Nilienda kanisa fulani leo kumsindikiza rafiki, mavazi ya mabinti kadhaa yamenishangaza. Kwao wanajidanganya Mungu anaangalia roho si mavazi

Thread za kushambulia dini za watu humu zimekuwa nyingi sana
Na JF administration wanaziacha Tu
Maxence Melo
Hakika nimegonga ndipo, Ulipoona hizo picha na ukakumbuka kwamba unachoamini ni kwamba kinachoangaliwa ni roho na si mavazi umekasirika eeh ??

Ndio hoja yangu hio, kama ni mavazi yoyote yanaweza kuvaliwa je hayo ya kwenye picha ni ruksa ?
 
Mbona hata kina mwajuma , Asha, Amina, wamejaa sana mitaani wamevaa mavazi kama hayo
 
Dini kitu complicated sana.

Anaeza tokea mtu akapinga hoja yako na ushahidi akatoa kwenye bibilia, vilevile anaeza tokea wa kukubali na ushahidi akatoa kwenye bibilia...
 
Leo siku ya pasaka nilimuahidi rafiki kwamba nitampa kampani kwenda kanisani kwao (ni kanisa mojawapo marufu duniani) lakini pia nami niweze kujionea shghuli zinazofanyika katika siku hii pamoja na kusikiliza maneno takatifu.
kishundu
 
misa ikiwa inaendelea ndani binti aliingia kwenda kukaa siti ya mbele, kiukweli nilistushwa kwa mavazi aliyovaa, suruali ilikuwa nyepesi imembana imechora umbo lote hips, makalio na mapaja. kishati cha juu nacho kimbana huku pakiwa nacho ni kifupi kilichombana huku kikiwa na uwazi kifuani, kwakweli sikuweza kuona utofauti wake na wale mabinti waliovaa maksudi kuvutia wateja wa kununua miili.

Nilidhani patatokea purukushani ama hata watu kuanza kulalamika atolewe lakini ibada iliendelea kama kawaida, nilikuwa na maswali kibao sikuweza kufatiia ibada vizuri ila nilipomuuliza rafiki akaniambia wao wanachoamini Mungu haangalii mavazi bali roho.

Nikawa najiuliza sasa ilikuwaje miaka ya nyuma ni hili kanisa walikuwa wakisifika kuwafukuza ama kuwafunga kanga wanawake wanaovaa nguo zisizowastiri lakini leo hii wala hakuna kuwakemea, nikafikia jibu kwamba kanisa hili linaenda kwa mabadiliko ya utandawazi.

Kwakweli wanaosema Mungu haangalii mavazi wanakosea,
  • Kwamba huyu kaenda kanisani hajui kama mavazi hayo ni karaha kwa wengine ?
  • anaweza kuvaa mavazi hayo msibani ?
  • Kinachoangaliwa ni roho, waumini waanze kuingia na vimini na body taiti ?
  • Hata kama asingekuwa anaenda kanisani bado kama binadamu anatakiwa kujiuliza tu mavazi haya yana stara ?
  • je hawajiulizi ni wangapi wametenda dhambi ya kutamani kupitia hayo mavazi ya kikahaba?
  • Kwamba kanisa halina muda na mavazi ya kikahaba kama hayo?
  • Kwani padre akiwaambia wavae mavazi ya kujistiri atakuwa amevunja kanuni ipi ya kanisa?

Pindi tunavyotoka nikawa sambamba na rafiki yangu ila yeye naona alikuwa bize anasalimiana na wengine, yule binti alitupita nikaona wacha nichukue picha ya maajabu niliyokutana nayo, nilimuaga rafiki naenda chooni mara moja, sehem ile ilikuwa na watu wengi ilikuwa ngumu kupata picha, binti nikawa namfuata kwa nyuma, tukafika sehem haina watu wengi nae akasimama, nikaongeza mwendo nikaweza kumpiga picha, hebu jionee mwenyewe hio picha nimeicrop na kuiambatanisha

Hivi kweli makanisa makubwa yanashindwa suala la mavazi wanazidiwa hata na wenzao wa jumamosi ?

