Hii ni kweli kabisa. Watoto wa kike ndio wana support familia zao hasa wazee wakiwa wagonjwa na kipindi cha uzeeni, japokua wanaweza wasiwe na kipato kikubwa kama cha kaka zao.Watu wanawachukulia poa watoto wa kike lakini kiuhalisia ndio wenye msaada sana kwa familia na wazazi.
Una wa kiume wote?[emoji23]
Upo kama dada yangu..4wote wa kiume.
Ameshakata tamaa ya kupata wa kike na umri umeshamtupa mkono.
Sent using Jamii Forums mobile app
Namuombea sana, mkuu. Ila nashangaa kwanini watu wanawaza mabaya tu: "utajuta, utajuta" ina maana wazazi wao walijuta kuwazaa(wanaume)? Sasa mimi natamka, "sijuti, na sitajuta kupata mtoto wa kiume. Mungu aliyesikia maombi yangu, akanipa haja ya moyo wangu, ataendelea kumtunza kijana huyu, na atakuwa mwanaume mwenye maadili mema sana, katika Jina la Yesu Kristo. Amen."Mshukuru muumba kwa kukata kiu yako ya mtoto wa kiume, lakini kumbuka pia kumuomba sanasana huyohuyo uliyemwomba, akusaidie katika matunzo na malezi sahihi ya kijana wako, usije ukaleta ufundi wako na ukasahau wakati wa kiu yako uliekekeza kilio chako wapi.
Pamoja na kipato chao kidogo lakini msaada wao ni mkubwa mno.Hii ni kweli kabisa. Watoto wa kike ndio wana support familia zao hasa wazee wakiwa wagonjwa na kipindi cha uzeeni, japokua wanaweza wasiwe na kipato kikubwa kama cha kaka zao.
Pole Sana Mkuu.Wengine miaka 5 kwenye ndoa bila bila,umejenga na una maisha mazuri na unapambana kweli kutafta mali lakini upo wewe tu na mkeo za nini sasa?
Angekuwa habebi mimba angalau tungehangaika kutafuta uzazi,anabeba sana tena bandika bandua.
Nimezika watoto wangu wakiume 2 na mmoja wa kike
Waliishi kwa muda mfupi sana wa kike 24 hrs wengine wanazaliwa wakiwa died.
Ninapoona nyuzi za kuongelea jinsia za watoto nafadhaika sana,Mungu anipe tu hata watoto 20 wa jinsia moja I don't care.
Huyo wa4 aache tu wanamtosha..yaan yote madume .bas hom ni kama uwanja wa vita...ila watoto wa kiume wanaupendo sana kwa mama zao..nikifika hapa naonaga nashukuru tu Mungu..Watu wanawachukulia poa watoto wa kike lakini kiuhalisia ndio wenye msaada sana kwa familia na wazazi.
Una wa kiume wote?[emoji23]
Upo kama dada yangu..4wote wa kiume.
Ameshakata tamaa ya kupata wa kike na umri umeshamtupa mkono.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni stereotyp tu...uzeen ndo watawabeba
Pole...kuna madawa ya kienyeji akinywa anapakata mtoto kbs...niamini .wachek wahaya au wasukuma ! Pole sana.. i can feel uWengine miaka 5 kwenye ndoa bila bila,umejenga na una maisha mazuri na unapambana kweli kutafta mali lakini upo wewe tu na mkeo za nini sasa?
Angekuwa habebi mimba angalau tungehangaika kutafuta uzazi,anabeba sana tena bandika bandua.
Nimezika watoto wangu wakiume 2 na mmoja wa kike
Waliishi kwa muda mfupi sana wa kike 24 hrs wengine wanazaliwa wakiwa died.
Ninapoona nyuzi za kuongelea jinsia za watoto nafadhaika sana,Mungu anipe tu hata watoto 20 wa jinsia moja I don't care.
Yah,wana upendo sana.Huyo wa4 aache tu wanamtosha..yaan yote madume .bas hom ni kama uwanja wa vita...ila watoto wa kiume wanaupendo sana kwa mama zao..nikifika hapa naonaga nashukuru tu Mungu..
Amina sana mkuu,yaani inafika muda unaulizwa hawajambo wanao?unajibu hawajambo maana huwezi kumweleza kila mtu kwamba hamjafanikiwa wakati mnakutana kiliniki kila mwaka.Pole Sana Mkuu.
Unaamini Mungu anaweza ondoa kifo na kuachilia uzima katika kizazi chako?
Usifadhaike,
Yupo Mungu anayeweza yote.
Sent using Jamii Forums mobile app
Amina sana,amekunywa sana haimaanishi tumekata tamaa pengine hatujalipatia tatizoPole...kuna madawa ya kienyeji akinywa anapakata mtoto kbs...niamini .wachek wahaya au wasukuma ! Pole sana.. i can feel u
Nani amewadharau?
Hata hivyo 5 yrs mbona bado mkuu! Mkeo atazaa tuAmina sana,amekunywa sana haimaanishi tumekata tamaa pengine hatujalipatia tatizo
manabii wametoa unabii mpaka wengine nikaacha hata kuhudhuria ibaada zao,lakini bado Mungu tunamtumainia.
[emoji24][emoji24]kwa wakati wake Mungu atakutendeaaa[emoji120]Wengine miaka 5 kwenye ndoa bila bila,umejenga na una maisha mazuri na unapambana kweli kutafta mali lakini upo wewe tu na mkeo za nini sasa?
Angekuwa habebi mimba angalau tungehangaika kutafuta uzazi,anabeba sana tena bandika bandua.
Nimezika watoto wangu wakiume 2 na mmoja wa kike
Waliishi kwa muda mfupi sana wa kike 24 hrs wengine wanazaliwa wakiwa died.
Ninapoona nyuzi za kuongelea jinsia za watoto nafadhaika sana,Mungu anipe tu hata watoto 20 wa jinsia moja I don't care.
Nakukumbusha tu, wakati anakumbuka wazazi wake huwa ndoa yake na familia yake na mume wake anaviweka rehani. To me that's selfishness.Kwa utafiti mdogo nilioufanya..watoto wa kike huwakumbuka sana wazazi kuliko wa kiume.wenye watoto wwngi wa kike na ukifanikiwa kuwalea vizuri ukawa nao karibu..aisee utaishi zaidi ya mfalme..maana utalelewa na wanao na waume zao..hutokuwa mpweke maishani
Na unajua sababu yake ni nini?Nakuhakikishia kuwa huyo mtoto wa kiume anakuja kuwa zigo na utajuta kumzaa!
Yah 5yrs siyo mingi na ndiyo maana nimesema kinachoniumiza zaidi Afadhari angekuwa habebi kabisa tungeamini pengine tuna matatizo sote hivyo tungepambana kutafuta dawaHata hivyo 5 yrs mbona bado mkuu! Mkeo atazaa tu
ohAmina sana mkuu,yaani inafika muda unaulizwa hawajambo wanao?unajibu hawajambo maana huwezi kumweleza kila mtu kwamba hamjafanikiwa wakati mnakutana kiliniki kila mwaka.
Haupo peke yako mkuu, mtumainie Mungu,aombae hachokiWengine miaka 5 kwenye ndoa bila bila,umejenga na una maisha mazuri na unapambana kweli kutafta mali lakini upo wewe tu na mkeo za nini sasa?