Hakika nimegonga ndipo, Ulipoona hizo picha na ukakumbuka kwamba unachoamini ni kwamba kinachoangaliwa ni roho na si mavazi umekasirika eeh ??Thread za kushambulia dini za watu humu zimekuwa nyingi sana
Na JF administration wanaziacha Tu
Maxence Melo
kishunduLeo siku ya pasaka nilimuahidi rafiki kwamba nitampa kampani kwenda kanisani kwao (ni kanisa mojawapo marufu duniani) lakini pia nami niweze kujionea shghuli zinazofanyika katika siku hii pamoja na kusikiliza maneno takatifu.
Wakristo Huwa ni wajinga sana,majitu hayaheshimu maadili kabisa ,wanavaa Vimini nkLeo siku ya pasaka nilimuahidi rafiki kwamba nitampa kampani kwenda kanisani kwao (ni kanisa mojawapo marufu duniani) lakini pia nami niweze kujionea shghuli zinazofanyika katika siku hii pamoja na kusikiliza maneno takatifu.
misa ikiwa inaendelea ndani binti aliingia kwenda kukaa siti ya mbele, kiukweli nilistushwa kwa mavazi aliyovaa, suruali ilikuwa nyepesi imembana imechora umbo lote hips, makalio na mapaja. kishati cha juu nacho kimbana huku pakiwa nacho ni kifupi kilichombana huku kikiwa na uwazi kifuani, kwakweli sikuweza kuona utofauti wake na wale mabinti waliovaa maksudi kuvutia wateja wa kununua miili.
Nilidhani patatokea purukushani ama hata watu kuanza kulalamika atolewe lakini ibada iliendelea kama kawaida, nilikuwa na maswali kibao sikuweza kufatiia ibada vizuri ila nilipomuuliza rafiki akaniambia wao wanachoamini Mungu haangalii mavazi bali roho.
Nikawa najiuliza sasa ilikuwaje miaka ya nyuma ni hili kanisa walikuwa wakisifika kuwafukuza ama kuwafunga kanga wanawake wanaovaa nguo zisizowastiri lakini leo hii wala hakuna kuwakemea, nikafikia jibu kwamba kanisa hili linaenda kwa mabadiliko ya utandawazi.
Kwakweli wanaosema Mungu haangalii mavazi wanakosea,
- Kwamba huyu kaenda kanisani hajui kama mavazi hayo ni karaha kwa wengine ?
- anaweza kuvaa mavazi hayo msibani ?
- Kinachoangaliwa ni roho, waumini waanze kuingia na vimini na body taiti ?
- Hata kama asingekuwa anaenda kanisani bado kama binadamu anatakiwa kujiuliza tu mavazi haya yana stara ?
- je hawajiulizi ni wangapi wametenda dhambi ya kutamani kupitia hayo mavazi ya kikahaba?
- Kwamba kanisa halina muda na mavazi ya kikahaba kama hayo?
- Kwani padre akiwaambia wavae mavazi ya kujistiri atakuwa amevunja kanuni ipi ya kanisa?
Pindi tunavyotoka nikawa sambamba na rafiki yangu ila yeye naona alikuwa bize anasalimiana na wengine, yule binti alitupita nikaona wacha nichukue picha ya maajabu niliyokutana nayo, nilimuaga rafiki naenda chooni mara moja, sehem ile ilikuwa na watu wengi ilikuwa ngumu kupata picha, binti nikawa namfuata kwa nyuma, tukafika sehem haina watu wengi nae akasimama, nikaongeza mwendo nikaweza kumpiga picha, hebu jionee mwenyewe hio picha nimeicrop na kuiambatanisha
Hivi kweli makanisa makubwa yanashindwa suala la mavazi wanazidiwa hata na wenzao wa jumamosi ?
View attachment 2582156
Mitaani ni sawa na nyumba ya ibada (msikitini / kanisani ) ???
Uvaaji wa kikahaba umeingia ktk kusanyiko la Wana wa Mungu,Mtoa mada lengo lake ni kuchafua Imani za watu na sio uhalisia aliokutana nao yeye.
Mungu Hana dini.Ukristo ni dini ya watu kwaio waachie watu wenyewe wajiongoze sio dini ya Mungu hii
Unatakiwa uvae nguo ya kujisitiri bila kujali mazingira, iwe sokoni au ktk nyumba ya IBADA.Hiyo nguo kama ni nje IPO sawa ila kwa kanisani hapana
Are u sure?huwezi msikia mchina mhindi mjapan mkorea akiitwa Mohamed, John nk.