View attachment 2582156
Wakristo Huwa ni wajinga sana,majitu hayaheshimu maadili kabisa ,wanavaa Vimini nk

Mimi ni mkristo ila nilishaacha kwenda sababu zake na Hilo ni Miongoni kwake.
 
KANISA ni MTU aaminiye.

Madhabahu ni MOYO wa aminiye .

HEKALU ni MWILI wa aaminiye.

Ukienda kwenye kusanyiko la namna hiyo na ukatoa SADAKA Badala ya Kupata baraka, utaondoka na LAANA.

Muulize Roho mtakatifu akupe KIBALI wapi pa kwenda kukusanyika na MAKANISA mengine Kwa IBADA.
 
Mtoa mada lengo lake ni kuchafua Imani za watu na sio uhalisia aliokutana nao yeye.
Uvaaji wa kikahaba umeingia ktk kusanyiko la Wana wa Mungu,

TUZIKEMEE Roho hizo za mbwa.

Imeandikwa, Amtamaniye mwanamke Kwa kumwangalia, amekwisha kuzini naye moyoni.

Mtu huyo akiingia ktk nyumba hizo anamsaidia Ibilisi kuwatoa watu katika uwepo wa Mungu.

Amen
 
Are u sure?
Au una ropoka?
Haya Kuna mwarabu ama mzungu na Wang ama Toyota. Wewe kama umeshaamini tamaduni za watu wengine mpaka majina inaitwa ya kwao mpaka Aina ya chakula plus na mavazi unavaa auto unaona Kama ndio vazi linalopendeza machoni wa aliyeumba viumbe vyote.
Wewe ishi kwa Imani zao mkuu najua nikigusa hapo nakuwa Kama nakugusa personality yako Mana umeaminishwa ivyo tokea ukiwa mdogo so imeshaota kwenye mizizi ya ubongo wako.

Wewe huoni hata wahindi Wana sehemu zao za kuabudu sie waafrika wengi mno wamerubuniwa kuwa asili yao ama tamaduni zao Ni za kishetani na wao wakaamini kweli.

Yani mkuu sie tumeshikwa pabaya mindset, beliefs, lifestyle,culture.
Am sure hata wanao hujawaita majina ya kabila lako Mana unaliona Kama halifai.

Niambie Kama Kuna mzungu kabisa anaitwa Kumar, ama Masawe ,okechukwu.

Kubali umeshaolewa na umeshikwa pabaya na huwezi chomoa Kama unavyoaminisha mtt ama mwanamke kuwa wewe ndiye unampenda na unazo nguvu na Mali so anakuamini hawezi enda kwenye mwanaume mwingine.

Elewa kila Taifa Lina tamaduni zao ama unabisha na dini ikiwepo Ni aina ya tamaduni
 
Are u sure?
Au una ropoka?
Ila mpaka nakuhurumia pia naumia waafrika wamegawanywa Kama wakoloni walivyotugawana ili watutumie vizuri.

Yaani Kama wewe kichwa usikute ukiishi London ama Oman ndio utajisikia ufahari mno kuliko Kijijini kwenu huko ambako Kuna mifupa ya mababu zako hata kizazi Cha mia kutoka kwako.

Ama unapenda new Delhi ama Ni Tokyo mana waafrika huwa wanawapenda Sana vya wenye ngozi za nguruwe kuliko vya kwako.

Kwanza nahisi naongea na mwafrika Ila ana fikra za wenye ngozi za nguruwe
 
Leo siku ya pasaka nilimuahidi rafiki kwamba nitampa kampani kwenda kanisani kwao (ni kanisa mojawapo marufu duniani) lakini pia nami niweze kujionea shghuli zinazofanyika katika siku hii pamoja na kusikiliza maneno takatifu.

misa ikiwa inaendelea ndani binti aliingia kwenda kukaa siti ya mbele, kiukweli nilistushwa kwa mavazi aliyovaa, suruali ilikuwa nyepesi imembana imechora umbo lote hips, makalio na mapaja. kishati cha juu nacho kimbana huku pakiwa nacho ni kifupi kilichombana huku kikiwa na uwazi kifuani, kwakweli sikuweza kuona utofauti wake na wale mabinti waliovaa maksudi kuvutia wateja wa kununua miili.

