwa kujikalia kimya akauponya uhai wake
Uonevu ukizidi tena kwa sababu ya kijinga kama hiyo nipo tayari kufa au kuishia jela.
Nitaenda wizarani hadi Ikulu au nitalipa kisasi au nitatafuta uchawi unapatikana wapi duniani.
Ningemtafuta huyo askari akiwa peke yake na kwa kumshitukiza.
Huyo labda alisalimia kihuni au alifanya kosa fulani dogo.
Angeomba radhi kwamba alilewa ninge msamehe haraka tu.
 
Muulize mdude wa chadema kuhusu yule askari mafwele ndo utajua hii nchi imejaa vilaza kila sehemu
Elimu ndogo na kupeana kazi kwa vimemo ndo imetufikisha huku
 
Hii ningepotezea ila siyo kitendo alichafanyiwa mleta mada.
Pesa siyo kitu ila utu wangu na mwili wangu ndiyo kila kitu.
 
Wengi ni wahuni TU na roho mbaya zao wanaishia maisha ya hovyo sana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…