Haya Kuna mwarabu ama mzungu na Wang ama Toyota. Wewe kama umeshaamini tamaduni za watu wengine mpaka majina inaitwa ya kwao mpaka Aina ya chakula plus na mavazi unavaa auto unaona Kama ndio vazi linalopendeza machoni wa aliyeumba viumbe vyote.Are u sure?
Au una ropoka?
Ila mpaka nakuhurumia pia naumia waafrika wamegawanywa Kama wakoloni walivyotugawana ili watutumie vizuri.Are u sure?
Au una ropoka?
Leo siku ya pasaka nilimuahidi rafiki kwamba nitampa kampani kwenda kanisani kwao (ni kanisa mojawapo marufu duniani) lakini pia nami niweze kujionea shghuli zinazofanyika katika siku hii pamoja na kusikiliza maneno takatifu.
misa ikiwa inaendelea ndani binti aliingia kwenda kukaa siti ya mbele, kiukweli nilistushwa kwa mavazi aliyovaa, suruali ilikuwa nyepesi imembana imechora umbo lote hips, makalio na mapaja. kishati cha juu nacho kimbana huku pakiwa nacho ni kifupi kilichombana huku kikiwa na uwazi kifuani, kwakweli sikuweza kuona utofauti wake na wale mabinti waliovaa maksudi kuvutia wateja wa kununua miili.
Nilidhani patatokea purukushani ama hata watu kuanza kulalamika atolewe lakini ibada iliendelea kama kawaida, nilikuwa na maswali kibao sikuweza kufatiia ibada vizuri ila nilipomuuliza rafiki akaniambia wao wanachoamini Mungu haangalii mavazi bali roho.
Nikawa najiuliza sasa ilikuwaje miaka ya nyuma ni hili kanisa walikuwa wakisifika kuwafukuza ama kuwafunga kanga wanawake wanaovaa nguo zisizowastiri lakini leo hii wala hakuna kuwakemea, nikafikia jibu kwamba kanisa hili linaenda kwa mabadiliko ya utandawazi.
Kwakweli wanaosema Mungu haangalii mavazi wanakosea,
- Kwamba huyu kaenda kanisani hajui kama mavazi hayo ni karaha kwa wengine ?
- anaweza kuvaa mavazi hayo msibani ?
- Kinachoangaliwa ni roho, waumini waanze kuingia na vimini na body taiti ?
- Hata kama asingekuwa anaenda kanisani bado kama binadamu anatakiwa kujiuliza tu mavazi haya yana stara ?
- je hawajiulizi ni wangapi wametenda dhambi ya kutamani kupitia hayo mavazi ya kikahaba?
- Kwamba kanisa halina muda na mavazi ya kikahaba kama hayo?
- Kwani padre akiwaambia wavae mavazi ya kujistiri atakuwa amevunja kanuni ipi ya kanisa?
Pindi tunavyotoka nikawa sambamba na rafiki yangu ila yeye naona alikuwa bize anasalimiana na wengine, yule binti alitupita nikaona wacha nichukue picha ya maajabu niliyokutana nayo, nilimuaga rafiki naenda chooni mara moja, sehem ile ilikuwa na watu wengi ilikuwa ngumu kupata picha, binti nikawa namfuata kwa nyuma, tukafika sehem haina watu wengi nae akasimama, nikaongeza mwendo nikaweza kumpiga picha, hebu jionee mwenyewe hio picha nimeicrop na kuiambatanisha
Hivi kweli makanisa makubwa yanashindwa suala la mavazi wanazidiwa hata na wenzao wa jumamosi ?
View attachment 2582156
Hivi kuna moto wa jehanamu π€£π€£π€£π€£Kanisa sio kwa watukufu pekee lipo kuwaokoa hao unao waona.
Wakielimishwa wakaelimika wanabadilika.
Si ajabu mtukufu kuishia motoni Malaya akaona pepo.
Am out.
We umekwenda kusali au kuangalia biashara za watuLeo siku ya pasaka nilimuahidi rafiki kwamba nitampa kampani kwenda kanisani kwao (ni kanisa mojawapo marufu duniani) lakini pia nami niweze kujionea shghuli zinazofanyika katika siku hii pamoja na kusikiliza maneno takatifu.