Nilidhani patatokea purukushani ama hata watu kuanza kulalamika atolewe lakini ibada iliendelea kama kawaida, nilikuwa na maswali kibao sikuweza kufatiia ibada vizuri ila nilipomuuliza rafiki akaniambia wao wanachoamini Mungu haangalii mavazi bali roho.

Nikawa najiuliza sasa ilikuwaje miaka ya nyuma ni hili kanisa walikuwa wakisifika kuwafukuza ama kuwafunga kanga wanawake wanaovaa nguo zisizowastiri lakini leo hii wala hakuna kuwakemea, nikafikia jibu kwamba kanisa hili linaenda kwa mabadiliko ya utandawazi.

Kwakweli wanaosema Mungu haangalii mavazi wanakosea,
  • Kwamba huyu kaenda kanisani hajui kama mavazi hayo ni karaha kwa wengine ?
  • anaweza kuvaa mavazi hayo msibani ?
  • Kinachoangaliwa ni roho, waumini waanze kuingia na vimini na body taiti ?
  • Hata kama asingekuwa anaenda kanisani bado kama binadamu anatakiwa kujiuliza tu mavazi haya yana stara ?
  • je hawajiulizi ni wangapi wametenda dhambi ya kutamani kupitia hayo mavazi ya kikahaba?
  • Kwamba kanisa halina muda na mavazi ya kikahaba kama hayo?
  • Kwani padre akiwaambia wavae mavazi ya kujistiri atakuwa amevunja kanuni ipi ya kanisa?

Pindi tunavyotoka nikawa sambamba na rafiki yangu ila yeye naona alikuwa bize anasalimiana na wengine, yule binti alitupita nikaona wacha nichukue picha ya maajabu niliyokutana nayo, nilimuaga rafiki naenda chooni mara moja, sehem ile ilikuwa na watu wengi ilikuwa ngumu kupata picha, binti nikawa namfuata kwa nyuma, tukafika sehem haina watu wengi nae akasimama, nikaongeza mwendo nikaweza kumpiga picha, hebu jionee mwenyewe hio picha nimeicrop na kuiambatanisha

Hivi kweli makanisa makubwa yanashindwa suala la mavazi wanazidiwa hata na wenzao wa jumamosi ?

View attachment 2582156

Mavazi ni utamaduni na hayana uhusiano na dini. Wakati wa Yesu na sasa watu wanajifunika zaidi hata ya miaka ile. Tatizo ni fikra yule ambaye anafikiria kimatusi ndiye mwenye dhambi sio mvaaji.
 
Hi
Kanisa sio kwa watukufu pekee lipo kuwaokoa hao unao waona.
Wakielimishwa wakaelimika wanabadilika.
Si ajabu mtukufu kuishia motoni Malaya akaona pepo.
Am out.
Hivi kuna moto wa jehanamu 🤣🤣🤣🤣
 
We umekwenda kusali au kuangalia biashara za watu
 
Mavazi ni utamaduni na hayana uhusiano na dini. Wakati wa Yesu na sasa watu wanajifunika zaidi hata ya miaka ile. Tatizo ni fikra yule ambaye anafikiria kimatusi ndiye mwenye dhambi sio mvaaji.
Photo shared by 𝐍𝐉𝐎𝐎 𝐔𝐏𝐀𝐓𝐄 𝐌𝐊𝐄_𝐌𝐂𝐇𝐔𝐌𝐁𝐀 💍 on April 10, 2023 tagging @iamnkiyah. May be an image...jpg
 
Back
Top Bottom